WANANCHI WAJITOKEZA KUMSINDIKIZA EDWARD LOWASSA KWENDA NEC KUCHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS

Wananchi wakimsindikiza Waziri mkuu msaafu Edwald Lowassa (CHADEMA) wakati akielekea kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kupitia chama cha Demokrasioa na Maendeleo (CHADEMA) wakitokea ofisi za chama hicho kupitia ofisi za CUF na kuhitimisha katika ofisi za NEC jijini Dar es Salaam leo.
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
WANANCHI WAJITOKEZA KUMSINDIKIZA EDWALD LOWASSA (CHADEMA) KWENDA NEC KUCHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS



10 years ago
Vijimambo
10 years ago
Vijimambo
MGOMBE URAIS KUPITIA CHADEMA NA UKAWA EDWARD LOWASSA KUCHUKUA FOMU TAREHE 10/08/2015

10 years ago
Vijimambo
LOWASSA AWASILI MAKAO MAKUU YA CHADEMA NA KUCHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS



10 years ago
GPL11 Aug
10 years ago
VijimamboMBOWE NA KAMANDA KOVA WATOLEA UFAFANUZI KUHUSU MAANADAMANO YA KUMSINDIKIZA MGOMBEA URAIS KUCHUKUA FOMU
5 years ago
Michuzi
WANAWAKE WAWILI WAJITOKEZA KUCHUKUA FOMU YA URAIS CCM ZANZIBAR,MAKADA WAFIKIA 26
-WALIOREJESHA FOMU WAFIKIA WANNE
NA ANDREW CHALE, ZANZIBAR.
WANAMAMA wawili wamejitokeza leo 24 Juni kuchukua fomu ya kuwania kugombea Urais wa Zanzibar kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM.
Mwanamama wa kwanza ni Husna Attai Masoud aliwasili viwanja vya Afisi Kuu ya CCM -Zanzibar zilizopo eneo la Kisiwandui majira ya saa Nne akiwa amesindikizwa na wapambe wake watano wote Wanamama akiwemo dereva aliyewaendesha na
kisha kupanda hadi gorofa ya pili kwa Katibu wa Idara ya Organization...
NA ANDREW CHALE, ZANZIBAR.
WANAMAMA wawili wamejitokeza leo 24 Juni kuchukua fomu ya kuwania kugombea Urais wa Zanzibar kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM.
Mwanamama wa kwanza ni Husna Attai Masoud aliwasili viwanja vya Afisi Kuu ya CCM -Zanzibar zilizopo eneo la Kisiwandui majira ya saa Nne akiwa amesindikizwa na wapambe wake watano wote Wanamama akiwemo dereva aliyewaendesha na
kisha kupanda hadi gorofa ya pili kwa Katibu wa Idara ya Organization...
5 years ago
Michuzi
PROF. MAKAME MBARAWA, MWANAMAMA MWATUM SULTAN WAJITOKEZA KUCHUKUA FOMU ZA URAIS CCM ZANZIBAR
NA ANDREW CHALE, ZANZIBAR.
WAZIRI wa Maji wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzaniaa, Profesa Makame Mbarawa asubuhi ya leo 19 Juni, amechukua fomu za kutaka kuteuliwa nafasi ya Mgombea wa Urais wa Zanzibar ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Makame Mbarawa anakuwa Kada wa 10 leo kuchua fomu baada ya jana 18 Juni Makada 9 kuchukua fomu.
Baada ya tukio hilo la kuchukua fomu, Makame hakuwa tayari kuongea na Wanahabari.
Aidha, kwa mara ya kwanza Kada wa CCM, Mwanamama, Mwatum Mussa Sultan ...
10 years ago
Michuzi
Wanasiasa watano wanatarajia kuchukua fomu ya kugombea urais mjini Dodoma leo

Wanasiasa watano wanatarajia kuchukua fomu ya kugombea urais katika makao makuu ya chama cha...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania