CHADEMA yaweka msimamo mzito
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza msimamo mzito kwamba endapo vijana milioni tano wasipoandikishwa kwenye daftari la kudumu la wapiga kura kitasusia kura za maoni ya Katiba. Msimamo huo...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Uhuru Newspaper10 Jul
NEC yaweka msimamo uandikishaji
NA RABIA BAKARITUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema haitoongeza muda wa kuandikisha Daftari la Kudumu la Wapigakura kwa mfumo mpya wa BVR, licha ya wanasiasa wengi kupendekeza.Aidha imetoa ruksa kwa vyama vyote vya siasa vinavyohitaji kuweka mawakala kufanya hivyo wakati wa uandikishaji wa daftari hilo.Mapendekezo ya kuongeza muda kutoka siku 14 hadi mwezi au miezi miwili, yalitolewa juzi na viongozi wa juu wa vyama vya siasa, walioshiriki mkutano kati yao na NEC kwa ajili ya kujadili...
11 years ago
Uhuru Newspaper01 Jul
CCM Kibaha yaweka hadharani msimamo
NA MWANDISHI WETU
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Kibaha Mjini, kimesema wanachama wake watakaoongoza kura za maoni pasipo mizengwe, watateuliwa kuwania uongozi katika uchaguzi ujao wa serikali za mitaa.
Kimesema kitakabiliana na wagombea wote wasiokubali kushindwa, ambao mara nyingi wamekuwa chanzo cha kuendeleza makundi na kuleta matatizo kwenye uchaguzi.
Katibu wa CCM wa wilaya hiyo, Abdallah Mdimu, alisema hayo juzi kwa wenyeviti wa serikali za mitaa na madiwani alipokuwa akifunga...
10 years ago
Uhuru Newspaper21 Aug
Msimamo mzito Kamati Kuu CCM
Bunge la Katiba mbele kwa mbele, mchakato safiCC yawaengua mawaziri safari za JK nje ya nchiYatoa maagizo mazito kwa mawaziri na wabunge
Na Happiness Mtweve, Dodoma
KAMATI Kuu ya CCM, imewaagiza mawaziri, manaibu mawaziri na wabunge wasiohudhuria vikao vya Bunge Maalumu la Katiba, kuhudhuria mara moja.
Imesema mchango wa mawaziri na wabunge katika Bunge hilo ni muhimu ili kuhakikisha Katiba bora ya wananchi na yenye maoni ya wengi inapatikana.
Kutokana na hilo, imetangaza kupunguza idadi ya...
10 years ago
Tanzania Daima22 Sep
CHADEMA yaweka ngumu
WAKATI jeshi la polisi likiimarisha ulinzi kwenye maeneo mbalimbali ya nchi kuzuia maandamano na migomo isiyo na kikomo iliyoitishwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), chama hicho kimesema kitaanza leo....
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3I-9LvQkoOSY2jdJ3COKyOB**kQ3wdJO8gxg6Z0al7rjdpxDDJjzWl4BrS3uTHT6MIM3Ig9O2P1dUj1TN-ZJxDt3yg9vTkT4/zittto.jpg?width=650)
ZITTO AZIDI KUWA MZITO CHADEMA
Haruni Sanchawa na Jelard Lucas
HUKUMU iliyosomwa na Jaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, John Utumwa, Jumanne iliyopita (juzi), imemuongezea uzito Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe, sasa amekuwa mzito zaidi ndani ya chama chake. Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe akiwa ndani ya Mahakama Kuu wakati akisubiri hukumu ya kesi yake juzi. Awali, ilionekana kama uamuzi wa Kamati Kuu (CC) ya...
5 years ago
CHADEMA Blog![](https://img.youtube.com/vi/GND0hCJtBx4/default.jpg)
9 years ago
Mwananchi29 Dec
Mgogoro mzito wa ushuru
Kampuni ya Barrack Printers inayokusanya ushuru wa maegesho katika Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro, imeingia katika mgogoro na baadhi ya madiwani na wamiliki wa magari.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/agg6MtdmQC3aE9wzLRqJiW1EvOkQul1Jd3Dg8g14H8JnFXdrepalab3jR811dljxUdfm9b1s*swe9e7TTACy3ylPkhvSylXA/UTABIRI.jpg)
UTABIRI MZITO TENA!
Hamida Hassan na Gladness Mallya
HUKU makovu ya maumivu ya kuondokewa mfululizo na mastaa wanne wa filamu za Kibongo katika kipindi cha mwezi mmoja yakiwa hayajapona nabii naye ameibuka na kuweka wazi utabiri wake mzito kuhusu wasanii nchini hivyo kuwa sanjari na Maalim Hassan Yahya Hussein. Maalim Hassan Yahya Hussein akiwa kwenye ofisi za Global Publishers. Hata hivyo, kabla ya kusonga mbele, tujikumbushe kwamba mastaa...
11 years ago
Mwananchi20 Mar
Kikwete na ujumbe mzito
Rais Jakaya Kikwete kesho ataambatana na ujumbe mzito wa marais wastaafu wa pande zote za Muungano, wake wa waasisi wa taifa na mawaziri wakuu wastaafu atakapokwenda kuzindua Bunge Maalumu la Katiba.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania