Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Miswada saba yasainiwa kuwa sheria

SPIKA wa Baraza la Wawakilishi Pandu Ameir Kificho amewaambia wajumbe wa baraza hilo kwamba tayari Rais Ali Mohamed Shein ametia saini miswada 7 kuwa sheria kamili.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MISWADA 9 YASAINIWA NA RAIS

Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. Jakaya Kikwete. Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. Jakaya Kikwete ameshasaini miswada 9 katika ya 14 iliyopitishwa na bunge katika mkutano wake wa 19 ukiwemo wa sheria ya makosa ya mitandao pamoja na muswada wa sheria ya takwimu iliyozua utata. Akitoa taarifa kuhusu kusainiwa kwa miswada hiyo leo Bungeni Spika wa Bunge Anna Makinda amesema miswada mitano iliyobaki...

 

10 years ago

Mwananchi

Bunge la bajeti kuanza kujadili miswada saba

Bunge la Bajeti litaanza kujadili miswada saba kwa siku 10 kuanzia Juni 29 hadi Julai 8, mwaka huu.

 

10 years ago

Habarileo

Miswada sheria za habari yaondolewa

MISWADA miwili ya sheria inayohusu sekta ya habari iliyokuwa iwasilishwe katika kikao cha Bunge kinachoendelea mjini hapa chini ya hati ya dharura, imeondolewa.

 

10 years ago

Habarileo

Miswada 7 mipya ya sheria yatua bungeni

SERIKALI imewasilisha bungeni miswada sita mipya ambayo imesomwa jana kwa mara ya kwanza.

 

10 years ago

Michuzi

JK AMWAGA WINO MISWADA MITANO YA SHERIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumanne, Agosti 4, 2015, ametia saini Miswada ya Sheria mitano hadharani ikiwa ni hatua yake ya mwisho kabisa kuridhia Miswada ya Sheria akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Katika sherehe iliyofanyika katika Ukumbi mpya wa Ikulu, Dar Es Salaam,Rais Kikwete ameridhia Muswada wa Sheria ya Mafuta na Gesiasilia, Muswada wa Uwazi na Uwajibikaji, Muswada wa Usimamizi wa Mapato ya Mafuta na Gesiasilia, Muswada...

 

10 years ago

Habarileo

Shein asaini miswada mitatu ya sheria

SPIKA wa Baraza la Wawakilishi, Pandu Ameir Kificho ameliambia Baraza la Wawakilishi kuwa, Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein tayari amesaini miswada mitatu ambayo ilipitishwa na wajumbe wa Baraza la Wawakilishi katika vikao viivyopita.

 

10 years ago

StarTV

Baadhi ya miswada ya sheria yakwama kufanyiwa kazi.

Na Joyce Mwakalinga

Dodoma.

 

Baadhi ya miswada ya sheria ya Serikali imekwama kufanyiwa kazi leo katika mkutano wa kumi na nane wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutokana na sababu mbambali ikiwemo ya mahudhurio hafifu ya Wabunge.

Miswada hiyo ni pamoja na ule wa Sheria ya Usimamizi wa Kodi wa Mwaka 2014 ambao ulitakiwa kupigiwa kura pamoja na mswada wa sheria ya Takwimu wa mwaka 2013 uliokwama kutokana na kutokamilishwa kwa baadhi ya shughuli.

payday loan in arlington texas ...

 

10 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete atia saini kuridhia Miswada ya Sheria mitano hadharani Ikulu, Dar es salaam

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini hati ya Muswada wa Sheria ya Mafuta na Gesiasilia Jumanne, Agosti 4, 2015 katika Ukumbi mpya wa Ikulu, Dar Es Salaam akishuhudiwa na Waziri wa Nishati na Madini Mhe George Simbachawene na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Mhandisi Ngosi MwihavaRais Kikwete akipeana mikono na Waziri wa Nishati na Madini Mhe George Simbachawene baada ya kuweka saini kuridhia Muswada wa Sheria ya Mafuta na Gesiasilia Jumanne, Agosti 4, 2015 katika Ukumbi mpya wa Ikulu, Dar Es...

 

10 years ago

Mtanzania

CCM kuwa na vikosi saba kufunga kampeni

makamba NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza vikosi saba vitakavyofanya mikutano ya kufunga kampeni zitakazomshirikisha Rais Jakaya Kikwete katika jiji la Mwanza.

Rais Kikwete ambaye ni Mwenyekiti wa CCM anatarajia kuongoza kampeni hizo Mwanza katika mkutano utakaowashirikisha Mgombea urais wa chama hicho, Dk. John Magufuli na Mgombea mwenza, Samia Hassan Suluhu.

Akitaja vikosi hivyo Dar es Salaam jana, Mjumbe wa Kamati ya Kampeni, January Makamba alisema kikosi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani