Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mgombea wa urais CCM kuwekwa hadharani leo

Sasa ni wazi; mmoja kati ya Dk John Magufuli, Dk Asha Rose Migiro au Balozi Amina Salum Ali atapeperusha bendera ya CCM kwenye Uchaguzi Mkuu ujao baada ya wajumbe wa Mkutano Mkuu kukamilisha kazi yao ya kupiga kura usiku mwingi wa kumkia leo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

PICHA: MGOMBEA WA URAIS KWA TIKETI YA CCM DKT. JOHN MAGUFULI NA MGOMBEA MWENZA MH. SAMIA SULUHU WACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Mgombea wa Urais Dkt John Pombe Magufuli  kupitia Chama hicho katika ofisi ndogo ya CCM Lumumba baada ya kuchukua Fomu ya Kugombea Urais katika Ofisi za NEC Leo. 
  Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Mgombea Mwenza  wa Urais Mh. Samia Suluhu  kupitia Chama hicho katika ofisi ndogo ya CCM Lumumba baada ya kuchukua Fomu ya Kugombea Urais katika Ofisi za NEC Leo.   Baadhi ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Mgombea urais Ukawa hadharani kesho

>Baada ya vikao mfululizo wiki hii, hatimaye Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) unatarajia kumtangaza mgombea urais wake kesho.

 

10 years ago

Habarileo

Mgombea Urais wa ACT hadharani Agosti 10

MGOMBEA wa Urais wa Tanzania katika uchaguzi mkuu kupitia chama cha ACT-Wazalendo, inatarajia kujulikana Agosti 10 mwaka huu.

 

10 years ago

Michuzi

MGOMBEA URAIS CCM DKT SHEIN APOKELEWA KWA KISHINDO ZANZIBAR LEO

 Mgombea wa nafasi ya Urais Zanzibar kupitia CCM Dkt Ali Mohamed Shein akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idd mara baada ya kuwasili Uwanja wa ndenge wa Zanzibar akitokea Dodoma ambapo alithibitishwa rasmi kugombea nafasi hiyo. Mgombea wa nafasi ya Urais Zanzibar kupitia CCM Dkt Ali Mohamed Shein akivalishwa Shada la maua mara baada ya kuwasili Uwanja wa ndenge wa Zanzibar akitokea Dodoma ambapo alithibitishwa rasmi kugombea nafasi hiyo.  Mgombea wa nafasi ya...

 

9 years ago

Michuzi

KAMATI YA KAMPENI YA MGOMBEA URAIS WA CCM DKT MAGUFULI YASHEREHEKEA SIKUKUU YA EID EL HAJJ MKOANI GEITA LEO

 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania na Mjumbe wa Kamati  Kuu ya CCM,Ndugu Abdallah Bulembo ambaye pia ni Kiongozi wa msafara wa kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi CCM,akiwaongoza baadhi ya viongozi mbalimbali wa chama hicho na wageni waalikwa kutoka Serikali ya Mkoa wa Geita kukata Ndafu  ikiwa ni sehemu ya  kusherehekea sikukuu ya Eid El Hajj kwa pamoja,wakati wa mapumziko ya shughuli za kampeni za Mgombea Urais wa CCM Dkt...

 

10 years ago

Habarileo

Waliosamehewa kodi kuwekwa hadharani

MAMLAKA ya Mapato nchini (TRA) inaandaa orodha ya watu waliopewa misamaha ya kodi na kiwango walichopewa na kuwatangaza lengo likiwa ni kuongeza uwazi kwa wananchi kujua kiwango cha misamaha.

 

10 years ago

GPL

JALADA LA LOWASA KUWEKWA HADHARANI

Edward Lowassa Na Mwandishi Wetu  DHORUBA ya kisiasa ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu, inazidi kutibua mawimbi kufuatia kunaswa kwa harakati za kuchafuana miongoni mwa wagombea wa nafasi ya urais kupitia chama hicho. Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali nchini, imebainika kuwa pamoja na watangaza nia wengine kuwindwa na mkakati huu, mlengwa mkuu ni waziri mkuu wa zamani, Edward Lowassa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani