JK: Nitasaini miswada ya habari kabla ya Bunge la 20.
Rais Jakaya Kikwete
Rais Jakaya Kikwete, amesema atahakikisha anasaini miswada miwili ya habari kabla ya kumalizika kwa mkutano wa 20 wa Bunge la Bajeti unaendelea.
Miswada hiyo ni wa sheria ya kupata habari na wa sheria ya vyombo vya habari huku.
Rais Kikwete alitoa kauli hiyo wakati akifungua mkutano wa kimataifa kuhusu uwajibikaji na uwazi katika serikali, jana jijini Dar es Salaam.
Rais Kikwete alitoa kauli hiyo mbele ya washiriki wa mkutano huo takribani 200 kutoka nchi 65 ambazo ni...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi14 Nov
Bunge likatae miswada inayominya uhuru wa habari
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/leU9J-pZysQ/default.jpg)
10 years ago
Habarileo28 Mar
Miswada sheria za habari yaondolewa
MISWADA miwili ya sheria inayohusu sekta ya habari iliyokuwa iwasilishwe katika kikao cha Bunge kinachoendelea mjini hapa chini ya hati ya dharura, imeondolewa.
10 years ago
Mwananchi28 Mar
BUNGENI: Serikali yaichomoa miswada ya habari
10 years ago
Mwananchi25 Mar
Wadau wawasilisha maombi kuzuia miswada ya habari
10 years ago
Mwananchi26 Mar
Miswada miwili ya habari kuwasilishwa ‘kimafia’ bungeni
10 years ago
Mwananchi03 Jun
Miswada hii ya habari ni kitanzi kingine kwa CCM
10 years ago
Mtanzania18 Apr
Chadema yachochea wadau kupinga madudu ya miswada ya habari, mitandao
Na Aziza Masoud, Dar es Salaam
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimewataka wadau wa habari na taasisi mbalimbali, zikiwemo za kimataifa kuangalia kwa makini na kujadili baadhi ya vifungu vilivyopo katika muswada wa habari ili kuishawishi serikali kutousaini kwa kuwa unalenga kubana uhuru wa vyombo vya habari nchini.
Akizungumza Dar es Salaam jana, Naibu Katibu Mkuu Bara, John Mnyika, alisema miswada yote ya hati ya dharura, hasa ya miamala ya kielektroniki na mitandao ya jamii...
10 years ago
Mwananchi28 May
Bunge kuongezwa kwa siku 10 kujadili miswada