RAIS KIKWETE AHUDHURIA MAZISHI YA CHIFU KINGALU WA 14 WA WALUGURU, NA KUSIMIKWA KWA CHIFU KINGALU 15 KIJIJINI KINOLE, MOROGORO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa pole na pia kumpongeza Kiongozi mpya wa kabila la Waluguru wa Mkoa wa Morogoro Chifu Kingalu wa 15 baada ya kusimikwa rasmi kijijini Kinole mkoani Morogoro leo Alhamisi Julai 3, 2015 kufuatia kifo na hatimaye mazishi ya kaka yake Marehemu Chifu Kingalu wa 14.
Kiongozi mpya wa kabila la Waluguru wa Mkoa wa Morogoro Chifu Kingalu wa 15 akiongea machache baada ya kusimikwa rasmi kijijini Kinole mkoani Morogoro leo Alhamisi Julai 3, 2015 kufuatia kifo na...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
RAIS KIKWETE ASHUHUDIA KUSIMIKWA KWA KIONGOZI MPYA WA WALUGURU CHIFU KINGALU WA 15 KIJIJINI KINOLE, MOROGORO


11 years ago
Michuzi
Rais Kikwete atawazwa kuwa chifu msaidizi wa waluguru na chifu kingalu huko kinole, morogoro, apewa jina la Chidukila


CHIFU wa Waluguru Kingalu Mwanabanzi wa 14,...
10 years ago
Michuzi
RAIS KIKWETE ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA CHIFU KINGALU

Katika salamu zake kwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mheshimiwa Dkt. Rajabu Lutengwe, Rais Kikwete amesema kuwa amepokea taarifa cha kifo cha Chifu Kingalu kwa mshtuko na majonzi.
”Nimeshtushwa na taarifa za kifo cha Chifu Kingalu ambaye...
10 years ago
Michuzi
10 years ago
Habarileo02 Jul
Chifu Kingalu Mwanabanzi afariki dunia
CHIFU Kingalu Mwanabanzi wa 14 amefariki dunia katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jana, ambako alilazwa kwa matibabu.
10 years ago
Michuzi17 Feb
RAIS KIKWETE AONGOZA MAZISHI YA CHIFU MKWAWA,MKOANI IRINGA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Chifu mpya wa Wahehe, Chifu Adam Abdu Mkwawa, Mtwa Adam wa Pili (14), wakati wa mazishi ya baba yake aliyekuwa Chifu wa Kabila la Wahehe, Chifu Abdu Mfwimi Adam Mkwawa leo katika eneo la Nyumba ya Makumbusho ya Chifu Mkwawa, Kijiji cha Karenga Februari 16, 2015.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa pole mjane wa aliyekuwa Chifu wa Kabila la Wahehe, Chifu Abdu Mfwimi Adam Mkwawa leo Kijiji cha Karenga Februari 16, 2015.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka...
10 years ago
Vijimambo
RAIS KIKWETE AONGOZA MAZISHI YA CHIFU MKWAWA IRINGA LEO


10 years ago
GPL
RAIS KIKWETE AONGOZA MAZISHI YA CHIFU MKWAWA, MKOANI IRINGA
10 years ago
CloudsFM17 Feb
Rais Kikwete ashuhudia kutawazwa kwa Chifu Mkwawa mpya mwenye umri wa miaka 14
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumatatu, Februari 16, 2015, ameungana na mamia ya waombolezaji kumlaza katika nyumba yake ya milele, Chifu wa Kabila la Wahehe, Chifu Abdu Mfwimi Adam Mkwawa.
Aidha, Rais Kikwete ameshuhudia kutawazwa kwa Chifu mpya, Chifu Adam Abdu Mkwawa, Mtwa Adam wa Pili, kijana wa miaka 14, ambaye yuko darasa la saba na ambaye anachukua nafasi ya baba yake ambaye aliaga dunia juzi, Jumamosi, Februari 14, 2015.
Mtwa Adam wa...