Rais Kikwete ashuhudia kutawazwa kwa Chifu Mkwawa mpya mwenye umri wa miaka 14
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumatatu, Februari 16, 2015, ameungana na mamia ya waombolezaji kumlaza katika nyumba yake ya milele, Chifu wa Kabila la Wahehe, Chifu Abdu Mfwimi Adam Mkwawa.
Aidha, Rais Kikwete ameshuhudia kutawazwa kwa Chifu mpya, Chifu Adam Abdu Mkwawa, Mtwa Adam wa Pili, kijana wa miaka 14, ambaye yuko darasa la saba na ambaye anachukua nafasi ya baba yake ambaye aliaga dunia juzi, Jumamosi, Februari 14, 2015.
Mtwa Adam wa...
CloudsFM
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
RAIS KIKWETE ASHUHUDIA KUSIMIKWA KWA KIONGOZI MPYA WA WALUGURU CHIFU KINGALU WA 15 KIJIJINI KINOLE, MOROGORO


10 years ago
Michuzi
10 years ago
GPL
RAIS KIKWETE AONGOZA MAZISHI YA CHIFU MKWAWA, MKOANI IRINGA
10 years ago
Vijimambo
RAIS KIKWETE AONGOZA MAZISHI YA CHIFU MKWAWA IRINGA LEO


10 years ago
Michuzi17 Feb
RAIS KIKWETE AONGOZA MAZISHI YA CHIFU MKWAWA,MKOANI IRINGA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Chifu mpya wa Wahehe, Chifu Adam Abdu Mkwawa, Mtwa Adam wa Pili (14), wakati wa mazishi ya baba yake aliyekuwa Chifu wa Kabila la Wahehe, Chifu Abdu Mfwimi Adam Mkwawa leo katika eneo la Nyumba ya Makumbusho ya Chifu Mkwawa, Kijiji cha Karenga Februari 16, 2015.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa pole mjane wa aliyekuwa Chifu wa Kabila la Wahehe, Chifu Abdu Mfwimi Adam Mkwawa leo Kijiji cha Karenga Februari 16, 2015.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka...
10 years ago
Dewji Blog16 Feb
Rais Kikwete aomboleza kifo cha Chifu Abdu Adam Mkwawa
Mrithi wa Chifu Mkwawa, Abdul Adam Mkwawa (wa kwanza kushoto) enzi za uhai wake akiwa na machifu wasaidizi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametuma salamu za rambirambi kuomboleza kifo cha Chifu Abdu Adam Mkwawa, ambaye aliaga dunia, Jumamosi, Februari 14, 2015 hospitalini mjini Iringa.
Katika salamu zake kwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Mheshimiwa Amina Masenza, Jumapili, Februari 15, 2015, Rais Kikwete amesema kuwa amesikitishwa na kushtushwa na kifo...
10 years ago
Vijimambo
:Rais Jakaya Kikwete ametuma salamu za rambirambi kuomboleza kifo cha Chifu Abdu Adam Mkwawa,

---

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametuma salamu za rambirambi kuomboleza kifo cha Chifu Abdu Adam Mkwawa, ambaye aliaga dunia juzi, Jumamosi, Februari 14, 2015 hospitalini mjini Iringa.
Katika salamu zake kwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Mheshimiwa Amina Masenza leo, Jumapili, Februari 15, 2015, Rais Kikwete amesema kuwa amesikitishwa na kushtushwa na kifo cha Chifu Mkwawa ambaye amemwelezea kama “Chifu mnzuri, kiongozi na mtu wa...
10 years ago
Michuzi
RAIS KIKWETE KATIKA HAFLA YA MIAKA MIWILI YA KUTAWAZWA KWA POPE FRANCIS KUWA KULIONGOZI WA KANISA KATOLIKI DUNIANI


10 years ago
Mwananchi14 Aug
Chifu Adam Sapi Mkwawa wa Pili, kusubiri miaka 7 aongoze Wahehe