Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wachimbaji madini walia kusahauliwa

Shirikisho la Wachimba Madini Wadogo (Femata) limeazimia kwenda kuonana na Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo kutokana na kundi hilo kutoshirikishwa katika Bunge Maalumu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Wachimbaji wadogo Mirerani walia na Wizara

Wachimbaji wa madini ya Tanzanite wa Mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara, wamelalamikia kitendo cha Wizara ya Nishati na Madini kusimamisha migodi yao inayopakana na Kampuni ya Tanzanite.

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA DUNIA NA SERIKALI IKISHIRIKIANA NA WAWEKEZAJI WAKUBWA WA MADINI WAZINDUA MRADI WA UCHIMBAJI MADINI KWA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO MKOANI GEITA.

Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mh,Stephen Masele akizungumza kwenye uzinduzi huo uliovuta hisia za wanakijiji wengi.Naibu Waziri wa Nishati na Madini akizungumza na Wananchi Mkurugenzi Mtendaji wa Geita Gold Mine,Michael Van Anen Mwakilishi Mwandamizi kutoka Benki ya Dunia ambaye pia ni mtaalamu wa madini kutoka idara ya nishati endelevu nchini Marekani,Bwa.Mamadou Barry akizungumza wakati wa uzinduzi wa mradi mkubwa wa uchimbaji madini kwa wachimbaji wadogo wadogo katika kijiji cha...

 

9 years ago

StarTV

Wachimbaji wadogo walia na Serikali kwa uvamizi maeneo ya machimbo

Wachimbaji Wadogo katika kijiji cha Samina wamedai kuwa Serikali haiwajali na imekuwa ikiwapa ahadi zisizokamilika hali iliyochangia wachimbaji hao kuvamia maeneo hatarishi na kujitafutia riziki.

Wakiongea na Mkuu wa Mkoa wa Geita Fatma Mwassa wamesema kuwa waliahidiwa kutafutiwa maeneo ya uchimbaji lakini maeneo waliyopewa hayakuwa na dhahabu hali iliyokatisha tamaa na kuchangia kuongezeka kwa vijana wasio na ajira

Mkuu wa Mkoa Fatma Mwassa amewapa nafasi wachimbaji wataje maeneo...

 

10 years ago

Michuzi

MAFUNZO KWA WACHIMBAJI WA MADINI KUHUSU MATUMIZI YA HUDUMA ZA LESENI ZA MADINI KWA NJIA YA MTANDAO — KANDA YA ZIWA NYASA- SONGEA (7/8/2015) NA TUNDURU (9/8/2015)

Wizara ya Nishati na Madini inaendelea na mpango wake wa Mafunzo kwa Wachimbaji Madini Nchini kuhusu matumizi ya Mfumo wa Huduma za Leseni kwa njia ya Mtandao yaani Online Mining Cadastre Transactional Portal (OMCTP). Pamoja na malengo mengine, Mfumo huo umeanzishwa ili kutekeleza agizo la Serikali la kutaka Wizara na taasisi za Serikali ziwe zinapokea malipo ya Serikali kwa njia za kielektroniki. Mafunzo hayo yanatarajiwa kutolewa kwa wachimbaji wadogo nchi nzima ili kuwajengea uwezo.

 

9 years ago

Mwananchi

Sheria ya Madini yawaliza wachimbaji

Wachimbaji wadogo wa Tanzanite katika Mji mdogo wa Mirerani uliyopo wilayani Simanjiro Mkoa wa Manyara, wamelalamikia sheria zinazowaba na kutowaruhusu kumiliki madini hayo.

 

9 years ago

Michuzi

Wachimbaji madini wadogo waipongeza Serikali

 Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Madini Tanzania (FEMATA), Gregory Kibusi akiwasilisha mada kuhusu wachimbaji wadogo wa madini katika Semina ya Wathamini Madini ya Vito na Almasi nchini, iliyofanyika hivi karibuni (Agosti 12 na 13, 2015) katika Hoteli ya Gold Crest jijini Mwanza.  Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimaliwatu, Mrimia Mchomvu, akitoa hotuba ya kufunga Semina ya Wathamini Madini ya Vito na Almasi nchini iliyofanyika hivi karibuni (Agosti 12 na 13, 2015) katika...

 

10 years ago

StarTV

Wachimbaji Kyerwa wadaiwa kutorosha Madini.

Na Shaabani Alley,

Kagera.

 

Wachimbaji wa madini ya bati wasio waaminifu katika machimbo ya Kabingo wilayani Kyerwa mkoani Kagera wanadaiwa kushirikiana na wafanyabiashara wa nchi jirani ya Rwanda kutorosha madini na kuikosesha Serikali mapato.

 

Hali hiyo imebainishwa na mkuu wa wilaya ya Kyerwa Luteni Mstaafu Benedicto Kitenga wakati wa ziara ya Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mheshimiwa Charles Kitwanga wilayani humo kufanya ukaguzi wa shughuli za madini.

 

Ilikuwa ni wakati mgumu wa...

 

11 years ago

GPL

KINANA AKUTANA NA WACHIMBAJI WADOGOWADOGO WA MADINI, MERERANI

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akioneshwa vipande vya madini aina ya Tanzanite, katika mgodi wa mchimbaji mzawa wa madini ya Tanzanite Bi.Suzie Didas Kennedy. Katibu Mkuu wa CCM alitembelea migodi ya wachimbaji wadogo wa Mererani na kuzungumza nao juu ya changamoto zinazowakabili na namna ya kuzitatua. Pichani kati anayeshuhudia ni Mbunge wa Jimbo la Simanjiro, Mh. Christopher Ole Sendeka.… ...

 

11 years ago

Habarileo

Madini wakabidhi leseni kwa wachimbaji wadogo

SERIKALI kupitia Wizara ya Nishati na Madini imekabidhi leseni mbili zenye namba 1268 na 1269 kwa wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu katika Kijiji cha Ishokelahela, wilayani Misungwi mkoani Mwanza.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani