UTABIRI MZITO TENA!
![](http://api.ning.com:80/files/agg6MtdmQC3aE9wzLRqJiW1EvOkQul1Jd3Dg8g14H8JnFXdrepalab3jR811dljxUdfm9b1s*swe9e7TTACy3ylPkhvSylXA/UTABIRI.jpg)
Hamida Hassan na Gladness Mallya HUKU makovu ya maumivu ya kuondokewa mfululizo na mastaa wanne wa filamu za Kibongo katika kipindi cha mwezi mmoja yakiwa hayajapona nabii naye ameibuka na kuweka wazi utabiri wake mzito kuhusu wasanii nchini hivyo kuwa sanjari na Maalim Hassan Yahya Hussein. Maalim Hassan Yahya Hussein akiwa kwenye ofisi za Global Publishers. Hata hivyo, kabla ya kusonga mbele, tujikumbushe kwamba mastaa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-Z8Ddsi546LU/VMaB4Ee6lMI/AAAAAAAAnMI/SSJ1KYbb_RA/s72-c/yuy.jpg)
Mwanamitindo Millen Magese Alazwa Tena Hospitalini, Atoa Ujumbe Mzito Akiwa Katika Maumivu Makali
![](http://1.bp.blogspot.com/-Z8Ddsi546LU/VMaB4Ee6lMI/AAAAAAAAnMI/SSJ1KYbb_RA/s640/yuy.jpg)
9 years ago
Habarileo19 Nov
Mwisho wa utabiri
RAIS John Magufuli leo anatarajiwa kukata mzizi wa fitina wakati jina la mteule wake kwa nafasi ya Waziri Mkuu litakaposomwa bungeni na Spika wa Bunge, Job Ndugai na kisha kuthibitishwa kwa kura na wabunge.
11 years ago
Tanzania Daima16 Jan
Utabiri wa mwaka 2014
UFUATAO ni utabiri wa Shehe, Maalim, Nguli, Ustaadh, Alhaj, Dk., Profesa Mpayukaji Msemahovyo mjukuu wa Msemakweli wa Waambie Waelewe katika kile ambacho wataalamu wa nyota huita al khabar mutawatir. Kwa...
9 years ago
Raia Mwema28 Aug
Je, Sumaye kutimiza utabiri wa Nyerere?
KATIKA la Raia Mwema, toleo namba 376, Oktoba mwaka 2014, Mchambuzi wa masuala ya kisiasa na kija
Kitila Mkumbo
11 years ago
Habarileo26 Feb
TMA yatetea utabiri wake
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema asilimia 87 ya utabiri wa hali ya hewa, uliotolewa mwaka jana, ulikuwa sahihi. Aidha, imeeleza kuwa ili kuweza kuwafikia watu zaidi mamlaka hiyo, inatarajia kuanzia kituo cha Redio, ambacho kitatoa utabiri pekee.
10 years ago
Mwananchi22 Jul
Ushindi wa Dk Magufuli ni matokeo ya utabiri wa PCM
10 years ago
Habarileo10 Mar
‘Wananchi zingatieni utabiri hali ya hewa’
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imewataka wananchi kuzingatia utabiri wa hali ya hewa, unaotolewa kila siku ili kuchukua tahadhari na kuweza kuepuka maafa.
11 years ago
Tanzania Daima31 Mar
Maofisa ugani watakiwa kutumia utabiri
MAOFISA ugani nchini wametakiwa kufuatilia utabiri unaotolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) na kuwaelimisha wakulima ili waweze kufahamu aina ya mazao yanayopaswa kulimwa kwa wakati unaofaa. Ushauri...
9 years ago
MichuziTMA yatangaza Utabiri wa msimu wa vuli
Msimu wa...