Bunge kuongezwa kwa siku 10 kujadili miswada
Dodoma/Arusha. Bunge la Bajeti lililokuwa livunjwe Juni 27, mwaka huu litaongezwa siku 10 ili kutoa nafasi ya kujadiliwa kwa miswada takriban 10 kinyume na historia yake.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi17 Jun
Bunge la bajeti kuanza kujadili miswada saba
10 years ago
Mwananchi23 Nov
Bunge kujadili Escrow kwa siku mbili Dodoma
11 years ago
Habarileo30 May
Bunge la Bajeti kuongezwa muda
MKUTANO wa 15 wa Bunge la Bajeti uliopangwa kumalizika Juni 27, mwaka huu, sasa utaongezewa muda kuruhusu Muswada wa Serikali na Azimio la Bunge juu ya migogoro ya wafugaji na wakulima. Kabla ya kuahirisha kikao cha juzi, Spika wa Bunge, Anne Makinda alieleza kuwa upo uwezekano huo wa Bunge kusogezwa mbele zaidi.
10 years ago
Mtanzania28 May
Kikwete:Tutaongeza siku 10 za miswada bungeni
NA ELIYA MBONEA, ARUSHA
RAIS Jakaya Kikwete amesema Serikali inafanya mazungumzo na Ofisi ya Spika wa Bunge kuongeza siku 10 za kuwasilisha miswada mbalimbali.
Kauli hiyo aliitoa juzi mkoani hapa alipofungua Mkutano Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) ambao ulikuwa pamoja na uchaguzi wa nafasi za juu za chama hicho.
Akizungumza katika mkutano huo ulikuwa na wajumbe zaidi ya 1,200 ambako mke wake Salma Kikwete pia alihudhuria, Rais Kikwete alitumia fursa hiyo kuwaaga walimu hao.
Katika...
10 years ago
Vijimambo21 May
JK: Nitasaini miswada ya habari kabla ya Bunge la 20.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/JKM-21May2015.jpg)
Rais Jakaya Kikwete, amesema atahakikisha anasaini miswada miwili ya habari kabla ya kumalizika kwa mkutano wa 20 wa Bunge la Bajeti unaendelea.
Miswada hiyo ni wa sheria ya kupata habari na wa sheria ya vyombo vya habari huku.
Rais Kikwete alitoa kauli hiyo wakati akifungua mkutano wa kimataifa kuhusu uwajibikaji na uwazi katika serikali, jana jijini Dar es Salaam.
Rais Kikwete alitoa kauli hiyo mbele ya washiriki wa mkutano huo takribani 200 kutoka nchi 65 ambazo ni...
10 years ago
Mwananchi14 Nov
Bunge likatae miswada inayominya uhuru wa habari
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/f*E8U3rGFXoXRfeCbLwCFfVI*v70FBCTbk4eHRC2SG7HIHJMjMeN15JNrz6jFFmhJYUTFr9qlptwrCWKbq8OS6sKIhfDQofW/BREAKING.gif)
KIMENUKA BUNGENI: BUNGE LAAHIRISHWA BAADA YA UPINZANI KUGOMEA MISWADA
10 years ago
Habarileo04 Feb
Mbunge ataka pensheni kuongezwa kwa wastaafu
MBUNGE wa Mbeya Vijijini, Mchungaji Luckson Mwanjale (CCM), ameitaka Serikali kuongeza kiwango cha pensheni kwa wastaafu kwani kiwango wanacholipwa hivi sasa ni kidogo na hakikidhi mahitaji yao.