Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PICHA: MAELFU YA WAKAZI WA DAR ES SALAAM WAJITOKEZA KUMSINDIKIZA MH. LOWASSA KUCHUKUA FOMU



Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WANANCHI WAJITOKEZA KUMSINDIKIZA EDWARD LOWASSA KWENDA NEC KUCHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS

Wananchi wakimsindikiza Waziri mkuu msaafu Edwald Lowassa (CHADEMA) wakati akielekea kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kupitia chama cha Demokrasioa na Maendeleo (CHADEMA) wakitokea ofisi za chama hicho kupitia ofisi za CUF na kuhitimisha katika ofisi za NEC jijini Dar es Salaam leo.

 

10 years ago

Michuzi

WANANCHI WAJITOKEZA KUMSINDIKIZA EDWALD LOWASSA (CHADEMA) KWENDA NEC KUCHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS

Wananchi wakimsindikiza Waziri mkuu msaafu Edwald Lowassa (CHADEMA) wakati akielekea kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kupitia chama cha Demokrasioa na Maendeleo (CHADEMA) wakitokea ofisi za chama hicho kupitia ofisi za CUF na kuhitimisha katika ofisi za NEC jijini Dar es Salaam leo.

 

10 years ago

Vijimambo

MBOWE NA KAMANDA KOVA WATOLEA UFAFANUZI KUHUSU MAANADAMANO YA KUMSINDIKIZA MGOMBEA URAIS KUCHUKUA FOMU

 Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amesema kuwa UKAWA hawana taarifa zozote za zuio la maandamano ya kumsindikiza kuchukua fomu Mgombea wao wa Urais Mh. Edward Lowassa yanayoanzia ofisi za CUF hadi tume ya Uchaguzi (NEC).Kwa upande wa Jeshi la Polisi ,Kamanda wa polisi kanda maalum ya Dar es Salaam Suleiman Kova, amesema kuwa maandamano wanayo yatambua ni yale yanayoanzia CHADEMA kwenda NEC na kurudi Chadema makao makuu kinondoni, lakini ya kutoka makao makuu ya CUF buguruni kwenda NEC...

 

9 years ago

CCM Blog

WAJITOKEZA KUCHUKUA FOMU ZA USPIKA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

 Aliyekuwa Waziri wa Uchukuzi Mhe. Samuel Sitta akisaini kitabu cha wageni kabla ya kuchukua fomu za kuwania uspika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mbele ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa anayeshughulikia Oganaizesheni,  Ndugu Mohamed Seif Khatib
 Aliyekuwa Waziri wa Uchukuzi Mhe. Samuel Sitta akizungumza na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa anayeshughulikia Oganaizesheni,  Ndugu Mohamed Seif Khatib mara baada ya kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya uspika wa bunge la...

 

10 years ago

Michuzi

MAELFU YA WAKAZI WA TUNDURU WAJITOKEZA KUMPOKEA PROF IBRAHIM LIPUMBA

 Wanachama wa Chama cha Wananchi CUF wakiwa katika msafara wa mapokezi ya Mwenyekiti wa chama hicho,Prof Ibrahim LipumbaMwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF,Prof Ibrahim Lipumba mwenye shati jekundu na kofia nyekundu akiwapungia mkono wanachama wa chama cha CUF mara tu baada ya kufika katika ofisi za CUF Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma Polisi wakiwa katika ulinzi wa Prof Ibrahim LipumbaNaibu Mkurugenzi wa Oganaizesheni Uchaguzi na Bunge wa Chama Cha Wananchi CUF – Shaweji Mketo...

 

5 years ago

Michuzi

WANAWAKE WAWILI WAJITOKEZA KUCHUKUA FOMU YA URAIS CCM ZANZIBAR,MAKADA WAFIKIA 26

-WALIOREJESHA FOMU WAFIKIA WANNE

NA ANDREW CHALE, ZANZIBAR.

WANAMAMA wawili  wamejitokeza leo 24 Juni kuchukua fomu ya kuwania kugombea Urais wa Zanzibar  kupitia tiketi ya Chama  Cha Mapinduzi CCM.

Mwanamama wa kwanza ni Husna Attai Masoud aliwasili viwanja vya Afisi Kuu ya CCM -Zanzibar  zilizopo eneo la  Kisiwandui majira ya saa Nne akiwa amesindikizwa na wapambe wake watano wote  Wanamama akiwemo dereva aliyewaendesha na

kisha kupanda hadi gorofa ya pili kwa Katibu wa Idara ya Organization...

 

10 years ago

Michuzi

LOWASSA AWASILI MAKAO MAKUU YA CHADEMA KUCHUKUA FOMU YA KUWANIA URAIS NDANI YA CHAMA HICHO HIVI PUNDE JIJINI DAR

Waziri Mkuu Mstaafu Mh.Edward Lowassa akiwa sambamba na Mkewe Mama Reginal akiwasili makao Makuu ya chama cha CHADEMA yaliyopo Kinondoni jijini Dar hivi punde ,kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais kupitia chama hicho,Mhe.Lowassa amekihama chama chake cha CCM na kujiunga na UKAWA kupitia chama cha CHADEMA na kukabidhiwa kadi ya uanachama hivi karibu,jijini Dar es Salaam.  Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu,Mama Regina Lowassa akiwasili ofisi za Makao makuu ya CHADEMA yaliyopo Kinondoni jijini...

 

10 years ago

Michuzi

WANA CCM KIBAO WAJITOKEZA KUCHUKUA FOMU ZA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA MOSHI MJINI

Mtia nia wa nafasi ya Ubunge katika jimbo la Moshi mjini, Priscus Tarimo, akikabidhiwa fomu ya nafasi hiyo na katibu wa CCM manispaa ya Moshi, Loth Ole Nesele katika ofis za chama hicho za Wilaya ya Moshi mjini.Naibu kamanda wa Vijana wa CCM, manispaa ya Moshi, Edmund Rutaraka akipokea fomu ya kuwania nafasi ya kuteuliwa kupeperusha bendera ya chama hicho kutoka kwa katibu msaidizi wa CCM wilaya ya Moshi mjini,Donatha Mushi.Kada wa Chama cha Mapinduzi manispaa ya Moshi Daudi Mrindoko akiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani