Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DAR ILIVYOSIMAMA KWA MUDA PINDI LOWASSA AKIELEKEA NEC KUCHUKUA FOMU YA URAIS

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WANANCHI WAJITOKEZA KUMSINDIKIZA EDWARD LOWASSA KWENDA NEC KUCHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS

Wananchi wakimsindikiza Waziri mkuu msaafu Edwald Lowassa (CHADEMA) wakati akielekea kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kupitia chama cha Demokrasioa na Maendeleo (CHADEMA) wakitokea ofisi za chama hicho kupitia ofisi za CUF na kuhitimisha katika ofisi za NEC jijini Dar es Salaam leo.

 

10 years ago

Michuzi

WANANCHI WAJITOKEZA KUMSINDIKIZA EDWALD LOWASSA (CHADEMA) KWENDA NEC KUCHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS

Wananchi wakimsindikiza Waziri mkuu msaafu Edwald Lowassa (CHADEMA) wakati akielekea kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kupitia chama cha Demokrasioa na Maendeleo (CHADEMA) wakitokea ofisi za chama hicho kupitia ofisi za CUF na kuhitimisha katika ofisi za NEC jijini Dar es Salaam leo.

 

10 years ago

Dewji Blog

January Makamba alipokuwa akielekea kuchukua fomu ya Urais Mjini Dodoma

IMG-20150610-WA0004

January Makamba alipokua akielekea Dodoma Kuchukua Form ya Urais Baada ya kutangaza nia siku ya Jumapili jijini Dar es salaam.

IMG-20150610-WA0006

IMG-20150610-WA0002

IMG-20150610-WA0003

 

IMG-20150610-WA0001

IMG-20150610-WA0005

 

10 years ago

Habarileo

Lowassa aipagawisha Dar, achukua fomu ya urais NEC

MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chadema anayeungwa mkono na vyama vingine vitatu vya upinzani vinavyounda umoja unaofahamika kwa jina la Ukawa, Edward Lowassa jana alichukua fomu za kuwania rasmi nafasi hiyo kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).

 

10 years ago

Michuzi

LOWASSA AWASILI MAKAO MAKUU YA CHADEMA KUCHUKUA FOMU YA KUWANIA URAIS NDANI YA CHAMA HICHO HIVI PUNDE JIJINI DAR

Waziri Mkuu Mstaafu Mh.Edward Lowassa akiwa sambamba na Mkewe Mama Reginal akiwasili makao Makuu ya chama cha CHADEMA yaliyopo Kinondoni jijini Dar hivi punde ,kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais kupitia chama hicho,Mhe.Lowassa amekihama chama chake cha CCM na kujiunga na UKAWA kupitia chama cha CHADEMA na kukabidhiwa kadi ya uanachama hivi karibu,jijini Dar es Salaam.  Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu,Mama Regina Lowassa akiwasili ofisi za Makao makuu ya CHADEMA yaliyopo Kinondoni jijini...

 

10 years ago

Vijimambo

LOWASSA AWASILI MAKAO MAKUU YA CHADEMA NA KUCHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS

 Mhe. Edward Lowassa akiwasili makao makuu ya Chadema Kinondoni jijini Dar es salaam leo Alhamisi 30 Julai 2015, kwa ajili ya kuchukua fomu. Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Mhe. Freeman Mbowe (Wa kwanza kushoto) akizungumza na Edward Lowassa pamoja na mke wake Regina Lowassa (wa kwanza kulia) walipowasili katika ofisi za Chadema makao makuu kwa ajili ya kuchukua fomu, (Wa pili kushoto) ni naibu katibu mkuu Zanzibar Salum Mwalimu.
 Mwanasheria mkuu wa Chadema Mhe. Tundu Lissu akiongea katika...

 

9 years ago

GPL

LOWASSA ARUDISHA FOMU ZA URAIS NEC

Edward Lowassa akimkabidhi fomu ya urais Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva (kulia). Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Ukawa, Mhe. Edward Lowassa akifuatana na Mgombea Mwenza Juma Haji Duni leo wamekamilisha zoezi la kurudisha fomu katika tume ya Taifa ya…

 

9 years ago

GPL

LOWASSA, DUNI WARUDISHA FOMU ZA URAIS NEC

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva akimkabidhi, Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, nyaraka mbalimbali zitakazotumika wakati wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu, kwenye Ofisi za Tume hiyo, Jijini Dar es salaam leo Agosti 21, 2015. Kushoto ni Mgombea Mweza wake, Dkt. Juma Haji Duni.… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani