Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LOWASSA, DUNI WARUDISHA FOMU ZA URAIS NEC

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva akimkabidhi, Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, nyaraka mbalimbali zitakazotumika wakati wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu, kwenye Ofisi za Tume hiyo, Jijini Dar es salaam leo Agosti 21, 2015. Kushoto ni Mgombea Mweza wake, Dkt. Juma Haji Duni.… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Waliochukua fomu za urais warudisha Nec

WAGOMBEA urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka vyama vinane vya siasa nchini, wameteuliwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuwania nafasi hiyo katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25 mwaka huu, huku wagombea watatu wakipoteza sifa.

 

9 years ago

GPL

LOWASSA ARUDISHA FOMU ZA URAIS NEC

Edward Lowassa akimkabidhi fomu ya urais Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva (kulia). Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Ukawa, Mhe. Edward Lowassa akifuatana na Mgombea Mwenza Juma Haji Duni leo wamekamilisha zoezi la kurudisha fomu katika tume ya Taifa ya…

 

10 years ago

Habarileo

Lowassa aipagawisha Dar, achukua fomu ya urais NEC

MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chadema anayeungwa mkono na vyama vingine vitatu vya upinzani vinavyounda umoja unaofahamika kwa jina la Ukawa, Edward Lowassa jana alichukua fomu za kuwania rasmi nafasi hiyo kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).

 

10 years ago

Vijimambo

Lowassa achukua fomu za Urais Nec, maelfu wamsindikiza



EDWARD Lowassa, mgombea urais wa Chadema amesema, Rais Jakaya Kikwete ameharibu uchumi wa Tanzania.Akizungumza na wafuasi wa Chadema pia UKAWA katika ofisi za Chadema mara baada ya kuchukua fomu ya kuwania urais kupitia chama hicho jana mchana, Lowassa alisema;“Rafiki yangu Jakaya Kikwete ameuharibu uchumi wa nchi yetu,”“Wakati Rais Mkapa anaondoka madarakani kilo ya sukari ilikuwa Sh. 600 leo ni Sh. 2,300. Mchele ulikuwa Sh. 550 leo ni Sh. 2,300. Sembe ilikuwa Sh. 250 leo ni Sh. 1,200.”Aidha...

 

10 years ago

Habarileo

6 tu warudisha fomu za urais CCM

Makao Makuu ya CCM mjini DodomaWIKI moja kabla ya kwisha kwa muda warudisha fomu kwa makada wa CCM waliojitokeza kuwania kupitishwa na chama hicho kuwania urais wa Tanzania, ni wanachama sita tu kati ya 39 ndio waliorudisha fomu mpaka sasa.

 

10 years ago

Michuzi

WANANCHI WAJITOKEZA KUMSINDIKIZA EDWARD LOWASSA KWENDA NEC KUCHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS

Wananchi wakimsindikiza Waziri mkuu msaafu Edwald Lowassa (CHADEMA) wakati akielekea kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kupitia chama cha Demokrasioa na Maendeleo (CHADEMA) wakitokea ofisi za chama hicho kupitia ofisi za CUF na kuhitimisha katika ofisi za NEC jijini Dar es Salaam leo.

 

10 years ago

Michuzi

WANANCHI WAJITOKEZA KUMSINDIKIZA EDWALD LOWASSA (CHADEMA) KWENDA NEC KUCHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS

Wananchi wakimsindikiza Waziri mkuu msaafu Edwald Lowassa (CHADEMA) wakati akielekea kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kupitia chama cha Demokrasioa na Maendeleo (CHADEMA) wakitokea ofisi za chama hicho kupitia ofisi za CUF na kuhitimisha katika ofisi za NEC jijini Dar es Salaam leo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani