Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wachimbaji Geita watakiwa kuondolewa ndani ya siku saba

Na Salma Mrisho,

Geita.

 

Mkuu wa Mkoa wa Geita Fatma Mwassa ametoa siku saba kwa ofisi ya madini mkoani humo kuhakikisha wachimbaji wadogo waliovamia na kufanya shughuli zao katika vyanzo vya maji wanahamishwa mara moja.

 

Mkuu wa Mkoa ameeleza kuishangaa ofisi ya madini kwa kushindwa kutimiza wajibu wake na kuwaacha wachimbaji hao wakizidi kuharibu vyanzo vya maji vinavyohatarisha afya ya watumiaji wa maji kutokana na matumizi ya zebaki wanayotumia katika uchenjuaji wa...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Siku saba za urais ndani ya CCM

Ni wiki ngumu kwa Chama cha Mapinduzi (CCM). Ndivyo unavyoweza kusema kwani chama hicho kinachotawala kitafanya vikao vyake vya juu vitakavyohitimishwa kwa kumpata mgombea wake wa urais.

 

10 years ago

Michuzi

UPDATES YA UKAWA USIKU HUU: MGOMBEA URAIS WA UKAWA KUTANGAZWA NDANI YA SIKU SABA

Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA umesema kuwa mgombea wao wa Urais watamtoa baada ya siku saba.
Akizungumza na Waandishi wa Habari usiku huu,Mwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi,Mh.James Mbatia amesema kuwa kuchukua muda mrefu kwa kikao hicho imetokana na kuandaa utaratibu jinsi ya kumtoa mwali wao  wa Urais kwa tiketi ya UKAWA aliye bora.Amesema kuwa mkutano huo pia umechukua muda mrefu  kutokana na mambo mengi ikiwemo mgawanyo wa majimbo.
Afisa Habari wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

 

9 years ago

StarTV

Wachimbaji wadogo watano wafariki Geita

Wachimbaji wadogo watano wamefariki dunia baada ya kufukiwa na vifusi katika maeneo ya Mgusu na Nyanza mkoani Geita.

Matukio hayo yametokea kwa nyakati tofauti ambapo wachimbaji kumi waliingia eneo la Nyanza majira ya saa tisa novemba 28 na wakiwa katika harakati za uchimbaji wakaangukiwa na kifusi huku usiku wa novemba 29 tukio hilo limetokea mgusu na kusababisha wachimbaji hao kufariki.

Maeneo ya Nyanza na Mgusu wanayoingia wachimbaji wadogo kwa ajili ya kujitafutia dhahabu yako chini ya...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wachimbaji Geita waomba eneo jingine

WACHIMBAJI wadogo wanaochimba katika Kijiji cha Isamolo Kata ya Kamhanga wilayani Geita wameiomba Serikali kuwatafutia maeneo mengine kwani walilopewa halina dalili yoyote ya kupata dhahabu. Akizungumza na Waandishi wa Habari...

 

11 years ago

Mwananchi

Wachimbaji wadogo wanusurika kifo Geita

Watu wawili wameokolewa baada ya kufukiwa na kifusi ndani ya shimo la mita 600 katika Kijiji cha Chilulumo, mkoani Geita wakati walipoingia kwa shughuli za uchimbaji mdogo.

 

11 years ago

GPL

PSPF YAPATA MWANACHAMA MPYA NDANI YA MAENESHO YA SABA SABA

Meneja Uhusiano Mwandamizi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Abdul Njaidi, (Kushoto), akimkabidhi kadi ya uanachama, Mwnaachama Mpya wa Mfuko huo, Peter A Mfuru, (Kulia), baada ya kujiunga jana kwenye maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam jana. Katikati ni Afisa Mifumo ya Kompyuta Mwandamizi, Mariam Saleh. Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Abdul Njaidi, (Kushoto), akitoa maelezo ya namna...

 

11 years ago

GPL

ACCESS BANK YAWAKARIBISHA KUPATA HUDUMA ZAKE NDANI YA VIWANJA VYA SABA SABA


  Wafanyakazi wa Access Benki wakitoa maelekezo kwa mteja aliyetembelea katika banda lao namba nne lililoko katika maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika katika viwanja vya Mwl. Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.…

 

11 years ago

Michuzi

ACCESS BANK YAWAKARIBISHA MPATE HUDUMA ZAKE NDANI YA VIWANJA VYA SABA SABA JIJINI DAR

Mteja akipata maelezo ya Kina kutoka kwa wafanyakazi wa Access Bank katika banda lao lililopo kwenye maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika katika viwanja vya Mwl. Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Mtangazaji wa Kituo cha Televisheni ya Channel 10, Meshack akifanya mahojiano na Ofisa Masoko Mwandamizi wa Access Bank, Muganyizi Bisheko na kueleza huduma wanazozitoa  katika banda lao lililopo kwenye maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika katika viwanja vya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani