Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waliosamehewa kodi kuwekwa hadharani

MAMLAKA ya Mapato nchini (TRA) inaandaa orodha ya watu waliopewa misamaha ya kodi na kiwango walichopewa na kuwatangaza lengo likiwa ni kuongeza uwazi kwa wananchi kujua kiwango cha misamaha.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

JALADA LA LOWASA KUWEKWA HADHARANI

Edward Lowassa Na Mwandishi Wetu  DHORUBA ya kisiasa ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu, inazidi kutibua mawimbi kufuatia kunaswa kwa harakati za kuchafuana miongoni mwa wagombea wa nafasi ya urais kupitia chama hicho. Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali nchini, imebainika kuwa pamoja na watangaza nia wengine kuwindwa na mkakati huu, mlengwa mkuu ni waziri mkuu wa zamani, Edward Lowassa...

 

11 years ago

Habarileo

Waliopiga mabomu kuwekwa hadharani

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia Baraza la Idd el Fitr, viwanja vya Karimjee, Dar es Salaam juzi.WATUHUMIWA wa mabomu katika maeneo mbalimbali mkoani Arusha, watawekwa hadharani hivi karibuni ikiwa ni pamoja na umma kuelezwa kilichotokea na waliowatuma.

 

11 years ago

Mwananchi

Kilichomuua Mgimwa kuwekwa hadharani Jumapili

Serikali imesema itaweka wazi kilichomuua Dk William Mgimwa Jumapili, huku Katibu wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kalenga mkoani Iringa, Martini Simangwa akisema marehemu Mgimwa atazikwa Jumatatu katika Kijiji cha Magunga kilichopo Kata ya Maboga mkoani Iringa.

 

10 years ago

Mwananchi

Mgombea wa urais CCM kuwekwa hadharani leo

Sasa ni wazi; mmoja kati ya Dk John Magufuli, Dk Asha Rose Migiro au Balozi Amina Salum Ali atapeperusha bendera ya CCM kwenye Uchaguzi Mkuu ujao baada ya wajumbe wa Mkutano Mkuu kukamilisha kazi yao ya kupiga kura usiku mwingi wa kumkia leo.

 

9 years ago

Mtanzania

Video za ngono za Jennifer Lopez kuwekwa hadharani

JLo-Divorce-300x300NEW YORK, MAREKANI

ALIYEWAHI kuwa mume wa msanii nyota nchini Marekani, Jennifer Lopez ‘JLo’, Noa Ojani, amesema anatarajia kuachia video za ngono za mke wake huyo wa zamani.

Video hiyo ilichezwa na wapenzi hao wawili wakati walipokuwa katika uhusiano wa kimapenzi lakini ipo mikononi mwa mwanamume huyo ambaye waliachana miezi 11 tangu kufungwa kwa ndoa yao mwaka 1997.

Pia, Ojani amesema atatoa kopi nyingi za video hiyo ili iweze kusambaa kwa kuwa J. Lo ameshindwa kutimiza
makubaliano yao...

 

9 years ago

Michuzi

TAARIFA ZA TAKWIMU SASA KUWEKWA HADHARANI ILI WANANCHI WATOE MAONI YAO JUU YA MAENDELEO

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (kushoto), akihutubia wakati akifungua mkutano wa wadau wa takwimu wadau wa maendeleo Endelevu leo jijini Dar es Salaam. Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue wakati akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kufungua mkutano wa wadau wa maendeleo Endelevu (SDG’S) ambao shabaha yake kubwa iliukuwa kuweka mifumo ya namna ya kutekeleza mpango huo leo jijini Dar es Salaam Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Profesa Adolph Mkenda akizungumza...

 

9 years ago

Habarileo

Walioshindwa kulipa kodi hadharani

MAKAMPUNI 15 yaliyokwepa kodi baada ya kutorosha makontena yao, yamejisalimisha Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), lakini yameshindwa kulipa kodi ndani ya siku saba za msamaha wa Rais John Magufuli.

 

9 years ago

MillardAyo

Matatu kutoka TRA >>>makusanyo ya kodi yaliyofikiwa, usajili wa pikipiki, walioshindwa kulipa kodi…

Mipango ya Rais Magufuli kuendelea kupambana na wabadhirifu wa mapato ya Serikali yameendeela kuchukua sura mpya. Kupitia Mamlaka ya Mapato TRA Rais aliweza kufanya mabadiliko makubwa ikiwa ni pamoja na kuwaondoa watendaji ambao walihusika katika upotevu wa fedha za umma pamoja na kuwabana wakwepa kodi ambao ni wafanyabiashara wakubwa. Kingine kilichonifikia leo kutoa  kutoka kwa […]

The post Matatu kutoka TRA >>>makusanyo ya kodi yaliyofikiwa, usajili wa pikipiki, walioshindwa kulipa kodi…...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani