Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TMA yasisitiza usikivu utabiri Na Francisca Emmanuel wa hali ya hewa

MAKAMPUNI yenye dhamana katika sekta ya usafiri wa anga yametakiwa kuzingatia taarifa za hali ya hewa zitolewazo mara kwa mara ili kujiepusha na matatizo kadhaa yanayoweza kujitokeza.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA (TMA) NA OFISI YA HALI YA HEWA YA UINGEREZA (UK MET OFFICE) WASAINI MKATABA WA MAKUBALIANO (MoU) YA USHIRIKIANO KATIKA KUBORESHA HUDUMA ZA HALI YA HEWA NCHINI

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) na Ofisi ya Hali ya Hewa ya Uingereza (UK Met Office) wamesaini mkataba wa makubaliano ya uboreshaji huduma za hali ya hewa hapa nchini. Mkataba huo umesainiwa tarehe 11 Novemba, 2014 wakati wa kikao cha masuala ya hali ya hewa (IBCS) kilichofanyika mjini Geneva Uswiss.
Akizungumzia makubaliano hayo Dkt Agnes Kijazi alisema Mamlaka ya Hali ya Hewa ililiomba Shirika la Hali ya Hewa Duniani kuisaidia TMA kuboresha huduma zake ili ziwe za kisasa...

 

10 years ago

Vijimambo

MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA (TMA) NA OFISI YA HALI YA HEWA YA UINGEREZA (UK MET OFFICE) WASAINI MKATABA WA MAKUBALIANO (MoU) YA USHIRIKIANO KATIKA KUBORESHA HUDUMA ZA HALI YA HEWA NCHINI

Dr. Agnes Kijazi, TMA Director General and Permanent Representative of Tanzania with the World Meteorological Organization (WMO) and Dr. Rob Varley, the UK Met Office Chief Executive Officer and Permanent Representative of UK with WMO signed a memorandum of understanding for a joint project in support of Climate Service Development in Tanzania. The signing ceremony was witnessed by Dr. Ladislaus Chang’a, TMA Director of Research and Applied Meteorology and Ms. Jane Wardley from the UK Met...

 

11 years ago

Michuzi

MAMLAKA YA HALI YA HEWA (TMA) YAKUTANA NA WADAU WA SEKTA MBALI MBALI KUJADILI UTABIRI WA MVUA ZA MSIMU KWA MWEZI MACHI MPAKA MEI (MASIKA)

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania Dkt Agnes Kijazi katika picha ya pamoja na baadhi ya wadau wa hali ya hewa kutoka sekta mbali mbali katika mkutano wa wadau wa utabiri wa mvua za msimu wa MASIKA kwa mwezi Machi mpaka Mei 2014.
Kila mwaka mwezi Februari kabla ya kutoa utabiri wa msimu Mamlaka hukutana na wadau wa sekta mbali mbali nchini ili kujadili utabiri wa msimu huo wa mvua za MASIKA kwa kipindi cha miezi ya Machi hadi Mei na kuwapa wadau nafasi ya...

 

5 years ago

Michuzi

MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) yatoa rasmi mwelekeo wa hali ya hewa msimu wa kipupwe nchini.

Na Karama Kenyunko Michuzi TV.

MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa rasmi mwelekeo wa hali ya hewa wa msimu wa kipupwe nchini, kwa Mwezi Juni  hadi Agosti 2020 na kusema kuwa mwaka huu kutakuwa na vipindi vya upepo mkali wa kusi na hali ya ukavu katika maeneo mengi ya nchini.

Pia mamlaka imesema, vipindi vya baridi kali vinatarajiwa kuwepo katika msimu huu katika maeneo ya miinuko ya nyanda za juu kusini magharibi hususan nyakati za usiku na na asubuhi.

Akizungumzia msimu huo,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanahabari kushiriki utabiri hali ya hewa

MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imewaalika waandishi wa habari kushiriki katika kujadili utabiri wa msimu ujao wa hali ya hewa utakaoanza Machi hadi Mei mwaka huu. Kabla ya...

 

10 years ago

Habarileo

‘Wananchi zingatieni utabiri hali ya hewa’

Mkurugenzi Mkuu wa TMA, Agnes KijaziMAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imewataka wananchi kuzingatia utabiri wa hali ya hewa, unaotolewa kila siku ili kuchukua tahadhari na kuweza kuepuka maafa.

 

9 years ago

StarTV

Vifaa vya utabiri wa hali ya hewa vyafungwa Arumeru-Arusha

Wananchi wa kata Sita za wilaya ya Arumeru ambazo hukumbwa na mafuriko ya mara kwa mara huenda wakaondona na adha hiyo, kutokana na ufungwaji wa vituo 36 vya ufuatiliaji wa hali ya hewa, vitakavyosaidia kutoa taarifa sahihi na kuwawezesha wakazi hao kukabiliana na majanga mapema zaidi.

Sehemu tuu ya janga la mafururiko yaliyotokana na mvua kubwa zilizonyesha hivi karibuni na kusababisha mmomonyoko wa udongo kwenye baadhi ya maeneo ya Wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha.

Mratibu wa mradi wa...

 

11 years ago

Habarileo

TMA: Msidharau taarifa za hali ya hewa

Dk Agness KijaziWATANZANIA wametakiwa kutodharau tafiti na taarifa, zinazotolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), kwani mabadiliko ya mara kwa mara ya hali ya hewa yanayotokea yanaweza kuleta madhara.

 

10 years ago

Habarileo

Mabadiliko ya hali ya hewa changamoto kwa TMA

MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk Agnes Kijazi amesema mabadiliko ya mifumo ya hali ya hewa ambayo yanatokana na mabadiliko ya tabia nchi yamekuwa changamoto kubwa kwa wataalamu wa hali ya hewa nchini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani