Wachimbaji madini watakiwa kuendana na mabadiliko ya teknolojia
![](http://1.bp.blogspot.com/-mSo-k6PoeCE/VbjB6Lx9XfI/AAAAAAAHsdQ/1BmsptPw0jo/s72-c/unnamed%2B%252818%2529.jpg)
Na Greyson Mwase, Handeni-Tanga
Wachimbaji wa madini nchini wametakiwa kuendana na teknolojia inayokua kila kukicha ili kuwezesha sekta ya madini kuwa na mchango zaidi katika pato la taifa.
Rai hiyo ilitolewa na Afisa Madini Mkazi kutoka Ofisi ya Madini- Handeni mkoani Tanga, Frank Makyao kwenye ufunguzi wa mafunzo juu ya matumizi ya huduma za leseni za madini kwa njia ya mtandao yaliyokutanisha wachimbaji wa madini katika kanda ya mashariki yanayoendelea mjini Handeni.
Lengo ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-E1shGurwDYw/VW7I2SAc4DI/AAAAAAAHbjc/0eHWliO4Y3M/s72-c/picha%2Bn0.%2B1.jpg)
Makampuni, Wachimbaji madini watakiwa kuzingatia Sheria za Mazingira
Kampuni za uchimbaji madini, utafutaji mafuta na gesi wakiwemo wachimbaji wadogo nchini, wametakiwa kuzingatia sheria na kanuni za uhifadhi wa mazingira wakati wanapotekeleza shughuli zao, ili kuwezesha rasilimali zinazopatikana ardhini ziweze kuwa endelevu kwa manufaa ya vizazi vijavyo.
Rai hiyo imetolewa na na Mhandisi wa Mazingira kutoka Wizara ya Nishati na Madini, Ephraim Mushi wakati wa Maadhimisho ya siku ya Mazingira duniani yanayoendelea...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-ukmJ38Qg6hk/VYZ533AaC8I/AAAAAAAHiHA/93QwjNCbSek/s72-c/unnamed%2B%252821%2529.jpg)
Mzumbe yaendelea kuhuisha mtaala kuendana na mabadiliko nchini, Duniani
9 years ago
StarTV15 Dec
Watumishi wa umma watakiwa kujitathmini ili kuendana na Kasi Ya Dokta Magufuli
Watumishi wa umma wametakiwa kujitafakari na kujipima kama wanatosha kufanyakazi, itakayoendana na kasi ya uongozi uliopo madarakani chini ya Rais Magufuli, na wanapogundua kuwa hawana uwezo huo wameshauriwa kujiondoa wenyewe ili kupisha watu wenye uwezo wa kufanya kazi.
Nguvu ya utendaji kazi wa Dokta Magufuli kwa muda usiozidi miezi miwili, umekonga nyoyo za watanzania ambapo wananchi wengi wameweka bayana mambo wanayoyatarajia kuyaona katika Tanzania mpya wanayodhani itawajengea imani ...
10 years ago
Michuzi15 Sep
BENKI YA DUNIA NA SERIKALI IKISHIRIKIANA NA WAWEKEZAJI WAKUBWA WA MADINI WAZINDUA MRADI WA UCHIMBAJI MADINI KWA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO MKOANI GEITA.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-CEolNwkaNTo/Xud4p7LQT3I/AAAAAAALt6Q/615-yFRQRP8Jd-nT3_nZc-XS9toxJYbVACLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_20200612_144439_2%2B%25281%2529.jpg)
MASAWE AGUSIA BAJETI 2020/2021 NA KUSISITIZA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA KILIMO ILI KUENDANA NA TEKNOLOJIA YA KILIMO CHA KIDIGITAL
![](https://1.bp.blogspot.com/-CEolNwkaNTo/Xud4p7LQT3I/AAAAAAALt6Q/615-yFRQRP8Jd-nT3_nZc-XS9toxJYbVACLcBGAsYHQ/s640/IMG_20200612_144439_2%2B%25281%2529.jpg)
Aidha upande wa suala la uboreshaji wa kilimo kwa kuweka mazingira ya upatikanaji wa vifaa vya kilimo kwa gharama nafuu ikiwa ni...
9 years ago
Habarileo15 Nov
Teknolojia yakwamisha wachimbaji wadogo
WACHIMBAJI wadogo mkoani hapa wamesema ukosefu wa teknolojia ya uchimbaji imesababisha kuchimbachimba hovyo bila kujua kama eneo husika linaweza kuwa na madini wanayotafuta, jambo ambalo linaweza kuwa na athari ya kimazingira.
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-_abOajkhPjQ/VcfT2RA3IJI/AAAAAAAHvj0/AcubMiexSRk/s72-c/unnamed%2B%25281%2529.jpg)
MAFUNZO KWA WACHIMBAJI WA MADINI KUHUSU MATUMIZI YA HUDUMA ZA LESENI ZA MADINI KWA NJIA YA MTANDAO — KANDA YA ZIWA NYASA- SONGEA (7/8/2015) NA TUNDURU (9/8/2015)
![](http://4.bp.blogspot.com/-_abOajkhPjQ/VcfT2RA3IJI/AAAAAAAHvj0/AcubMiexSRk/s640/unnamed%2B%25281%2529.jpg)
9 years ago
Mwananchi30 Nov
Sheria ya Madini yawaliza wachimbaji
11 years ago
Mwananchi03 Mar
Wachimbaji madini walia kusahauliwa
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10