Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Upungufu wa maofisa ugani wadhoofisha kilimo

Imeelezwa kuwa ofisa ugani mmoja anahudumia wakulima 2,500 katika Manispaa ya Iringa tofauti na uwiano wa kitaifa wa kuhudumia wakulima 800.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Maofisa ugani watakiwa kutumia utabiri

MAOFISA ugani nchini wametakiwa kufuatilia utabiri unaotolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) na kuwaelimisha wakulima ili waweze kufahamu aina ya mazao yanayopaswa kulimwa kwa wakati unaofaa. Ushauri...

 

11 years ago

Habarileo

Kamani kuomba ajira zaidi maofisa ugani

WAZIRI wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk Titus Kamani, amesema ataendelea kuwasiliana na Wizara ya nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Menejimenti ya Umma ili kuweza kupata kibali cha kuajiri watumishi zaidi hasa maofisa ugani wa mifugo.

 

9 years ago

Mwananchi

‘Sekta ya kilimo ina upungufu’

Mkurugenzi Mkuu wa Mpango wa kuzalisha nafaka kwa wingi (Nafaka Staples Values Chain Activity), Tom Carr amesema wakulima wa Tanzania wana malalamiko mengi yanayohitaji kutatuliwa haraka.

 

10 years ago

Habarileo

Kamati ya Zitto yawatimua maofisa Wizara ya Kilimo

Mwenyekiti wa PAC, Kabwe ZittoKAMATI ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), imewafukuza kwenye kikao timu ya Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika iliyoongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo,Sophia Kaduma na kuipa wiki mbili kutekeleza maagizo kisha kuifuata kamati hiyo mjini Dodoma.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Unywaji pombe za kienyeji Rombo wadhoofisha vijana

POMBE ni kinywaji chochote chenye kileo ambacho ‘hunika’ akili ya mnywaji kwa njia ya ladha na starehe. Kuna utengenezwaji wa aina mbili za pombe zikiwemo zile za kiwandani ambazo viwango...

 

9 years ago

BBCSwahili

Chelsea kushuka ugani dhidi ya Liverpool wikendi

Chelsea wana kibarua tena wikendi hii watakapowakaribisha nyumbani Liverpool kwenye Ligi ya Premia Jumamosi.

 

9 years ago

StarTV

Maafisa ugani walaumiwa kutotumia taaluma yao Mkinga

Maafisa ugani wamelaumiwa kwa kushindwa kutumia taaluma yao vizuri kuwaelimisha wakazi wa Wilaya ya Mkinga mkoani Tanga kutumia fursa ya ardhi nzuri waliyonayo kwa ajili ya shughuli za kilimo.

Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mwamtumu Mahiza amesema licha ya halmashauri hiyo kuwa na maafisa ugani wa kutosha wameshindwa kuonyesha mchango wao hususani kwenye suala la kilimo.

Ziara ya mkuu wa Mkoa wa Tanga Mwantumu Mahiza yenye lengo la kukagua na kuhimiza shughuli za maendeleo katika wilaya mbalimbali za...

 

10 years ago

Michuzi

Kinondoni yasaini mkatana wa ushirikiano na jiji la Hamburg, kujengewa mtambo wa kisasa wa kuchakata taka za ugani

Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es salaam imetiliana saini  mkataba wa mashirikiano ya kusaidiana na jiji la Hamburg la Ujerumani. Mkataba huo umesainiwa leo na Mstahiki Meya wa Kinondoni Mhe. Yusuf Mwenda na State Secretary wa Hamburg, Bw. Wolfgang Schmidt, ambapo  kutajengwa mtambo wa kisasa wa kuchakata taka za ugani na kuzalishwa mbolea eneo la Mabwepande wenye thamani ya shilingi za kitanzania ni bilioni 3.5 ambazo zitatolewa na jiji la Hamburg.Mstahiki Meya alisema ukishajengwa mtambo...

 

5 years ago

Michuzi

AFISA TARAFA ITISO AWATAKA MAAFISA UGANI NA WATENDAJI WA KATA KUWATAMBUA WAKULIMA WA UFUTA KATIKA MAENEO YAO

Charles James, Michuzi TV

AFISA Tarafa wa Tarafa ya Itiso Wilaya ya Chamwino, Remedius Emmanuel amesema serikali ina nia njema ya kuwasaidia wakulima kupitia mfumo wa Stakabadhi ghalani kwenye zao la ufuta.

Remedius ameyasema hayo leo katika mkutano wake na wananchi wa Tarafa yake uliolenga kujenga uelewa wa pamoja na kutoa ufafanuzi juu ya azma ya Wakala wa Taifa was Hifadhi ya Chakula (NFRA) kuweka kituo cha kununulia mahindi katika Tarafa hiyo.

NFRA wameweka kituo hiko kwenye Kijiji cha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani