Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bunge la Bajeti kuongezwa muda

MKUTANO wa 15 wa Bunge la Bajeti uliopangwa kumalizika Juni 27, mwaka huu, sasa utaongezewa muda kuruhusu Muswada wa Serikali na Azimio la Bunge juu ya migogoro ya wafugaji na wakulima. Kabla ya kuahirisha kikao cha juzi, Spika wa Bunge, Anne Makinda alieleza kuwa upo uwezekano huo wa Bunge kusogezwa mbele zaidi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Bunge lahaha kusaka muda zaidi wa Bajeti

>Bunge la Bajeti la mwaka wa fedha wa 2014/15 linatarajia kufanya vikao vyake hadi saa mbili usiku pamoja na siku za Jumamosi ikiwa ni moja ya njia za kufidia siku 28 zilizopunguzwa kufanya vikao hivyo.

 

10 years ago

StarTV

Makambako waomba muda wa uandikishaji kuongezwa.

Na Mercy Sekabogo

Njombe.

 

Ikiwa ni siku chache tangu Serikali kuzinduliwa mpango wa uandikishaji Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa mfumo wa Biometric Voter Registration (BVR), wakazi wa Hamashauri ya Mji wa Makambako mkoani Njombe wameiomba Serikali kuongeza muda wa kujiandikisha.

 

Kauli hiyo inakuja baada ya kuwepo kwa dalili za watu kukosa nafasi hiyo kutokana na idadi kubwa ya watu wanaolala vituoni wakisubiri foleni asubuhi na kukosa fursa hiyo.

 

Unadikishaji wa Daftari la...

 

10 years ago

Mwananchi

Bunge kuongezwa kwa siku 10 kujadili miswada

Dodoma/Arusha. Bunge la Bajeti lililokuwa livunjwe Juni 27, mwaka huu litaongezwa siku 10 ili kutoa nafasi ya kujadiliwa kwa miswada takriban 10 kinyume na historia yake.

 

11 years ago

Mwananchi

Kamati ya Bajeti yahofia muda wa uchambuzi

 Kamati ya Bajeti ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeeleza wasiwasi iwapo itapata muda wa kutosha wa kuchambua Bajeti Kuu ya Serikali ya 2014/15 kabla ya kuanza vikao vyake mapema mwezi ujao.

 

11 years ago

Mwananchi

Mzimu wa Bunge la Katiba watikisa Bunge la Bajeti

Bunge Maalumu la Katiba liko katika mapumziko hadi Agosti 5 mwaka huu, hatua ambayo ilifikiwa kwa lengo la kupisha uendeshaji wa Bunge la Bajeti.

 

11 years ago

Michuzi

KAMATI YA UONGOZI YA BUNGE YAKUTANA NA SERIKALI PAMOJA NA KAMATI YA BUNGE YA BAJETI MJINI DODOMA LEO

 Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiongoza kikao cha pamoja baina ya Serikali, Kamati ya Uongozi pamoja na Kamati ya Bunge ya Bajeti ikiwa ni kikao cha maridhiano kuhusu Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2014/2014. kikao hicho kiliudhuriwa pia na Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Kayanza Pinda, Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya. Picha kwa hisani ya Bunge  Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiongoza kikao cha pamoja baina ya Serikali, Kamati ya Uongozi pamoja na Kamati ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Bunge la Bajeti mchakamchaka

Bunge la Bajeti ya Serikali ya 2015/16 linaanza leo mjini Dodoma kwa mwendo wa mchakamchaka kutokana na kuongezwa saa mbili kila siku ili limalizike Juni 27.

 

11 years ago

Habarileo

Ukawa marufuku Bunge la Bajeti

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anne Makinda amesema ni marufuku kwa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kufanya shughuli zake ndani ya Bunge la Bajeti.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani