Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Makambako waomba muda wa uandikishaji kuongezwa.

Na Mercy Sekabogo

Njombe.

 

Ikiwa ni siku chache tangu Serikali kuzinduliwa mpango wa uandikishaji Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa mfumo wa Biometric Voter Registration (BVR), wakazi wa Hamashauri ya Mji wa Makambako mkoani Njombe wameiomba Serikali kuongeza muda wa kujiandikisha.

 

Kauli hiyo inakuja baada ya kuwepo kwa dalili za watu kukosa nafasi hiyo kutokana na idadi kubwa ya watu wanaolala vituoni wakisubiri foleni asubuhi na kukosa fursa hiyo.

 

Unadikishaji wa Daftari la...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Tume yavuka lengo la uandikishaji Makambako

Wakazi wa Mji wa Makambako, mkoani Njombe wamevuka lengo lililowekwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) la kuandiksha watu 32,370 katika Daftari la kudumu la Mpiga Kura, ambalo unatumika mfumo mpya kuandikisha wa Biometrick Voters Regstration (BVR) na kufikia watu 39,579, huku kazi hiyo ikitarajiwa kuhitimishwa leo katika kata tisa za mji huo.

 

11 years ago

Habarileo

Bunge la Bajeti kuongezwa muda

MKUTANO wa 15 wa Bunge la Bajeti uliopangwa kumalizika Juni 27, mwaka huu, sasa utaongezewa muda kuruhusu Muswada wa Serikali na Azimio la Bunge juu ya migogoro ya wafugaji na wakulima. Kabla ya kuahirisha kikao cha juzi, Spika wa Bunge, Anne Makinda alieleza kuwa upo uwezekano huo wa Bunge kusogezwa mbele zaidi.

 

10 years ago

Michuzi

Waziri Mkuu PINDA AZINDUA UANDIKISHAJI DAFTARI LA WAPIGA KURA MJINI MAKAMBAKO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizindua  Uborereshaji wa Daftari kla Kudumu la Wapigakura  katika mji mdogo wa Makambako Februari 24, 2015.Kushoto ni Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Damian Lubuva na Katikati ni Katibu wa Tume hiyo, Ndugu Malaba.    Waziri Mkuu Mizengo Pinda   na Naibu Katibu Mkuu  ambaye pia ni Katibu Mwenezi wa CHADEMA  Mhe John  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mwenyekititi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Damian Lubuva (kushpoto) , Naibu Katibu...

 

10 years ago

Mwananchi

Muda wa uandikishaji BVR Dar waongezwa

Tume ya Uchaguzi (NEC) leo imetangaza kuongeza siku nne zaidi za uandikishaji wa wapigakura kwa kutumia teknolojia ya BVR baada ya idadi kubwa ya wakazi wa Dar es Salaam kuitikia wito wa zoezi hilo.

 

10 years ago

Mwananchi

NEC iongeze muda zaidi Dar, au uandikishaji uboreshwe

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) juzi ilitangaza kuongeza siku nne kwa ajili ya kutoa nafasi zaidi kwa wakazi wa mkoa wa Dar es Salaam kujiandikisha kwenye Daftari la Wapigakura baada ya kuona mwitikio mkubwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Waomba muda wa usajili pikipiki uongezwe

>Madereva wa pikipiki maarufu kama bodaboda mjini hapa, wameitaka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kuongeza muda wa kusajili namba mpya kwani muda uliowekwa kisheria hautoshi.

 

10 years ago

Mwananchi

Wataalamu anga kuongezwa

Wizara ya Uchukuzi, imesema wakati wowote itakutana na Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA) kujadili namna ya kuuongezea fedha mfuko wa mafunzo ya udhamini wa marubani na wahandisi ili kuongeza idadi ya wataalamu hao.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanajeshi kuongezwa kupambana na ISIL

Muungano wa majeshi yanayopambana dhidi ya Islamic State yakiongozwa na Marekani, yako tayari kupeleka vikosi zaidi nchini Iraq.

 

10 years ago

Habarileo

Yashauriwa mishahara watumishi wa umma kuongezwa

Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango nchini, Dk Philip MpangoKATIBU Mtendaji wa Tume ya Mipango nchini, Dk Philip Mpango ameishauri kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti kuisisitiza serikali kuongeza mishahara ya watumishi wa umma na kupunguza kodi inayokatwa kwenye mishahara hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani