Wachimbaji watakiwa kutumia NSSF
Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Stephen Masele amewataka wachimbaji wadogo kutumia vizuri fursa iliyotolewa na Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF), kukopa mitaji ili kununua mitambo kuhakikisha wanamiliki uchumi wa nchi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV15 Nov
Wachimbaji watakiwa kufuata sheria ya uchimbaji
Kamati maalum iliyoundwa na Serikali kushughulikia tatizo la muingiliano ndani ya migodi ya madini katika machimbo ya Madini ya TANZANITE Mirerani, imetoa uamuzi wa kuwataka wachimbaji wote kufuata sheria ya uchimbaji kulingana na leseni zao.
Hatua hiyo inatazamiwa kwamba huwenda ikasaidia kutatua matatizo ya mara kwa mara baina ya wachimbaji wadogo na wakubwa wanapokutana chini ya ardhi tukio linalofahamika zaidi kwa jina la “MTOBOZANO”
Awali Serikali iliamua kuunda kamati maalumu...
11 years ago
Tanzania Daima19 Jan
Wachimbaji wadogo Kukuruma watakiwa kuhama
SIKU chache baada ya watu watatu kufariki dunia katika eneo la Kukuruma pit linalomilikiwa na mgodi wa dhahabu wa Geita Gold Mine (GGM) kwa kuangukiwa na kifusi cha udongo, Ofisa...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-mSo-k6PoeCE/VbjB6Lx9XfI/AAAAAAAHsdQ/1BmsptPw0jo/s72-c/unnamed%2B%252818%2529.jpg)
Wachimbaji madini watakiwa kuendana na mabadiliko ya teknolojia
Wachimbaji wa madini nchini wametakiwa kuendana na teknolojia inayokua kila kukicha ili kuwezesha sekta ya madini kuwa na mchango zaidi katika pato la taifa.
Rai hiyo ilitolewa na Afisa Madini Mkazi kutoka Ofisi ya Madini- Handeni mkoani Tanga, Frank Makyao kwenye ufunguzi wa mafunzo juu ya matumizi ya huduma za leseni za madini kwa njia ya mtandao yaliyokutanisha wachimbaji wa madini katika kanda ya mashariki yanayoendelea mjini Handeni.
Lengo ...
10 years ago
StarTV03 Feb
Wachimbaji Geita watakiwa kuondolewa ndani ya siku saba
Na Salma Mrisho,
Geita.
Mkuu wa Mkoa wa Geita Fatma Mwassa ametoa siku saba kwa ofisi ya madini mkoani humo kuhakikisha wachimbaji wadogo waliovamia na kufanya shughuli zao katika vyanzo vya maji wanahamishwa mara moja.
Mkuu wa Mkoa ameeleza kuishangaa ofisi ya madini kwa kushindwa kutimiza wajibu wake na kuwaacha wachimbaji hao wakizidi kuharibu vyanzo vya maji vinavyohatarisha afya ya watumiaji wa maji kutokana na matumizi ya zebaki wanayotumia katika uchenjuaji wa...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-E1shGurwDYw/VW7I2SAc4DI/AAAAAAAHbjc/0eHWliO4Y3M/s72-c/picha%2Bn0.%2B1.jpg)
Makampuni, Wachimbaji madini watakiwa kuzingatia Sheria za Mazingira
Kampuni za uchimbaji madini, utafutaji mafuta na gesi wakiwemo wachimbaji wadogo nchini, wametakiwa kuzingatia sheria na kanuni za uhifadhi wa mazingira wakati wanapotekeleza shughuli zao, ili kuwezesha rasilimali zinazopatikana ardhini ziweze kuwa endelevu kwa manufaa ya vizazi vijavyo.
Rai hiyo imetolewa na na Mhandisi wa Mazingira kutoka Wizara ya Nishati na Madini, Ephraim Mushi wakati wa Maadhimisho ya siku ya Mazingira duniani yanayoendelea...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-0AEqUsFVPPk/U2rqs0siQdI/AAAAAAAA-bE/-F-_grJSfUQ/s72-c/magori.jpg)
NSSF YATOA SEMINA KWA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO WA WAMADINI-MWANZA
11 years ago
Habarileo09 Aug
Pemba watakiwa kutumia vyandarua
WANANCHI wa Pemba wametakiwa kuendelea kutumia vyandarua, kama njia pekee ya kupambana na malaria na kupunguza vifo vya akinamama na watoto.
9 years ago
Habarileo10 Dec
Wafanyabiashara Mbeya watakiwa kutumia benki
WAFANYABIASHARA mkoani Mbeya wamehimizwa kuacha tabia ya kuhifadhi mamilioni ya fedha majumbani na kwenye maduka yao na badala yake watumie benki zilizopo kuhifadhi.
10 years ago
Tanzania Daima20 Aug
Wananchi watakiwa kutumia nishati mbadala
MTAFITI wa Taasisi ya Uchumi na Jamii (ESRF), Solomon Balegu ametaka Watanzania kutumia nishati mbadala ili kuepuka mabadiliko ya tabianchi. Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Balegu alisema kuwa ikiwa...