Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kamati ya Bajeti yahofia muda wa uchambuzi

 Kamati ya Bajeti ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeeleza wasiwasi iwapo itapata muda wa kutosha wa kuchambua Bajeti Kuu ya Serikali ya 2014/15 kabla ya kuanza vikao vyake mapema mwezi ujao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

UCHAMBUZI WA BAJETI: Bajeti ya Ujenzi imekidhi vigezo

>Miundombinu ya usafirishaji ni muhimu kwa maendeleo ya uchumi wa nchi yoyote. Miundombinu hii ni pamoja na barabara, madaraja, viwanja vya ndege, reli, bandari na nyinginezo. Kiuchumi, hii ni miundombinu migumu (hard infrastructure) ukilinganisha na miundombinu kama ya mawasiliano ikiwamo simu na intaneti ambayo ni miundombinu laini (soft infrastructure) ya kiuchumi.

 

5 years ago

Zitto Kabwe, MB

10 years ago

Mwananchi

UCHAMBUZI WA BAJETI: Shughuli za maendeleo 2015/16 kukwama Wizara ya Sheria

>Hotuba ya Waziri wa Katiba na Sheria ililenga kutoa bajeti kwa wizara hii na taasisi zake.

 

11 years ago

Michuzi

KAMATI YA UONGOZI YA BUNGE YAKUTANA NA SERIKALI PAMOJA NA KAMATI YA BUNGE YA BAJETI MJINI DODOMA LEO

 Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiongoza kikao cha pamoja baina ya Serikali, Kamati ya Uongozi pamoja na Kamati ya Bunge ya Bajeti ikiwa ni kikao cha maridhiano kuhusu Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2014/2014. kikao hicho kiliudhuriwa pia na Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Kayanza Pinda, Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya. Picha kwa hisani ya Bunge  Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiongoza kikao cha pamoja baina ya Serikali, Kamati ya Uongozi pamoja na Kamati ya...

 

11 years ago

Habarileo

Bunge la Bajeti kuongezwa muda

MKUTANO wa 15 wa Bunge la Bajeti uliopangwa kumalizika Juni 27, mwaka huu, sasa utaongezewa muda kuruhusu Muswada wa Serikali na Azimio la Bunge juu ya migogoro ya wafugaji na wakulima. Kabla ya kuahirisha kikao cha juzi, Spika wa Bunge, Anne Makinda alieleza kuwa upo uwezekano huo wa Bunge kusogezwa mbele zaidi.

 

11 years ago

Mwananchi

Bunge lahaha kusaka muda zaidi wa Bajeti

>Bunge la Bajeti la mwaka wa fedha wa 2014/15 linatarajia kufanya vikao vyake hadi saa mbili usiku pamoja na siku za Jumamosi ikiwa ni moja ya njia za kufidia siku 28 zilizopunguzwa kufanya vikao hivyo.

 

11 years ago

Habarileo

Mawaziri waipasha Kamati ya Bajeti

WAZIRI wa Fedha, Saada Mkuya Salum na Naibu wake, Mwigulu Nchemba, wamehoji utendaji kazi wa Kamati ya Bajeti katika kuzungumzia vyanzo mbadala vya mapato na deni la Taifa sasa. Wamesema hali hiyo inaonesha jinsi kamati hiyo, ilivyo kigeugeu katika kauli zake.

 

11 years ago

Habarileo

Kamati yapitisha bajeti ya Ujenzi

KAMATI ya Bunge ya Miundombinu, imepitisha Bajeti ya Wizara ya Ujenzi kwa mwaka ujao wa fedha 2014/2015, ya Sh trilioni 1.2, fedha zilizoelekezwa katika matumizi ya kawaida na ya maendeleo katika wizara hiyo.

 

11 years ago

Dewji Blog

Kamati mbalimbai zawasilisha maoni yao uchambuzi wa sura ya kwanza na sita ya Rasimu ya Katiba Mpya

2a

Mwenyekiti wa Kamati namba mbili (2) Shamsi Vuai Nahodha akiwasilisha maoni ya wajumbe wa Kamati yake leo mjini Dodoma juu ya uchambuzi wa sura ya kwanza na sita ya wa rasimu ya Katiba mpya.

7b

Makamu  Mwenyekiti wa Kamati namba tano Assumpter Mshama akiwasilisha maoni ya wajumbe wa Kamati yake leo mjini Dodoma juu ya uchambuzi wa sura ya kwanza na sita ya wa rasimu ya Katiba mpya.

6

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta akitoa ufafanuzi kwa wajumbe wa Bunge hilo leo mjini Dodoma...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani