Chifu Wanzagi: CCM isiibeze Ukawa
Chifu wa Wazanaki, Joseph Wanzagi amasema CCM haitakiwi kuvibeza vyama vya upinzani hasa baada ya kuunda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), huku akisema atakuwa mtu wa kwanza kumshauri Makongoro Nyerere kugombea urais wakati ukifika.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania04 May
Chifu Wanzagi ataja sifa za rais ajaye
Na Elias Msuya, Dar es Salaam
CHIFU wa kabila la Wazanaki, Japheth Wanzagi ametaja sifa za rais ajaye akisema, anapaswa kuwa ni mtu wa haki.
Hata chifu huyo amesema ni kitendawili kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa na mtu mwenye sifa hiyo.
Akizungumza katika mahojiano maalumu na MTANZANIA Sinza Kijiweni mjini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, Chifu Wanzagi alisema kwa kuwa Watanzania walio wengi ni masikini, hivyo rais ajaye anapaswa kutenda haki.
“Kitu kinacholeta taabu kwa sasa ni haki....
10 years ago
Michuzi.jpg)
membe mgeni rasmi katika sherehe za kumkumka Chifu Wanzagi wa Wazanaki kijijini Butiama leo
.jpg)

10 years ago
Michuzi.jpg)
Chifu Wanzagi akanusha taarifa zilizoandikwa kuwa Makongoro hatoshi kuwa Rais
.jpg)
5 years ago
CCM Blog
CHIFU ADAM WA PILI ASIMIKWA RASMI KUWA CHIFU WA WAHEHE

Hafla hiyo imefanyika katika Uwanja wa Mashujaa uliopo Kalenga Mkoani Iringa ambapo Umoja Wa Machief Tanzania UMT umeshiriki.
Chief Adam wa Pili anachukua nafasi ya baba yake, Chief Abdul Mfwimwi aliyefariki mwaka 2005.

10 years ago
Michuzi
11 years ago
Michuzi
Rais Kikwete atawazwa kuwa chifu msaidizi wa waluguru na chifu kingalu huko kinole, morogoro, apewa jina la Chidukila


CHIFU wa Waluguru Kingalu Mwanabanzi wa 14,...
10 years ago
Vijimambo
RAIS KIKWETE AHUDHURIA MAZISHI YA CHIFU KINGALU WA 14 WA WALUGURU, NA KUSIMIKWA KWA CHIFU KINGALU 15 KIJIJINI KINOLE, MOROGORO


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa pole na pia kumpongeza Kiongozi mpya wa kabila la Waluguru wa Mkoa wa Morogoro Chifu Kingalu wa 15 baada ya kusimikwa rasmi kijijini Kinole mkoani Morogoro leo Alhamisi Julai 3, 2015 kufuatia kifo na hatimaye mazishi ya kaka yake Marehemu Chifu Kingalu wa 14.

Kiongozi mpya wa kabila la Waluguru wa Mkoa wa Morogoro Chifu Kingalu wa 15 akiongea machache baada ya kusimikwa rasmi kijijini Kinole mkoani Morogoro leo Alhamisi Julai 3, 2015 kufuatia kifo na...
10 years ago
TheCitizen20 Sep
CCM desperate : Ukawa
10 years ago
Mtanzania26 Oct
CCM yailaumu Ukawa
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimelalamikia kitendo cha Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe na Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia, kusema watatangaza matokeo yao na kuwaamuru vijana wao waingie barabarani kushangilia.
Chama hicho kilisema kauli hizo zinazotolewa na viongozi hao wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) ni za hatari kwa amani na usalama wa nchi na ujenzi wa demokrasia na inashangazwa ni kwanini...