TMA yatangaza Utabiri wa msimu wa vuli
Mkurugenzi Mkuu wa TMA, Dkt. Agnes Kijazi akitoa utabiri wa msimu kwa miezi ya Septemba hadi Desemba 2015 kwa wanahabari.kushoto kwa Dkt, Kijazi ni mkurugenzi wa huduma za utabiri, Dkt. Hamza Kabelwa.---------------------------------------------------------------------------------------------------Kutokana na mwelekeo wa mifumo ya hali ya hewa iliyopo na inayotarajiwa, mvua za vuli zinatarajiwa kuwa kama ifuatavyo:(i) Mvua za vuli (kwa maeneo yanayopata misimu miwili ya mvua)
Msimu wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi.jpg)
MAMLAKA YA HALI YA HEWA (TMA) YAKUTANA NA WADAU WA SEKTA MBALI MBALI KUJADILI UTABIRI WA MVUA ZA MSIMU KWA MWEZI MACHI MPAKA MEI (MASIKA)
.jpg)
Kila mwaka mwezi Februari kabla ya kutoa utabiri wa msimu Mamlaka hukutana na wadau wa sekta mbali mbali nchini ili kujadili utabiri wa msimu huo wa mvua za MASIKA kwa kipindi cha miezi ya Machi hadi Mei na kuwapa wadau nafasi ya...
10 years ago
Michuzi02 Nov
11 years ago
Habarileo26 Feb
TMA yatetea utabiri wake
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema asilimia 87 ya utabiri wa hali ya hewa, uliotolewa mwaka jana, ulikuwa sahihi. Aidha, imeeleza kuwa ili kuweza kuwafikia watu zaidi mamlaka hiyo, inatarajia kuanzia kituo cha Redio, ambacho kitatoa utabiri pekee.
5 years ago
Michuzi
SERIKALI YAJIVUNIA VIWANGO VYA UTABIRI WA TMA
KILA ifikapo tarehe 23 Machi, ya kila mwaka Jumuiya ya
kimataifa ya hali ya hewa duniani kote inaadhimisha Siku ya Hali ya Hewa
Duniani. Siku hii ni kumbukumbu ya kuanzishwa kwa Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO), lililoanzishwa mwezi Machi 23, 1950.
Tanzania ni miongoni mwa nchi wanachama wa WMO, mbayo imeendelea
kutekeleza maridhiano ya kimataifa katika sekta ya hali ya hewa kwa kuhakikisha Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA) inatoa huduma
za hali ya hewa...
11 years ago
Habarileo04 Oct
TMA kuweka maboya baharini kuboresha utabiri
MAMLAKA ya Hali ya Hewa(TMA) imesema inaendelea kuboresha huduma za utabiri wa baharini kwa kuweka maboya maalumu katika ukanda wa bahari ya Hindi.
10 years ago
Habarileo24 Mar
TMA yasisitiza usikivu utabiri Na Francisca Emmanuel wa hali ya hewa
MAKAMPUNI yenye dhamana katika sekta ya usafiri wa anga yametakiwa kuzingatia taarifa za hali ya hewa zitolewazo mara kwa mara ili kujiepusha na matatizo kadhaa yanayoweza kujitokeza.
10 years ago
Habarileo31 Dec
TMA: Msimu wa mvua umeisha
MAMLAKA ya Hali ya Hewa nchini (TMA) imesema msimu wa mvua za mwisho wa mwaka unaisha leo, ingawaje bado inatarajiwa kuwa na mvua kuanzia mapema mwaka 2015.
11 years ago
Tanzania Daima28 Feb
TMA yatoa tahadhari msimu wa mvua
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari juu ya mwelekeo wa mifumo ya hali ya hewa iliyopo na athari zake kwa msimu ujao wa mvua za masika, ambao...
5 years ago
Michuzi
Wananchi Chukueni tahadhari msimu wa Mvua za Masika- TMA

HIVI karibuni Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini(TMA )imetoa utabir wake wa Mvua za masika kwa kipindi cha Machi hadi Mei,2020 ambazo zinatarajiwa kuwa za wastani hadi juu ya wastani .
Mvua hizo zinatarajia kunyesha katika maeneo ya Mkoa wa Tanga, Visiwa vya Unguja na Pemba, maeneo mengi ya Mikoa ya Arusha, Manyara na Kilimanjaro, Mashariki mwa Mkoa wa Geita pamoja na Mikoa ya Shinyanga, Mwanza, Simiyu na Mara.
Maeneo ya Mkoa wa Kagera, magharibi mwa Mkoa wa...