TAARIFA ZA TAKWIMU SASA KUWEKWA HADHARANI ILI WANANCHI WATOE MAONI YAO JUU YA MAENDELEO
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (kushoto), akihutubia wakati akifungua mkutano wa wadau wa takwimu wadau wa maendeleo Endelevu leo jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue wakati akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kufungua mkutano wa wadau wa maendeleo Endelevu (SDG’S) ambao shabaha yake kubwa iliukuwa kuweka mifumo ya namna ya kutekeleza mpango huo leo jijini Dar es Salaam
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Profesa Adolph Mkenda akizungumza...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLVETA YATAKIWA KUSIKILIZA MAONI YA WADAU ILI KUJUA MAHITAJI YAO SANJARI NA KUBADILISHA MITAALA YA ELIMU
11 years ago
Habarileo31 Jul
Waliopiga mabomu kuwekwa hadharani
WATUHUMIWA wa mabomu katika maeneo mbalimbali mkoani Arusha, watawekwa hadharani hivi karibuni ikiwa ni pamoja na umma kuelezwa kilichotokea na waliowatuma.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/j2M1I3T7jzlHdf*-WP*p3wVytfxWF1M3qfnRwoCCFWooaB*azwXbM5Hq2o79CHlLb1RT8EFHMNhpCmEoFGkTUL3kYnljA5OB/LOWASSAEdward.jpg?width=650)
JALADA LA LOWASA KUWEKWA HADHARANI
10 years ago
Habarileo05 Dec
Waliosamehewa kodi kuwekwa hadharani
MAMLAKA ya Mapato nchini (TRA) inaandaa orodha ya watu waliopewa misamaha ya kodi na kiwango walichopewa na kuwatangaza lengo likiwa ni kuongeza uwazi kwa wananchi kujua kiwango cha misamaha.
11 years ago
Tanzania Daima14 Jun
‘Wanaume wanaonyanyaswa na wake zao watoe taarifa’
SERIKALI imewataka wanaume kutoona haya na kufika kwenye madawati ya kijinsia yaliyopo katika vituo vya polisi nchini kutoa taarifa wanapofanyiwa vitendo vya kikatili na wake zao. Kauli hiyo ilitolewa mjini...
10 years ago
Mwananchi10 Apr
MAONI: Serikali isihodhi taarifa, iwape wananchi
11 years ago
Mwananchi04 Jan
Kilichomuua Mgimwa kuwekwa hadharani Jumapili
10 years ago
Michuzi21 Sep
Maoni ya Kinana juu ya muungano baada ya wananchi wa scotland kupiga kura
Kinana alisema amekuwa akipigiwa simu siku nzima na waandishi wa habari kutaka kusikia maoni yake juu ya kura iliyopigwa Scotland.
Wananchi wa Scotland wamepiga kura na kuunga mkono muungano wa miaka 307 baina ya nchi hiyo na Uingereza katika...