Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mgombea Urais wa ACT hadharani Agosti 10

MGOMBEA wa Urais wa Tanzania katika uchaguzi mkuu kupitia chama cha ACT-Wazalendo, inatarajia kujulikana Agosti 10 mwaka huu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mgombea urais ACT kujulikana Agosti 10

Chama cha ACT - Wazalendo kinatarajia kumtagaza mgombea wake wa urais wa Agosti 10, imefahamika.

 

9 years ago

GPL

ACT YATAMBULISHA MGOMBEA URAIS NA MGOMBEA MWENZA

Prof. Mkumbo akimkaribisha mgombea urais, Bi. Anna Elisha. Bi Anna Elisha akizungumza na wanachama muda mfupi baada ya kutambulishwa. Kabwe akizungumza na wanachama.…

 

10 years ago

Mwananchi

Mgombea urais Ukawa hadharani kesho

>Baada ya vikao mfululizo wiki hii, hatimaye Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) unatarajia kumtangaza mgombea urais wake kesho.

 

10 years ago

Mwananchi

Mgombea urais Chadema kupatikana Agosti 4

>Kamati Kuu ya Chadema imepanga Agosti 4 kuwa siku ya kumpata mgombea wake wa urais ambaye ataingia kwenye kinyang’anyiro cha kumtafuta mgombea wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).

 

10 years ago

Mtanzania

Mgombea urais Chadema kupatikana Agosti

Freeman-MboweNA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kinatarajia kumpata mgombea wake wa urais Agosti 4, mwaka huu.
Kupatikana kwa mgombea huyo kutatokana na uamuzi wa mkutano mkuu wa taifa, ambacho ndio chombo cha juu cha uamuzi.
Kauli hiyo ilitolewa jijini Dar es Salaam jana na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, wakati akitangaza kwa waandishi wa habari uamuzi wa kikao cha Kamati Kuu kilichoketi kwa siku mbili.
Alisema pamoja na mambo mengine kikao hicho...

 

10 years ago

Mwananchi

Mgombea wa urais CCM kuwekwa hadharani leo

Sasa ni wazi; mmoja kati ya Dk John Magufuli, Dk Asha Rose Migiro au Balozi Amina Salum Ali atapeperusha bendera ya CCM kwenye Uchaguzi Mkuu ujao baada ya wajumbe wa Mkutano Mkuu kukamilisha kazi yao ya kupiga kura usiku mwingi wa kumkia leo.

 

10 years ago

GPL

ACT KUTANGAZA WAGOMBEA WAKE WA URAIS AGOSTI 13, 2015

CHAMA cha ACT Wazalendo leo kimetoa ratiba yao kwa wanahabari kuhusu kutangaza wagombea wake wa urais katika Uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba 2015. Ifuatayo ni taarifa yao kwa wanahabari: Ndugu waandishi wa Habari
Karibuni kwa mara nyingine katika makao makuu ya Chama chetu.
ACT Wazalendo tunaendelea kuwashukuru kwa kuitikia wito wetu kila mara tunapowaita kwa ajili ya kuchukua habari na kuzifikisha kwa umaa, hili linatutia moyo...

 

9 years ago

Vijimambo

Mgombea Urais wa Chama cha ACT Mhe Khamis Iddi Lila Arejesha fomu ya Kugombea Urais wa Zanzibar Tume ya Uchaguzi ZEC.

Mgombea Urais wa ACT Mhe Khamis Iddi Lila akiwasili katika viwanja vya Afisi ya Tume ya Uchaguzi ziliko katika hoteli ya Bwawani Zanzibar kwa ajili ya kurejesha famu yake ya kugombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT. Mgombea Urais kupitia Chama cha ACT Mhe Khamis Iddi Lila akiwa na mkoba wake wa fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar akishindikizwa na Viongozi wa Chama hicho wakiwasili katika Afisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC bwawani Zanzibar. Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama...

 

10 years ago

Michuzi

MHE.EDWARD LOWASSA AKARIBISHWA RASMI KUJIUNGA NA UKAWA.,MGOMBEA URAIS KUTANGAZWA AGOSTI 4

 Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi Mhe.James Mbatia (pichani kati) akizungumza mbele ya Waandishi wa Habari mapema leo mchana kwenye makao makuu ya chama cha CUF jijini Dar,akiwa sambamba na baadhi ya viongozi wengine wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA),pichani kushoto ni Mwenyekiti wa chama cha CHADEMA,Mhe,Freeman Mbowe,Mwenyekiti wa Taifa wa chama cha CUF-Prof.Ibrahim Lipumba na wa pili kulia ni Mwenyekitiwa chama cha NLD Dkt.Emmanuel Makaidi.Katika mkutano huo ulizungumzia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani