MISWADA 9 YASAINIWA NA RAIS
![](http://api.ning.com:80/files/XnAxcylq3ihKt2Jx5hc*jbbCohrQ575vg-1xj5Umb7uHSbZvurm7HrVVCETd2huJjsDJZAHvfKko2nag-OZvraSWPbHqQUzP/Kikwete.jpg?width=640)
Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. Jakaya Kikwete. Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. Jakaya Kikwete ameshasaini miswada 9 katika ya 14 iliyopitishwa na bunge katika mkutano wake wa 19 ukiwemo wa sheria ya makosa ya mitandao pamoja na muswada wa sheria ya takwimu iliyozua utata. Akitoa taarifa kuhusu kusainiwa kwa miswada hiyo leo Bungeni Spika wa Bunge Anna Makinda amesema miswada mitano iliyobaki...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo22 Oct
Miswada saba yasainiwa kuwa sheria
SPIKA wa Baraza la Wawakilishi Pandu Ameir Kificho amewaambia wajumbe wa baraza hilo kwamba tayari Rais Ali Mohamed Shein ametia saini miswada 7 kuwa sheria kamili.
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-NBFjoCOdJ6Q/VcFbC_wgZNI/AAAAAAAD2Wc/1gyc4dv7MdI/s72-c/sa1.jpg)
Rais Kikwete atia saini kuridhia Miswada ya Sheria mitano hadharani Ikulu, Dar es salaam
![](http://4.bp.blogspot.com/-NBFjoCOdJ6Q/VcFbC_wgZNI/AAAAAAAD2Wc/1gyc4dv7MdI/s640/sa1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-aXU0azKcgbA/VcFbE9I7zkI/AAAAAAAD2W8/VdubcaSV_a0/s640/sa4.jpg)
10 years ago
BBCSwahili02 Feb
Sudani Kusini hati ya amani yasainiwa
10 years ago
Habarileo23 Jan
Kificho na miswada
SPIKA wa Baraza la Wawakilishi Pandu Ameir Kificho amewataka wananchi kujitokeza kutoa maoni yao kuchangia katika miswada mbalimbali inayotarajiwa kuwasilishwa.
10 years ago
Habarileo28 Dec
‘Wananchi toeni maoni ya miswada
WANANCHI wametakiwa kutumia fursa iliyopo iliyotolewa na Baraza la Wawakilishi ya kutoa maoni ya miswada inayotarajiwa kuwasilishwa mbele ya baraza ili ipate baraka za wananchi na ubora wake.
10 years ago
Habarileo28 Mar
Miswada sheria za habari yaondolewa
MISWADA miwili ya sheria inayohusu sekta ya habari iliyokuwa iwasilishwe katika kikao cha Bunge kinachoendelea mjini hapa chini ya hati ya dharura, imeondolewa.
10 years ago
Habarileo14 May
Shein asaini miswada mitatu ya sheria
SPIKA wa Baraza la Wawakilishi, Pandu Ameir Kificho ameliambia Baraza la Wawakilishi kuwa, Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein tayari amesaini miswada mitatu ambayo ilipitishwa na wajumbe wa Baraza la Wawakilishi katika vikao viivyopita.
10 years ago
Vijimambo21 May
JK: Nitasaini miswada ya habari kabla ya Bunge la 20.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/JKM-21May2015.jpg)
Rais Jakaya Kikwete, amesema atahakikisha anasaini miswada miwili ya habari kabla ya kumalizika kwa mkutano wa 20 wa Bunge la Bajeti unaendelea.
Miswada hiyo ni wa sheria ya kupata habari na wa sheria ya vyombo vya habari huku.
Rais Kikwete alitoa kauli hiyo wakati akifungua mkutano wa kimataifa kuhusu uwajibikaji na uwazi katika serikali, jana jijini Dar es Salaam.
Rais Kikwete alitoa kauli hiyo mbele ya washiriki wa mkutano huo takribani 200 kutoka nchi 65 ambazo ni...
10 years ago
Habarileo17 Jun
Miswada 7 mipya ya sheria yatua bungeni
SERIKALI imewasilisha bungeni miswada sita mipya ambayo imesomwa jana kwa mara ya kwanza.