Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maofisa ugani watakiwa kutumia utabiri

MAOFISA ugani nchini wametakiwa kufuatilia utabiri unaotolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) na kuwaelimisha wakulima ili waweze kufahamu aina ya mazao yanayopaswa kulimwa kwa wakati unaofaa. Ushauri...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Upungufu wa maofisa ugani wadhoofisha kilimo

Imeelezwa kuwa ofisa ugani mmoja anahudumia wakulima 2,500 katika Manispaa ya Iringa tofauti na uwiano wa kitaifa wa kuhudumia wakulima 800.

 

11 years ago

Habarileo

Kamani kuomba ajira zaidi maofisa ugani

WAZIRI wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk Titus Kamani, amesema ataendelea kuwasiliana na Wizara ya nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Menejimenti ya Umma ili kuweza kupata kibali cha kuajiri watumishi zaidi hasa maofisa ugani wa mifugo.

 

9 years ago

Mwananchi

Maofisa biashara Kusini watakiwa kuacha urasimu

Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Uledi Mussa amewataka baadhi ya watendaji kupunguza urasimu wakati wa kusajili majina ya kufungua biashara za watu mbalimbali nchini.

 

5 years ago

CCM Blog

MAOFISA AFYA MIPAKANI WATAKIWA KUONGEZA UMAKINI

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, amewataka wataalamu wa afya maeneo ya mipakani kote nchini kuongeza umakini wakati wa  ukaguzi kwa wasafiri wanaopita katika maeneo yao na si kupima joto la mwili pekee.

Waziri Ummy ameyasema hayo jana Jumatano Machi 18, katika Mpaka Namanga unaotenganisha Tanzania na Kenya wakati alipokuwa akifanya ukaguzi ukaguzi katika eneo hilo.
Alisema ni muhimu kufanya ukaguzi wa kina zaidi ikiwamo kuhoji wasafiri kabla ya...

 

10 years ago

Mtanzania

Maofisa serikalini, wadau watakiwa kutoa ushirikiano

Dr-Florence-TurukaNa Adam Mkwepu, Dar es Salaam
JAMII, maofisa wa Serikali na wadau wengine wametakiwa kutoa ushirikiano unaotakiwa kwa kundi jipya la raia wa Marekani walioanza kujitolea hapa nchini.

Hayo yalisemwa hivi karibuni na Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Dk. Florens Turuka, ambapo alisema kuwa raia hao wa Marekani wanaojitolea wanahitaji kupewa moyo pamoja na msaada wa kiufundi watakaohitaji.
Alisema raia hao “wanatakiwa kusaidiwa kujifunza na kuzoea mila na kujifunza Kiswahili.”

Akizungumzia...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Maofisa ushirika watakiwa kuisimamia sheria mpya

KAIMU Katibu Tawala mkoani Mtwara, Johansen Bukwali, amewataka maofisa ushirika nchini kuijua vizuri na kuisimamia sheria mpya ya Vyama vya Ushirika namba 6 ya mwaka 2013, kwani vyama hivyo vina...

 

10 years ago

Habarileo

Maofisa habari watakiwa kutoa elimu kuhusu DART

WAKALA wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) umetaka maofisa habari na mawasiliano wa taasisi zinazoguswa moja kwa moja na mradi huo, kusaidia kutoa elimu na taarifa sahihi kwa wananchi juu ya uendeshaji na usimamizi wake.

 

5 years ago

Michuzi

MAOFISA AFYA WATAKIWA KUONGEZA UKAGUZI KWENYE MIPAKA

 Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto-Idara Kuu Afya Dkt. Zainab Chaula akiwa kwenye jengo la mpaka wa nchi ya Uganda ikiwa ni ziara yake ya kikazi ya kuangalia utayari wa kukabiliana na magonjwa ya milipuko. Katibu Mkuu Dkt. Zainab Chaula akiongea na watumishi wa idara mbalimbali wa mpaka wa mtukula nje ya jengo la kituo cha pamoja nchini Tanzania. Dkt. Chaula akiangalia ofisi ya maofisa afya wa mpaka wa mtukula nchini Tanzania na kujionea jinsi ...

 

11 years ago

Mwananchi

Wachimbaji watakiwa kutumia NSSF

Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Stephen Masele amewataka wachimbaji wadogo kutumia vizuri fursa iliyotolewa na Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF), kukopa mitaji ili kununua mitambo kuhakikisha wanamiliki uchumi wa nchi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani