BUNGENI: Serikali yaichomoa miswada ya habari
>Juhudi za wadau wa habari kuwasilisha ombi kwa Spika wa Bunge, Anne Makinda wakitaka miswada miwili ya habari ya mwaka 2015 iwasilishwe kwa mfumo wa kawaida, zimezaa matunda baada ya Serikali kuamua kuiondoa kabisa miswada hiyo, sasa haitajadiliwa tena katika mkutano wa 19 wa Bunge unaoendelea mjini Dodoma.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi26 Mar
Miswada miwili ya habari kuwasilishwa ‘kimafia’ bungeni
10 years ago
VijimamboSERIKALI YAUONDOA MUSWADA WA HABARI BUNGENI
Serikali imeuondoa muswaada wa sheria ya haki ya kupata habari 2015 uliokuwa uwasilisilishwe na kujadiliwa katika mkutano unaoendelea wa bunge mjini Dodoma ili kutoa nafasi kwa wadau kutoa maoni yao.Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (asiye na wizara maalum) Prof Mark Mwandosya ameliambia bunge leo asubuhi kuwa serikali imefikia uamuzi huo kutokana na maoni ya kamati ya kudumu ya bunge ya maendeleo ya jamiii...
10 years ago
Habarileo17 Jun
Miswada 7 mipya ya sheria yatua bungeni
SERIKALI imewasilisha bungeni miswada sita mipya ambayo imesomwa jana kwa mara ya kwanza.
10 years ago
Mtanzania28 May
Kikwete:Tutaongeza siku 10 za miswada bungeni
NA ELIYA MBONEA, ARUSHA
RAIS Jakaya Kikwete amesema Serikali inafanya mazungumzo na Ofisi ya Spika wa Bunge kuongeza siku 10 za kuwasilisha miswada mbalimbali.
Kauli hiyo aliitoa juzi mkoani hapa alipofungua Mkutano Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) ambao ulikuwa pamoja na uchaguzi wa nafasi za juu za chama hicho.
Akizungumza katika mkutano huo ulikuwa na wajumbe zaidi ya 1,200 ambako mke wake Salma Kikwete pia alihudhuria, Rais Kikwete alitumia fursa hiyo kuwaaga walimu hao.
Katika...
10 years ago
Dewji Blog23 Jun
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/f*E8U3rGFXoXRfeCbLwCFfVI*v70FBCTbk4eHRC2SG7HIHJMjMeN15JNrz6jFFmhJYUTFr9qlptwrCWKbq8OS6sKIhfDQofW/BREAKING.gif)
KIMENUKA BUNGENI: BUNGE LAAHIRISHWA BAADA YA UPINZANI KUGOMEA MISWADA
10 years ago
Habarileo28 Mar
Miswada sheria za habari yaondolewa
MISWADA miwili ya sheria inayohusu sekta ya habari iliyokuwa iwasilishwe katika kikao cha Bunge kinachoendelea mjini hapa chini ya hati ya dharura, imeondolewa.
10 years ago
Vijimambo21 May
JK: Nitasaini miswada ya habari kabla ya Bunge la 20.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/JKM-21May2015.jpg)
Rais Jakaya Kikwete, amesema atahakikisha anasaini miswada miwili ya habari kabla ya kumalizika kwa mkutano wa 20 wa Bunge la Bajeti unaendelea.
Miswada hiyo ni wa sheria ya kupata habari na wa sheria ya vyombo vya habari huku.
Rais Kikwete alitoa kauli hiyo wakati akifungua mkutano wa kimataifa kuhusu uwajibikaji na uwazi katika serikali, jana jijini Dar es Salaam.
Rais Kikwete alitoa kauli hiyo mbele ya washiriki wa mkutano huo takribani 200 kutoka nchi 65 ambazo ni...
10 years ago
Mwananchi14 Nov
Bunge likatae miswada inayominya uhuru wa habari