Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SERIKALI YAJIVUNIA VIWANGO VYA UTABIRI WA TMA

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam


KILA ifikapo tarehe 23 Machi, ya kila mwaka Jumuiya ya
kimataifa ya hali ya hewa duniani kote inaadhimisha Siku ya Hali ya Hewa
Duniani. Siku hii ni kumbukumbu ya kuanzishwa kwa Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO), lililoanzishwa mwezi Machi 23, 1950.


Tanzania ni miongoni mwa nchi wanachama wa WMO, mbayo imeendelea
kutekeleza maridhiano ya kimataifa katika sekta ya hali ya hewa kwa kuhakikisha Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA) inatoa huduma
za hali ya hewa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

TMA yatetea utabiri wake

MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema asilimia 87 ya utabiri wa hali ya hewa, uliotolewa mwaka jana, ulikuwa sahihi. Aidha, imeeleza kuwa ili kuweza kuwafikia watu zaidi mamlaka hiyo, inatarajia kuanzia kituo cha Redio, ambacho kitatoa utabiri pekee.

 

9 years ago

Michuzi

TMA yatangaza Utabiri wa msimu wa vuli

Mkurugenzi Mkuu wa TMA, Dkt. Agnes Kijazi akitoa utabiri wa msimu kwa miezi ya Septemba hadi Desemba 2015 kwa wanahabari.kushoto kwa Dkt, Kijazi ni mkurugenzi wa huduma za utabiri, Dkt. Hamza Kabelwa.---------------------------------------------------------------------------------------------------Kutokana na mwelekeo wa mifumo ya hali ya hewa iliyopo na inayotarajiwa, mvua za vuli zinatarajiwa kuwa kama ifuatavyo:(i)     Mvua za vuli (kwa maeneo yanayopata misimu miwili ya mvua)
Msimu wa...

 

10 years ago

Habarileo

TMA kuweka maboya baharini kuboresha utabiri

MAMLAKA ya Hali ya Hewa(TMA) imesema inaendelea kuboresha huduma za utabiri wa baharini kwa kuweka maboya maalumu katika ukanda wa bahari ya Hindi.

 

10 years ago

Habarileo

TMA yasisitiza usikivu utabiri Na Francisca Emmanuel wa hali ya hewa

MAKAMPUNI yenye dhamana katika sekta ya usafiri wa anga yametakiwa kuzingatia taarifa za hali ya hewa zitolewazo mara kwa mara ili kujiepusha na matatizo kadhaa yanayoweza kujitokeza.

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU ASEMA SERIKALI HAIJARIDHIA VIWANGO VIPYA VYA NAULI YA MABASI YAENDAYO KASI.


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizunguza na Waandishi wa Habari kwenye uwanja wa Ngege wa Julius Nyerere baada ya kuwasili akitoka Songea Januari 6, 2016. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Geoge Simbachawene. na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es slaam Meck Sadiki.Baadhi ya waandishi wa habari wananchi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere baada ya kuwasili akitoka Songea Januari 6, 2016. (PIcha na...

 

11 years ago

Michuzi

MAMLAKA YA HALI YA HEWA (TMA) YAKUTANA NA WADAU WA SEKTA MBALI MBALI KUJADILI UTABIRI WA MVUA ZA MSIMU KWA MWEZI MACHI MPAKA MEI (MASIKA)

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania Dkt Agnes Kijazi katika picha ya pamoja na baadhi ya wadau wa hali ya hewa kutoka sekta mbali mbali katika mkutano wa wadau wa utabiri wa mvua za msimu wa MASIKA kwa mwezi Machi mpaka Mei 2014.
Kila mwaka mwezi Februari kabla ya kutoa utabiri wa msimu Mamlaka hukutana na wadau wa sekta mbali mbali nchini ili kujadili utabiri wa msimu huo wa mvua za MASIKA kwa kipindi cha miezi ya Machi hadi Mei na kuwapa wadau nafasi ya...

 

10 years ago

Habarileo

Serikali zasisitizwa umakini kwenye mifumo ya utabiri

WATAALAMU wa masuala ya tabia nchi na mabadiliko ya hali ya hewa waliokutana mjini Dar es Salaam kwa siku 3 wameshauri serikali mbalimbali kuwa makini katika kuhakikisha mifumo ya utambuzi wa hali ya hewa inafanya kazi iliyokusudiwa.

 

9 years ago

BBCSwahili

Viwango vya juu vya joto vitakumba Dunia

Miaka miwili inayokuja itakuwa na joto la juu zaidi kwa mujibu wa idara ya utabiri wa hali ya hewa nchini Uingereza

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani