Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UCHAMBUZI WA BAJETI: Shughuli za maendeleo 2015/16 kukwama Wizara ya Sheria

>Hotuba ya Waziri wa Katiba na Sheria ililenga kutoa bajeti kwa wizara hii na taasisi zake.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

UCHAMBUZI WA SHERIA YA MAKOSA YA MTANDAO, 2015

UTANGULIZI
Sheria hii ya Makosa ya Jinai kupitia Mtandao, 2015 ina mapungufu mengi. Mapungufu hayo yamebainika kuwa, kama sheria ikipita yanaweza kuifanya nchi ikawa ni kati nchi adui za matumizi ya mtandao wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano duniani. Watanzania wote wanatakiwa kufahamu kuwa muswada ukipita utatumika nchini kote yani Tanzania Bara na Visiwani. Watanzania walio wengi hawafahamu Sheria hii inawahusu kwa...

 

10 years ago

Ykileo

UCHAMBUZI WA SHERIA ZA MAKOSA MTANDAO, 2015

Awali ya yote nirudie kutoa pongezi kwa serikali kwa hatua hii muhimu waliyofikia ya kuwasilisha mswada wa sheria mtandao ambao naimani kubwa itakua na majibu mazuri ya kudhibiti na kuhimili vishindo vya uhalifu mtandao nchini. Naomba itambulike Tanznaia si ya kwanza kuwa na sheria za usalama mitandao na ukweli ni kwamba tumechelewa kwa kiasi Fulani. Nchi nyingi tayari zinasheria za usalama mitandao na zimeendelea kuboreshwa kadri teknolojia inavyo endelea kukua na kubadilika.


Nitaanza na...

 

11 years ago

Michuzi

Bajeti ya Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi ya wasilishwa

 Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi Prof.Anna Tibaijuka kulia akiwa na naibu Waziri wake wa Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi Mhe.Simbachawene wakati akijianda kuwasilisha Bajeti ya Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi kwa Mwaka 2014/2015 leo .Mjadala wa Bajeti hiyo utaendelea kujadiliwa kesho. Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi Mhe. Prof.Anna Tibaijuka  akiwasilisha Bajeti ya Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi kwa Mwaka 2014/2015 leo .Mjadala wa Bajeti hiyo utaendelea...

 

11 years ago

Michuzi

Bajeti ya Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi ilipojadiliwa Bungeni

Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi,Mhe. Prof. Anna Tibaijuka akiwa amebeba Makabrasha wakati akielekea kwenda kujibu hoja za Waheshimiwa Wabunge wakati Bunge likijadili Bajeti ya Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi kwa Mwaka 2014/2015. Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi,Mhe.Anna Tibaijuka akijibu Hoja za Wabunge wakati Bunge likijadili Bajeti ya Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi kwa Mwaka 2014/2015. Naibu Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi Mhe.George...

 

11 years ago

Michuzi

VIONGOZI WA WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII BAADA YA KUPITA BAJETI YAO

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mhe. Sophia M. Simba (Mb.) na Mhe. Amina Makilagi (Mb) Katibu Mkuu wa UWT, Mhe. Dk. Pindi H. Chana (Mb) Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto na Anna T. Maembe Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto wakipongezana baada ya kupitishwa kwa Bajeti ya Wizara hiyo jumamosi iliyopita Bungeni Dodoma. Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mhe. Sophia M. Simba (Mb.), Mhe. Dk. Pindi H. Chana (Mb) Naibu Waziri...

 

11 years ago

Mwananchi

Bajeti ya Kilimo ‘chupuchupu’ kukwama

Bajeti ya Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika imepita kwa kusuasua baada ya wabunge wanane kutishia na kujaribu kuiondoa shilingi katika mshahara wa waziri.

 

10 years ago

Mwananchi

UCHAMBUZI WA BAJETI: Bajeti ya Ujenzi imekidhi vigezo

>Miundombinu ya usafirishaji ni muhimu kwa maendeleo ya uchumi wa nchi yoyote. Miundombinu hii ni pamoja na barabara, madaraja, viwanja vya ndege, reli, bandari na nyinginezo. Kiuchumi, hii ni miundombinu migumu (hard infrastructure) ukilinganisha na miundombinu kama ya mawasiliano ikiwamo simu na intaneti ambayo ni miundombinu laini (soft infrastructure) ya kiuchumi.

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI SIMBACHAWENE AONGOZA KIKAO CHA KUPITIA UTEKELEZAJI WA BAJETI NA MIRADI YA MAENDELEO YA MAKAO MAKUU YA WIZARA NA NIDA



Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akizungumza na Wakuu wa Idara na Vitengo wa Makao Makuu ya Wizara na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (hawapo pichani) katika Kikao cha kupitia Utekelezaji wa Bajeti na Miradi ya Maendeleo, kilichofanyika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara, jijini Dodoma, leo. Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani