Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chifu Wanzagi akanusha taarifa zilizoandikwa kuwa Makongoro hatoshi kuwa Rais

 Chifu wa Kabila la Wazanaki Japhet Wanzagi (wapili toka kulia)i akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya alichotaja kuwa ni upotoshwaji uliofanywa na gazeti moja la kila siku kuhusu taarifa za kutaja sifa za rais ajaye na kumponda Makongoro Nyerere kuwa hatoshi kwa nafasi ya Urais alidai taarifa za  kumponda Makongoro Nyerere kuwa hatoshi kwa nafasi ya Urais si za kweli bali amelishwa maneno).Wengine ni baaadhi ya wanafamilia na rafiki wa chifu huyo mapaema hii leo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete atawazwa kuwa chifu msaidizi wa waluguru na chifu kingalu huko kinole, morogoro, apewa jina la Chidukila

 CHIFU wa Waluguru Kingalu Mwanabanzi wa 14, akijiandaa kumtawaza Rais Jakaya Mrisho Kikwete kuwa Chifu Msaidizi wa kabila hilo katika sherehe za aina yake zilizofanyika katika uwanja wa Shule ya Msingi ya Kinole, kata ya Makuyuni, Morogoro vijijini Agosti 22, 2014.  Rais Kikwete pia alipewa jina la CHIDUKILA, lenye kumaanisha "muibukaji", kwa maana ya kwamba Rais Kikwete ana uhuru wa kuibuka kijijini Kinole bila taarifa wala kusubiri kualikwa.
 CHIFU wa Waluguru Kingalu Mwanabanzi wa 14,...

 

10 years ago

Mtanzania

Chifu Wanzagi ataja sifa za rais ajaye

Na Elias Msuya, Dar es Salaam
CHIFU wa kabila la Wazanaki, Japheth Wanzagi ametaja sifa za rais ajaye akisema, anapaswa kuwa ni mtu wa haki.
Hata chifu huyo amesema ni kitendawili kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa na mtu mwenye sifa hiyo.
Akizungumza katika mahojiano maalumu na MTANZANIA Sinza Kijiweni mjini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, Chifu Wanzagi alisema kwa kuwa Watanzania walio wengi ni masikini, hivyo rais ajaye anapaswa kutenda haki.
“Kitu kinacholeta taabu kwa sasa ni haki....

 

5 years ago

CCM Blog

CHIFU ADAM WA PILI ASIMIKWA RASMI KUWA CHIFU WA WAHEHE

   Chief Adam wa Pili Adam Abdul Adam Sapi Mkwawa Mwamuyinga jana alisimikwa rasmi na kukabidhiwa miiko ya utawala wa kabila la Kihehe baada ya kufikisha umri wa kuongoza.

Hafla hiyo imefanyika katika Uwanja wa Mashujaa uliopo Kalenga Mkoani Iringa ambapo Umoja Wa Machief Tanzania UMT umeshiriki.
Chief Adam wa Pili anachukua nafasi ya baba yake, Chief Abdul Mfwimwi aliyefariki mwaka 2005.

 

9 years ago

Bongo5

Kidum akanusha taarifa za kuwa ameokoka, aeleza kuhusu picha za kubatizwa zilizosambaa

kidum

Wiki chache zilizopita kuna picha za muimbaji wa Burundi, Kidum zikimuonesha akibatizwa kwenye maji mengi zilisambaa mtandaoni na ikasemekana kuwa ameokoka na kuachana na muziki wa kidunia.

kidum

Mwanamuziki huyo mwenye makazi nchini Kenya, amefafanua kuhusu picha hizo kuwa alikuwa akishoot video mpya.

“Sikudanganyi, picha zile muliona ni za video, nilikuwa nashoot video ya wimbo unaitwa ‘Mbingu na Dunia’.” alisema Kidum kupitia Amplifaya ya Clouds Fm. “Sasa jamaa alikuwa anashoot video akakuwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Chifu Wanzagi: CCM isiibeze Ukawa

Chifu wa Wazanaki, Joseph Wanzagi amasema CCM haitakiwi kuvibeza vyama vya upinzani hasa baada ya kuunda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), huku akisema atakuwa mtu wa kwanza kumshauri Makongoro Nyerere kugombea urais wakati ukifika.

 

10 years ago

Michuzi

membe mgeni rasmi katika sherehe za kumkumka Chifu Wanzagi wa Wazanaki kijijini Butiama leo

Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard  Membe (kulia) akiwa nyumbani kwa chief Edward Wanzagi, kaka mkubwa wa Mwalimu Nyerere kijijini Butiama kabla ya kuanza kwa sherehe za kumkumbuka Chief Wanzagi.Chief Japhet Wanzagi  akimkaribisha mgeni rasmi, Bernard Membe, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, kuhutubia  familia ya ukoo wa Nyerere mchana huu kijiini Butiama. Wengine ni Bw. Jesse Kwayu anayemwakilisha Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Dkt Reginald...

 

10 years ago

GPL

WOLPER AKANUSHA KUWA MJAMZITO

IMELDA MTEMA DIVA kutoka Bongo Movie, Jacqueline Wolper amefungukia tetesi zinazoendelea kuzagaa kuwa ni mjamzito na kusema hawezi kuwa katika hali hiyo kwa sasa kwa sababu anatumia ‘mpira.’. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1L7tzcx

 

11 years ago

Mwananchi

Jennifer Hudson akanusha kuwa mgonjwa

Marekani. Mkali wa wimbo ‘Feeling Good’ Jennifer Hudson, amesema hana matatizo na wala haumwi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani