Kikwete:Tutaongeza siku 10 za miswada bungeni
NA ELIYA MBONEA, ARUSHA
RAIS Jakaya Kikwete amesema Serikali inafanya mazungumzo na Ofisi ya Spika wa Bunge kuongeza siku 10 za kuwasilisha miswada mbalimbali.
Kauli hiyo aliitoa juzi mkoani hapa alipofungua Mkutano Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) ambao ulikuwa pamoja na uchaguzi wa nafasi za juu za chama hicho.
Akizungumza katika mkutano huo ulikuwa na wajumbe zaidi ya 1,200 ambako mke wake Salma Kikwete pia alihudhuria, Rais Kikwete alitumia fursa hiyo kuwaaga walimu hao.
Katika...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo17 Jun
Miswada 7 mipya ya sheria yatua bungeni
SERIKALI imewasilisha bungeni miswada sita mipya ambayo imesomwa jana kwa mara ya kwanza.
10 years ago
Mwananchi28 Mar
BUNGENI: Serikali yaichomoa miswada ya habari
10 years ago
Mwananchi26 Mar
Miswada miwili ya habari kuwasilishwa ‘kimafia’ bungeni
10 years ago
GPLKIMENUKA BUNGENI: BUNGE LAAHIRISHWA BAADA YA UPINZANI KUGOMEA MISWADA
10 years ago
Mwananchi28 May
Bunge kuongezwa kwa siku 10 kujadili miswada
10 years ago
VijimamboRais Kikwete atia saini kuridhia Miswada ya Sheria mitano hadharani Ikulu, Dar es salaam
11 years ago
CloudsFM26 Jul
RAIS KIKWETE MGENI RASMI KWENYE MAADHIMISHO YA SIKU YA KUMBUKUMBU YA MASHUJAA SIKU YA JANA
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka ngao kwenye mnara wakati wa Maadhimisho ya siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa iliyofanyika jana katika bustani ya Mnazi mmoja jijini Dar es salaam.
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Mohamed Ali Shein kwenye Maadhimisho ya siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa iliyofanyika katika bustani ya Mnazi mmoja jijini Dar es salaam jana. Wengine ni Makamu wa Rais Dkt Mohamed...
11 years ago
Habarileo20 Feb
Vurugu bungeni ‘kifungo’ siku 10
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba atakayevunja, kujaribu kuvunja utaratibu, amani na utulivu au kuonesha tabia za vurugu kwa kutumia nguvu na mabavu ndani ya ukumbi wa mikutano, atakabiliwa na adhabu ya kuzuiwa vikao kwa siku 10.
11 years ago
Mwananchi25 Apr
Siku 67 za mipasho, matusi bungeni