Waliochukua fomu za urais warudisha Nec
WAGOMBEA urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka vyama vinane vya siasa nchini, wameteuliwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuwania nafasi hiyo katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25 mwaka huu, huku wagombea watatu wakipoteza sifa.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLLOWASSA, DUNI WARUDISHA FOMU ZA URAIS NEC
10 years ago
Michuzi
10 years ago
Mwananchi08 Jun
5 years ago
Michuzi
WALIOCHUKUA FOMU KUGOMBEA URAIS ZANZIBAR TAYARI WAFIKIA 12

MAKADA 12 wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) wameshajitokeza kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar katika Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika 25,2020.
Hadi leo mchana huu wa Juni 19 mwaka 2020, aliochukua fomu ya kuwania nafasi hiyo ni Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dk.Hussein Mwinyi, Balozi Alli Karume, Mbwana Yahya Mwinyi anayetoka Umoja wa Vijana wa CCM, Omar Sheha Mussa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha katika...
10 years ago
Habarileo24 Jun
6 tu warudisha fomu za urais CCM
WIKI moja kabla ya kwisha kwa muda warudisha fomu kwa makada wa CCM waliojitokeza kuwania kupitishwa na chama hicho kuwania urais wa Tanzania, ni wanachama sita tu kati ya 39 ndio waliorudisha fomu mpaka sasa.
5 years ago
MichuziMAKADA WA CCM WALIOCHUKUA FOMU ZA KUWANIA URAIS WA ZANZIBAR LEO
10 years ago
Habarileo02 Aug
Watatu wachukua fomu za urais NEC
WAGOMBEA urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka vyama vitatu vya siasa nchini, wamechukua fomu za kuwania nafasi hiyo, huku wakikirushia Chama Cha Mapinduzi (CCM) tuhuma kutokana na changamoto mbalimbali za nchi. Wagombea hao walichukua fomu hizo kutoka Ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dar es Salaam jana.
10 years ago
GPLMAGUFULI ARUDISHA FOMU ZA URAIS NEC
10 years ago
GPL
LOWASSA ARUDISHA FOMU ZA URAIS NEC