Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Miswada 7 mipya ya sheria yatua bungeni

SERIKALI imewasilisha bungeni miswada sita mipya ambayo imesomwa jana kwa mara ya kwanza.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Kikwete:Tutaongeza siku 10 za miswada bungeni

Jakaya-Kikwete1NA ELIYA MBONEA, ARUSHA
RAIS Jakaya Kikwete amesema Serikali inafanya mazungumzo na Ofisi ya Spika wa Bunge kuongeza siku 10 za kuwasilisha miswada mbalimbali.
Kauli hiyo aliitoa juzi mkoani hapa alipofungua Mkutano Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) ambao ulikuwa pamoja na uchaguzi wa nafasi za juu za chama hicho.
Akizungumza katika mkutano huo ulikuwa na wajumbe zaidi ya 1,200 ambako mke wake Salma Kikwete pia alihudhuria, Rais Kikwete alitumia fursa hiyo kuwaaga walimu hao.
Katika...

 

10 years ago

Mwananchi

BUNGENI: Serikali yaichomoa miswada ya habari

>Juhudi za wadau wa habari kuwasilisha ombi kwa Spika wa Bunge, Anne Makinda wakitaka miswada miwili ya habari ya mwaka 2015 iwasilishwe kwa mfumo wa kawaida, zimezaa matunda baada ya Serikali kuamua kuiondoa kabisa miswada hiyo, sasa haitajadiliwa tena katika mkutano wa 19 wa Bunge unaoendelea mjini Dodoma.

 

10 years ago

Mwananchi

Miswada miwili ya habari kuwasilishwa ‘kimafia’ bungeni

Licha ya wadau wa habari kuwasilisha ombi kwa Spika wa Bunge, Anne Makinda wakitaka miswada miwili ya habari ya mwaka 2015 iwasilishwe kwa mfumo wa kawaida, Serikali imeing’ang’ania huku ikisema itawasilishwa chini ya hati ya dharura Jumanne ijayo.

 

10 years ago

Habarileo

Miswada sheria za habari yaondolewa

MISWADA miwili ya sheria inayohusu sekta ya habari iliyokuwa iwasilishwe katika kikao cha Bunge kinachoendelea mjini hapa chini ya hati ya dharura, imeondolewa.

 

10 years ago

Michuzi

JK AMWAGA WINO MISWADA MITANO YA SHERIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumanne, Agosti 4, 2015, ametia saini Miswada ya Sheria mitano hadharani ikiwa ni hatua yake ya mwisho kabisa kuridhia Miswada ya Sheria akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Katika sherehe iliyofanyika katika Ukumbi mpya wa Ikulu, Dar Es Salaam,Rais Kikwete ameridhia Muswada wa Sheria ya Mafuta na Gesiasilia, Muswada wa Uwazi na Uwajibikaji, Muswada wa Usimamizi wa Mapato ya Mafuta na Gesiasilia, Muswada...

 

10 years ago

Habarileo

Miswada saba yasainiwa kuwa sheria

SPIKA wa Baraza la Wawakilishi Pandu Ameir Kificho amewaambia wajumbe wa baraza hilo kwamba tayari Rais Ali Mohamed Shein ametia saini miswada 7 kuwa sheria kamili.

 

10 years ago

Habarileo

Shein asaini miswada mitatu ya sheria

SPIKA wa Baraza la Wawakilishi, Pandu Ameir Kificho ameliambia Baraza la Wawakilishi kuwa, Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein tayari amesaini miswada mitatu ambayo ilipitishwa na wajumbe wa Baraza la Wawakilishi katika vikao viivyopita.

 

10 years ago

GPL

KIMENUKA BUNGENI: BUNGE LAAHIRISHWA BAADA YA UPINZANI KUGOMEA MISWADA

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, limeahirishwa ghafla leo baada ya wabunge wa upinzani kusimama na kukataa kutoka nje ili kuzuia miswada mitatu muhimu ya Gesi, Petroli na Uziduaji kusomwa kwa Hati ya Dharura. Hali hiyo imetokea baada ya Mbunge wa Jimbo la Ubungo, John Mnyika kuomba mwongozo juu ya uvunjaji wa kanuni za bunge kwa kuwekwa miswada mitatu sambamba. Spika wa Bunge, Anne Makinda aliwataka wabunge hao kutoka...

 

10 years ago

StarTV

Baadhi ya miswada ya sheria yakwama kufanyiwa kazi.

Na Joyce Mwakalinga

Dodoma.

 

Baadhi ya miswada ya sheria ya Serikali imekwama kufanyiwa kazi leo katika mkutano wa kumi na nane wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutokana na sababu mbambali ikiwemo ya mahudhurio hafifu ya Wabunge.

Miswada hiyo ni pamoja na ule wa Sheria ya Usimamizi wa Kodi wa Mwaka 2014 ambao ulitakiwa kupigiwa kura pamoja na mswada wa sheria ya Takwimu wa mwaka 2013 uliokwama kutokana na kutokamilishwa kwa baadhi ya shughuli.

payday loan in arlington texas ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani