Rais CCM sasa hadharani
Sasa ni wazi; mmoja kati ya Dk John Magufuli, Dk Asha Rose Migiro au Balozi Amina Salum Ali atapeperusha bendera ya CCM kwenye Uchaguzi Mkuu ujao baada ya wajumbe wa Mkutano Mkuu kukamilisha kazi yao ya kupiga kura usiku mwingi wa kumkia leo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo27 Dec
Mapato ya gesi sasa hadharani
WAKATI eneo la kujenga kiwanda cha kuchakata gesi itakayovunwa baharini likitangazwa kupatikana wiki hii, uvunaji utakapoanza Serikali itapata mapato makubwa kutokana na mikataba minono iliyoingiwa.
10 years ago
Mwananchi06 Aug
Ilani ya vyama vya ADC, ACT sasa hadharani
Wakati joto la Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, mwaka huu likiendelea kupanda, vyama viwili vya ACT-Wazalendo na ADC ndivyo vilivyokamilisha ilani zake na kutangaza kwa umma, huku viongozi wa vyama vingine wakitangaza kukamilisha kazi hiyo kabla ya kuanza kampeni.
10 years ago
Vijimambo13 Aug
DR. SLAA AIBUKA NA KUSEMA ATAWEKA KILA KITU HADHARANI MUDA WOTE KUANZIA SASA
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Slaa-13August2015.jpg)
Katika siku za karibuni, Dk. Slaa amekuwa gumzo kutokana na kutoonekana katika shughuli mbalimbali za chama hicho pamoja na mikutano muhimu inayoitishwa na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).
Akizungumza na NIPASHE kwa njia ya simu jana, Dk....
9 years ago
MichuziTAARIFA ZA TAKWIMU SASA KUWEKWA HADHARANI ILI WANANCHI WATOE MAONI YAO JUU YA MAENDELEO
11 years ago
Mwananchi26 Feb
Waraka wa Katiba wa CCM hadharani
Waraka huo wa kurasa 22 unaoainisha mambo yenye masilahi kwa chama hicho, unawataka wajumbe wake kuutetea bungeni.
9 years ago
Mwananchi18 Aug
Kamati ya uchaguzi CCM hadharani
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kamati ya wajumbe 32 mahususi kwa ajili ya kempeni za Uchaguzi Mkuu 2015 chini ya Mwnyekiti Abdulrahman Kinana.
11 years ago
Uhuru Newspaper01 Jul
CCM Kibaha yaweka hadharani msimamo
NA MWANDISHI WETU
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Kibaha Mjini, kimesema wanachama wake watakaoongoza kura za maoni pasipo mizengwe, watateuliwa kuwania uongozi katika uchaguzi ujao wa serikali za mitaa.
Kimesema kitakabiliana na wagombea wote wasiokubali kushindwa, ambao mara nyingi wamekuwa chanzo cha kuendeleza makundi na kuleta matatizo kwenye uchaguzi.
Katibu wa CCM wa wilaya hiyo, Abdallah Mdimu, alisema hayo juzi kwa wenyeviti wa serikali za mitaa na madiwani alipokuwa akifunga...
10 years ago
GPLKIGOGO CCM AANGUA KILIO HADHARANI!
Katibu wa Elimu, Malezi na Uchumi ambaaye pia ni Mkurugenzi wa Jumuiya ya Wazazi wa CCM, Emmy Kiula kisikitikia jambo. Stori: Dunstan Shekidele, Morogoro/Ijumaa Wikienda
Machungu! Kigogo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoani hapa ambaye ni Katibu wa Elimu, Malezi na Uchumi na pia ni Mkurugenzi wa Jumuiya ya Wazazi wa CCM, Emmy Kiula amejikuta akiangua kilio hadharani baada ya Mzee Mohamed Halfan (78) mwenye ulemavu kumlilia kuwa...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania