Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bunge la Bajeti mchakamchaka

Bunge la Bajeti ya Serikali ya 2015/16 linaanza leo mjini Dodoma kwa mwendo wa mchakamchaka kutokana na kuongezwa saa mbili kila siku ili limalizike Juni 27.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mzimu wa Bunge la Katiba watikisa Bunge la Bajeti

Bunge Maalumu la Katiba liko katika mapumziko hadi Agosti 5 mwaka huu, hatua ambayo ilifikiwa kwa lengo la kupisha uendeshaji wa Bunge la Bajeti.

 

11 years ago

Michuzi

KAMATI YA UONGOZI YA BUNGE YAKUTANA NA SERIKALI PAMOJA NA KAMATI YA BUNGE YA BAJETI MJINI DODOMA LEO

 Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiongoza kikao cha pamoja baina ya Serikali, Kamati ya Uongozi pamoja na Kamati ya Bunge ya Bajeti ikiwa ni kikao cha maridhiano kuhusu Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2014/2014. kikao hicho kiliudhuriwa pia na Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Kayanza Pinda, Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya. Picha kwa hisani ya Bunge  Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiongoza kikao cha pamoja baina ya Serikali, Kamati ya Uongozi pamoja na Kamati ya...

 

11 years ago

Habarileo

Bunge la Bajeti kuongezwa muda

MKUTANO wa 15 wa Bunge la Bajeti uliopangwa kumalizika Juni 27, mwaka huu, sasa utaongezewa muda kuruhusu Muswada wa Serikali na Azimio la Bunge juu ya migogoro ya wafugaji na wakulima. Kabla ya kuahirisha kikao cha juzi, Spika wa Bunge, Anne Makinda alieleza kuwa upo uwezekano huo wa Bunge kusogezwa mbele zaidi.

 

11 years ago

Habarileo

Bunge fupi la Bajeti leo

Mkurugenzi wa Shughuli za Bunge, John JoelBUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo linaanza kikao chake cha Bajeti, ambapo muda wa kuchangia na kuwasilisha bajeti za wizara mbalimbali, umepunguzwa.

 

11 years ago

Habarileo

Ukawa marufuku Bunge la Bajeti

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anne Makinda amesema ni marufuku kwa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kufanya shughuli zake ndani ya Bunge la Bajeti.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bunge la Bajeti kuanza Mei 6

MKUTANO wa Bunge la Bajeti ya mwaka 2014/2015 utaanza Mei 6 hadi Juni 27, mwaka huu mjini Dodoma huku bajeti kuu ya Serikali ikitarajiwa kusomwa Juni 12. Hayo yalielezwa bungeni...

 

11 years ago

Mwananchi

Spika asiruhusu porojo Bunge la Bajeti

Ni bahati mbaya kwamba Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linalotarajiwa kuanza kikao chake Mei 6, mwaka huu mjini Dodoma litalazimika kuendeshwa ‘fastafasta’ kutokana na kutengewa siku chache kukamilisha shughuli zake.

 

10 years ago

Habarileo

Bunge la Bajeti 2015/16 kuanza leo

MKUTANO wa 20 na wa mwisho wa Bunge la 10 la Tanzania, unatarajiwa kuanza leo mjini Dodoma, ambapo wabunge watajadili na kupitisha Bajeti ya Serikali, pia maswali 295 ya msingi yataulizwa na kupewa majibu na hatimaye bunge hilo kuvunjwa rasmi Juni 27, mwaka huu kwa ajili ya maandalizi ya uchaguzi mkuu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani