Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KIMENUKA BUNGENI: BUNGE LAAHIRISHWA BAADA YA UPINZANI KUGOMEA MISWADA

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, limeahirishwa ghafla leo baada ya wabunge wa upinzani kusimama na kukataa kutoka nje ili kuzuia miswada mitatu muhimu ya Gesi, Petroli na Uziduaji kusomwa kwa Hati ya Dharura. Hali hiyo imetokea baada ya Mbunge wa Jimbo la Ubungo, John Mnyika kuomba mwongozo juu ya uvunjaji wa kanuni za bunge kwa kuwekwa miswada mitatu sambamba. Spika wa Bunge, Anne Makinda aliwataka wabunge hao kutoka...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

BUNGE LAAHIRISHWA BAADA YA VURUGU KUHUSU POLISI KUWASHAMBULIA WAFUASI WA CUF

Mbunge wa NCCR–Mageuzi, James  Mbatia. Baada ya James Francis Mbatia kuleta hoja ya dharura juu nguvu iliyotumiwa na polisi dhidi ya maandamano ya CUF jana, ili ijadiliwe na wabunge kama hoja ya dharura, Spika Makinda aliamuru serikali ilete majibu kesho ndipo ijadiliwe.
Spika wa Bunge, Anne Makinda, akiongozwa na mpambe kuingia kwenye ukumbi wa Bunge. Wabunge walisimama kushinikiza hoja ijadiliwe lakini...

 

10 years ago

GPL

BUNGE LAAHIRISHWA BAADA YA WABUNGE KUPINGA BAADHI YA MAAZIMIO YA KUWALINDA WATUHUMIWA WA SAKATA LA ESCROW

MAAZIMIO
Pendekezo la kwanza la kumkamata na kumfilisi bwana Seth lina marekebisho ya serikali, naibu waziri wa Sheria anasema haiwezekani Pendekezo la pili kuhusu Rugemalira, serikali imeweka marekebisho kuhusu uhalali wa pesa za Rugemalira alizogawa Azimio la TATU limerekebishwa kuwa waliopokea pesa wachunguzwe na kuchukuliwa hatua mahususi kwa mujibu wa sheria Pendekezo la NNE. Kamati inazitaka mamlaka...

 

11 years ago

GPL

KIMENUKA BUNGENI

Waziri Mkuu Mizengo Pinda. Waziri wa Maliasili na Utalii, Khamisi Kagasheki.…

 

10 years ago

Mwananchi

BUNGENI: Serikali yaichomoa miswada ya habari

>Juhudi za wadau wa habari kuwasilisha ombi kwa Spika wa Bunge, Anne Makinda wakitaka miswada miwili ya habari ya mwaka 2015 iwasilishwe kwa mfumo wa kawaida, zimezaa matunda baada ya Serikali kuamua kuiondoa kabisa miswada hiyo, sasa haitajadiliwa tena katika mkutano wa 19 wa Bunge unaoendelea mjini Dodoma.

 

10 years ago

Habarileo

Miswada 7 mipya ya sheria yatua bungeni

SERIKALI imewasilisha bungeni miswada sita mipya ambayo imesomwa jana kwa mara ya kwanza.

 

10 years ago

Mtanzania

Kikwete:Tutaongeza siku 10 za miswada bungeni

Jakaya-Kikwete1NA ELIYA MBONEA, ARUSHA
RAIS Jakaya Kikwete amesema Serikali inafanya mazungumzo na Ofisi ya Spika wa Bunge kuongeza siku 10 za kuwasilisha miswada mbalimbali.
Kauli hiyo aliitoa juzi mkoani hapa alipofungua Mkutano Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) ambao ulikuwa pamoja na uchaguzi wa nafasi za juu za chama hicho.
Akizungumza katika mkutano huo ulikuwa na wajumbe zaidi ya 1,200 ambako mke wake Salma Kikwete pia alihudhuria, Rais Kikwete alitumia fursa hiyo kuwaaga walimu hao.
Katika...

 

10 years ago

Mwananchi

Miswada miwili ya habari kuwasilishwa ‘kimafia’ bungeni

Licha ya wadau wa habari kuwasilisha ombi kwa Spika wa Bunge, Anne Makinda wakitaka miswada miwili ya habari ya mwaka 2015 iwasilishwe kwa mfumo wa kawaida, Serikali imeing’ang’ania huku ikisema itawasilishwa chini ya hati ya dharura Jumanne ijayo.

 

10 years ago

GPL

BUNGE LAAHIRISHWA TENA

SPIKA wa Bunge, Anne Makinda ameahirisha bunge baada ya kutokea mzozo kwa wabunge wa upinzani kusimama na kuomba mwongozo wakati Waziri wa Nishati na madini, George Simbachawene alipoanza kusoma kwa mara ya pili Muswada juu ya Petroli, 2015 (The Petroleum Act, 2015). Baadhi ya wabunge wa upinzani walisimama kuomba mwongozo akiwemo, Tundu Lissu lakini hawakupewa nafasi ndipo wenzao nao waliposimama na kuanza kupaza asauti...

 

10 years ago

GPL

KIMENUKA BUNGENI; WABUNGE WAPIGA KELELE WAKITAKA MAJIBU KURA YA MAONI

Mbunge wa Ubungo (Chadema) akichangia mada bungeni. SPIKA wa Bunge, Anne Makinda ameamua kulihairisha bunge hadi hapo baadaye baada ya vurugu kuibuka kwa baadhi ya wabunge wakitaka hoja ya kuhairisha mchakato wa kura ya maoni ijadiliwe na kura ya maoni isogezwe mbele maana muda hautoshi. Spika wa Bunge, Anne Makinda. Mbunge wa Ubungo (Chadema), John Mnyika alisimama na kusema: "Nimesimama kupata idhini kwa mujibu wa kanuni ili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani