Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Siku 67 za mipasho, matusi bungeni

Bunge Maalumu la Katiba linaahirishwa leo baada ya kukutana kwa siku 67 bila kupitisha hata ibara moja kati ya 240 zilizomo katika Rasimu ya Katiba.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Matusi bungeni yamuibua JK

RAIS Jakaya Kikwete amekemea vitendo vya wajumbe wa Bunge la Katiba kuwatusi waasisi wa taifa hili na kusema huo ni utovu wa nidhamu na ukosefu wa adabu. Katika mazungumzo yake...

 

11 years ago

Mwananchi

Makonda agoma kufuta ‘matusi’ bungeni

Mjumbe wa Bunge la Katiba, Paul Makonda, jana aligoma kufuta kauli yake baada ya kuwaita viongozi wakuu wawili wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kuwa ni watoto wa shetani.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Matusi bungeni kwa faida ya nani?

KINACHOENDELEA ndani ya Bunge la Katiba ni aibu inayofanya wajumbe walioteuliwa na Rais Jakaya Kikwete kupoteza heshima yao mbele ya jamii. Hali hiyo inatokana na jinsi mjadala wa rasimu ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Makanisa Singida yaonya matusi na ubaguzi Bungeni

DSC00479

Askofu wa kanisa la Evanglist Assembels of God Tanzania (E.A.G.T) Singida mjini, John Mafwimbo akizungumza kwenye mkutano wa Injili uliofanyika kwenye viwanja vya shule ya msingi Ukombozi mjini Singida.Pamoja na mambo mengi, askofu Mafwimbo amewasihi wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, kufanya mambo waliyotumwa na Watanzania na si vinginevyo.

Na Nathaniel Limu, Singida

Makanisa ya Kipentekoste mkoani Singida, yameungana na Watanzania wengine kuwaomba wajumbe wa Bunge Maalum la kuandaa Katiba...

 

10 years ago

GPL

MAKANISA SINGIDA YAONYA MATUSI NA UBAGUZI BUNGENI‏

Askofu wa kanisa la Evanglist Assembels of God Tanzania (E.A.G.T) Singida mjini, John Mafwimbo akizungumza kwenye mkutano wa Injili uliofanyika kwenye viwanja vya shule ya msingi Ukombozi mjini Singida.Pamoja na mambo mengi, askofu Mafwimbo amewasihi wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, kufanya mambo waliyotumwa na Watanzania na si vinginevyo. Mchungaji wa kanisa la Free Pentekoste Tanzania Singida mjini, Boniface Ntandu,...

 

10 years ago

Michuzi

Mh. Pindi Chana azindua kampeni ya Mpe riziki si matusi yenye lengo la kuondoa lugha chafu na matusi kwa wanawake wa sokoni

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mhe. Dkt. Pindi Chana (Mb) akizundua kampeni ya Mpe riziki si matusi yenye lengo la kuondoa lugha chafu na matusi kwa wanawake wa sokoni na wanaofanya shughuli zao katika sekta zisizo rasmi. Uzinduzi huo umefanyika katika ukumbi wa Belinda Jijini Dar es salaam tarehe 27 Februari 2015. Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mhe. Dkt. Pindi Chana akizungumza mara baada ya kuzindua kampeni ya Mpe riziki si matusi yenye lengo la...

 

11 years ago

Habarileo

Vurugu bungeni ‘kifungo’ siku 10

Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Maalumu la Katiba, Pandu Ameir KifichoMJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba atakayevunja, kujaribu kuvunja utaratibu, amani na utulivu au kuonesha tabia za vurugu kwa kutumia nguvu na mabavu ndani ya ukumbi wa mikutano, atakabiliwa na adhabu ya kuzuiwa vikao kwa siku 10.

 

10 years ago

Mtanzania

Kikwete:Tutaongeza siku 10 za miswada bungeni

Jakaya-Kikwete1NA ELIYA MBONEA, ARUSHA
RAIS Jakaya Kikwete amesema Serikali inafanya mazungumzo na Ofisi ya Spika wa Bunge kuongeza siku 10 za kuwasilisha miswada mbalimbali.
Kauli hiyo aliitoa juzi mkoani hapa alipofungua Mkutano Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) ambao ulikuwa pamoja na uchaguzi wa nafasi za juu za chama hicho.
Akizungumza katika mkutano huo ulikuwa na wajumbe zaidi ya 1,200 ambako mke wake Salma Kikwete pia alihudhuria, Rais Kikwete alitumia fursa hiyo kuwaaga walimu hao.
Katika...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mipasho haifai muziki wa Injili

STAILI, vionjo na mfumo mzima wa muziki  umekuwa ukibadilika kila siku kutokana na sababu mbalimbali ikiwamo hali ya kwenda na wakati. Mabadiliko haya  kwa upande mwingine yamekuwa sababu ya changamoto...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani