MAELFU YA WAKAZI WA TUNDURU WAJITOKEZA KUMPOKEA PROF IBRAHIM LIPUMBA
Wanachama wa Chama cha Wananchi CUF wakiwa katika msafara wa mapokezi ya Mwenyekiti wa chama hicho,Prof Ibrahim LipumbaMwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF,Prof Ibrahim Lipumba mwenye shati jekundu na kofia nyekundu akiwapungia mkono wanachama wa chama cha CUF mara tu baada ya kufika katika ofisi za CUF Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma Polisi wakiwa katika ulinzi wa Prof Ibrahim LipumbaNaibu Mkurugenzi wa Oganaizesheni Uchaguzi na Bunge wa Chama Cha Wananchi CUF – Shaweji Mketo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLWAKAZI WA TUNDURU WAJITOKEZA KUMPOKEA PROF IBRAHIM LIPUMBA
10 years ago
Vijimambo10 years ago
MichuziMAELFU WAKAZI WA JIJI LA MWANZA WAJITOKEZA KUMLAKI KWA SHANGWE DKT MAGUFULI JIJINI MWANZA LEO.
5 years ago
The Citizen Daily17 Mar
'Agriculture way forward'- CUF chairman Ibrahim Lipumba
11 years ago
Mwananchi22 Dec
Profesa Ibrahim Lipumba aifunda Chadema Dar
10 years ago
IPPmedia24 Nov
CUF National Chairman Professor Ibrahim Lipumba
IPPmedia
CUF National Chairman Professor Ibrahim Lipumba
IPPmedia
Both the ruling party and major opposition Civic United Front (CUF) are calling on all officials implicated in the Tegeta 306bn/- escrow account scandal to voluntarily resign before they are publicly kicked out of office. Additionally, CUF wants all accounts that ...
10 years ago
Mtanzania07 Aug
Sura mbili za Ibrahim Lipumba ndani ya Cuf na ukawa
NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
HATIMAYE Profesa Ibrahim Lipumba ametangaza rasmi kujiuzulu nafasi yake ya uenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), huku suala hilo likigubikwa na sura mbili na kauli tata za kiongozi huyo.
Profesa Lipumba amefikia uamuzi huo jana, jijini Dar es Salaam alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari na kuhitimisha tetesi zilizokuwa zikimuhusisha na kung’atuka katika uongozi wa cha hicho.
Alisema kuwa ameikabidhi Ofisi ya Katibu Mkuu, barua ya kung’atuka nafasi...
10 years ago
VijimamboBAADA YA PROFESA IBRAHIM LIPUMBA KUJIUZULU UWENYEKITI, UONGOZI WA CUF ZANZIBAR WATOA TAMKO
Jana tarehe 6 Agosti, 2015 Profesa Ibrahim Lipumba aliitisha mkutano na waandishi wa habari katika Hoteli ya Peacock, mjini Dar es...
10 years ago
Dewji Blog06 Aug
Profesa Ibrahim Lipumba ajiuzulu nyazifa zote CUF na UKAWA, abaki mwanachama wa kawaida
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF, Profesa Ibrahim Lipumba akizungumza na waandishi wa habari kwenye hoteli ya Peacock leo jijini Dar es salaam wakati akitangaza kujuuzulu nyazifa zake zote katika chama hicho na kubaki mwanachama wa kawaida kutokana kile alichokiita dhamira inamsuta.(NA KIKOSI KAZI CHA FULLSHANGWE-DAR ES SALAAM).
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF Profesa Ibrahim Lipumba akionyesha rasimu ya katiba iliyoandaliwa na tume ya katiba mpya iliyokuwa...