Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ZITTO: NAFAA KUWA RAIS

Na Mwandishi Wetu
KIONGOZI Mkuu wa Chama cha ACT- Tanzania, Zitto Kabwe (pichani) ametaja sifa za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye angependa aongoze nchi na kusema kwamba yeye ana sifa hizo.
Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo Zitto Zuberi Kabwe Akizungumza na kituo kimoja cha runinga mwishoni mwa wiki iliyopita, Zitto alisema mtu anayetaka kuwa rais wa nchi hii ni lazima awe na uzalendo na asiwe...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Zitto: Sijawahi kuwa Ukawa

Zitto KabweMBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto (Chadema) amesisitiza hajawahi kuwa katika kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) wala kundi lolote ndani ya Bunge Maalumu la Katiba isipokuwa, yuko kwenye linalotaka maridhiano.

 

11 years ago

GPL

ZITTO AZIDI KUWA MZITO CHADEMA

Haruni Sanchawa na Jelard Lucas
HUKUMU iliyosomwa na Jaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, John Utumwa, Jumanne iliyopita (juzi), imemuongezea uzito Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe, sasa amekuwa mzito zaidi ndani ya chama chake. Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe akiwa ndani ya Mahakama Kuu wakati akisubiri hukumu ya kesi yake juzi. Awali, ilionekana kama uamuzi wa Kamati Kuu (CC) ya...

 

10 years ago

Michuzi

Chifu Wanzagi akanusha taarifa zilizoandikwa kuwa Makongoro hatoshi kuwa Rais

 Chifu wa Kabila la Wazanaki Japhet Wanzagi (wapili toka kulia)i akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya alichotaja kuwa ni upotoshwaji uliofanywa na gazeti moja la kila siku kuhusu taarifa za kutaja sifa za rais ajaye na kumponda Makongoro Nyerere kuwa hatoshi kwa nafasi ya Urais alidai taarifa za  kumponda Makongoro Nyerere kuwa hatoshi kwa nafasi ya Urais si za kweli bali amelishwa maneno).Wengine ni baaadhi ya wanafamilia na rafiki wa chifu huyo mapaema hii leo...

 

10 years ago

GPL

ZITTO KABWE ACHAGULIWA KUWA MKUU WA CHAMA CHA ACT TANZANIA

Kiongozi mpya wa chama cha ACT Tanzania, Zitto Kabwe akionyesha alama ya chama ambayo ni "Uwazi" baada ya kuchaguliwa.      Zitto akihutubia wajumbe.                 Zitto akihutubia wajumbe wakati wa uchaguzi huo.…

 

10 years ago

Bongo Movies

Wema: Ningependa Rais Kikwete Aendelee Kuwa Rais

Staa mrembo wa Bongo Movies, Wema Sepetu amenukuliwa na gazeti la Mwananchi la jana akieleza kuwa angependa Rais Jakaya Kikwete ambaye anamaliza muda wake  wa urais unamalizika mwishoni mwaka huu, agombee tena kwa awamu nyingine.

Akizungumza kuhusu siasa Wema alisema yeye ni shabiki mkubwa wa CCM, ingawa kuna baadhi ya vitu vinamkera na inabidi vifanyiwe kazi ili kujiimarisha.

Alisema anaupenda utendaji wa Rais Jakaya Mrisho Kikwete kutokana na vitu vingi alivyofanya katika kipindi cha...

 

9 years ago

Raia Mwema

Zitto ahaha kusaka Rais

KUNA uwezekano mkubwa kuwa mgombea urais kupitia chama kipya cha ACT-Wazalendo asiwe Profesa Kiti

Mwandishi Wetu

 

9 years ago

Michuzi

Rais wa Ireland Mhe. Michael D. Higgins ampongeza Dkt John Pombe Magufuli kwa kuchaguliwa kuwa Rais


 SALAMU ZA PONGEZI
Rais wa Ireland, Mheshimiwa Michael D. Higgins amemtumia Salamu za Pongezi  Dkt. John Pombe Joseph Magufuli kwa kuchaguliwa kwake kuwa Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Katika Salamu zake hizo, Rais Higgins amesema Ireland na Tanzania zimekuwa na uhusiano mzuri na wa kirafiki kwa miaka mingi, hivyo ana matarajio kwamba katika kipindi cha uongozi wa Rais Magufuli, uhusiano huo utaimarishwa zaidi.


“Ireland na Tanzania zimekuwa na mipango ya maendeleo na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani