ZITTO AZIDI KUWA MZITO CHADEMA
![](http://api.ning.com:80/files/3I-9LvQkoOSY2jdJ3COKyOB**kQ3wdJO8gxg6Z0al7rjdpxDDJjzWl4BrS3uTHT6MIM3Ig9O2P1dUj1TN-ZJxDt3yg9vTkT4/zittto.jpg?width=650)
Haruni Sanchawa na Jelard Lucas HUKUMU iliyosomwa na Jaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, John Utumwa, Jumanne iliyopita (juzi), imemuongezea uzito Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe, sasa amekuwa mzito zaidi ndani ya chama chake. Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe akiwa ndani ya Mahakama Kuu wakati akisubiri hukumu ya kesi yake juzi. Awali, ilionekana kama uamuzi wa Kamati Kuu (CC) ya...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima24 Jan
CHADEMA yaweka msimamo mzito
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza msimamo mzito kwamba endapo vijana milioni tano wasipoandikishwa kwenye daftari la kudumu la wapiga kura kitasusia kura za maoni ya Katiba. Msimamo huo...
9 years ago
Mwananchi07 Dec
Mbajo wa Chadema azidi kumng’ang’ania Dk Mathayo
10 years ago
Bongo Movies05 Dec
STAA WA KESHO: Binti wa Msanii Kajala, Paula Azidi Kuwa Mrembo
Mtoto wa msanii wa filamu na Mkurugenzi wa K. Entertainment, Kajala Masanja, Paula Paul ukipenda muite Paulitte. Sasa hivi anaoneka amekuwa binti mkubwa na mrembo zaidi….Mbali na kuwa mama yake ni staa mkubwa kwa upande wa Bongo Movie, baba yake , P. Funk aka Majani pia ni mtayarishaji wa music mkongwe na mwenye mafanikia makubwa kwenye upande wa Bongo Flava. Paula japokuwa bado yupo shule lakini maisha yake ya kuwa karibu sana na mama yake kwa ujumla yanamfanya ajuane na ajulikane sio tu...
9 years ago
Dewji Blog08 Oct
Magufuli azidi kuibomoa CHADEMA Kilimanjaro, awatolea uvivu watendaji TANESCO
![](http://2.bp.blogspot.com/-OGr2OF03wZ0/VhVgajlqopI/AAAAAAADAfY/ia6t2aPSyRU/s640/_MG_4268.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-AtjfBuIkpDE/VhVgd7jOQLI/AAAAAAADAfo/RWAZtirQGcw/s640/_MG_4282.jpg)
Dk. John Pombe Magufuli na mgombea ubunge wa jimbo la Moshi mjini Ndugu
Davis Mosha wakimsikiliza Bw. Lema aliyekuwa Katibu wa Chadema
wilaya ya Hai wakati alipojiunga na...
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-OGr2OF03wZ0/VhVgajlqopI/AAAAAAADAfY/ia6t2aPSyRU/s72-c/_MG_4268.jpg)
MAGUFULI AZIDI KUIBOMOA CHADEMA KILIMANJARO,AWATOLEA UVIVU WATENDAJI WA SHIRIKA LA UMEME NCHINI
![](http://2.bp.blogspot.com/-OGr2OF03wZ0/VhVgajlqopI/AAAAAAADAfY/ia6t2aPSyRU/s640/_MG_4268.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-AtjfBuIkpDE/VhVgd7jOQLI/AAAAAAADAfo/RWAZtirQGcw/s640/_MG_4282.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-QZb7iKOLbNg/VhVgFnBn7DI/AAAAAAADAd4/-F5GPblAf8o/s640/_MG_3942.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/R9XIwqbdD--DSnfuTV6yb0QoLFEshf4CbQ6kxkLxnMcImTXT6RBExz-RbukYHGTCgHcQJt8eqPeiEinyQ2y*3gjgeAHWiD0K/06ZITTO5.jpg?width=650)
ZITTO AICHAKAZA CHADEMA
11 years ago
Tanzania Daima11 Dec
Zitto aibuka CHADEMA
WAKATI mashabiki na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakihoji uamuzi wa Kamati Kuu ya chama hicho kumvua nafasi zote za uongozi Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe,...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/sT-mI3qB-hdZyjtysdz2HW9DTn7OzpTv5zIBMF4M3T0BVnRRQG-8g6DLLEpu6GKIOwEm8LKAgteyH-b5SZicfTzAxs1FMywG/2.jpg?width=650)
ZITTO: NAFAA KUWA RAIS
11 years ago
Habarileo31 Jul
Zitto: Sijawahi kuwa Ukawa
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto (Chadema) amesisitiza hajawahi kuwa katika kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) wala kundi lolote ndani ya Bunge Maalumu la Katiba isipokuwa, yuko kwenye linalotaka maridhiano.