Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ACT KUTANGAZA WAGOMBEA WAKE WA URAIS AGOSTI 13, 2015

CHAMA cha ACT Wazalendo leo kimetoa ratiba yao kwa wanahabari kuhusu kutangaza wagombea wake wa urais katika Uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba 2015. Ifuatayo ni taarifa yao kwa wanahabari: Ndugu waandishi wa Habari
Karibuni kwa mara nyingine katika makao makuu ya Chama chetu.
ACT Wazalendo tunaendelea kuwashukuru kwa kuitikia wito wetu kila mara tunapowaita kwa ajili ya kuchukua habari na kuzifikisha kwa umaa, hili linatutia moyo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mgombea urais ACT kujulikana Agosti 10

Chama cha ACT - Wazalendo kinatarajia kumtagaza mgombea wake wa urais wa Agosti 10, imefahamika.

 

10 years ago

Habarileo

Mgombea Urais wa ACT hadharani Agosti 10

MGOMBEA wa Urais wa Tanzania katika uchaguzi mkuu kupitia chama cha ACT-Wazalendo, inatarajia kujulikana Agosti 10 mwaka huu.

 

10 years ago

GPL

ADC YAWATAMBULISHA WAGOMBEA URAIS WAKE

 Mgombea urais wa Tanzania  kupitia Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC),  Lutasola Yemba (katikati), akimtambulisha kwa wananchi mgombea mwenza Said Miraj (kulia) na mgombea urais wa chama hicho, Zanzibar, Hamad Rashid Hamad  kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Buguruni Sheli Dar es Salaam jana.   Mgombea urais wa Tanzania  kupitia Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC),  Lutasola...

 

10 years ago

Vijimambo

Urais 2015 kumekucha CCM: Makongoro Nyerere naye kutangaza nia Butiama


Mtoto wa aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Tanzania ambaye pia ni baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere ajulikanaye kama Makongoro Nyerere naye anatarajia kutangaza nia ya kugombea urais katika uchaguzi mkuu ujao mwaka 2015.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo kwa vyombo vya habari imebainisha kuwa Makongoro Nyerere atatangaza nia ya kugombea urais kupitia chama cha Mapinduzi ifikapo tarehe moja mwezi wa sita mwaka huu yaani siku ya jumatatu.
Makongoro nyerere ameungana na Waziri Prof. Mark...

 

10 years ago

Dewji Blog

Filamu mpya ya Wake-Up kuzinduliwa Agosti 30, 2015 jijini Dar

1

Muandaaji wa Filamu ya Wake-Up, Manaiki Sanga (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu filamu hiyo mpya inayotarajiwa kuzinduliwa Agosti 30, 2015. Kulia ni msanii wa filamu, Farida Sabua ‘Mama Sonia na Salim Ahmed ‘Gabo’.

Msanii wa filamu, Taiya Odero (kulia), akizungumza  katika mkutano huo.

Meza kuu. Kutoka kulia ni Taiya Odero,  Farida Sabua ‘Mama Sonia,  Muandaaji wa Filamu ya Wake-Up, Manaiki Sanga, Salim Ahmed ‘Gabo na...

 

10 years ago

GPL

JOKATE AWAGOMEA WAGOMBEA URAIS 2015

Mwandishi wetu
MWANAMITINDO na mtangazaji maarufu Bongo, Jokate Mwegelo amewagomea wagombea urais wote waliotangaza nia cha kuingia ikulu Oktoba, mwaka huu. Mwanamitindo na mtangazaji maarufu Bongo, Jokate Mwegelo. Jokate aliyasema hayo alipoulizwa na Global TV Online Ijumaa iliyopita kuhusu kuelekea Uchaguzi Mkuu 2015 kuwa, amejiandaaje na yupo kambi gani kati ya wagombea urais waliotangaza nia na wale ambao bado.“Hadi...

 

10 years ago

Vijimambo

FILAMU MPYA YA WAKE-UP KUZINDULIWA AGOSTI 30, 2015 JIJINI DAR ES SALAAM

 Muandaaji wa Filamu ya Wake-Up, Manaiki Sanga (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu filamu hiyo mpya inayotarajiwa kuzinduliwa Agosti 30, 2015. Kulia ni msanii wa filamu, Farida Sabua 'Mama Sonia na Salim Ahmed 'Gabo'. Msanii wa filamu, Taiya Odero (kulia), akizungumza katika mkutano huo.
 Meza kuu. Kutoka kulia ni Taiya Odero,  Farida Sabua 'Mama Sonia,  Muandaaji wa Filamu ya Wake-Up, Manaiki Sanga , Salim Ahmed 'Gabo na Kaushik...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

VIDEO — MDAHALO WAGOMBEA URAIS ZANZIBAR 20/09/2015

The post VIDEO – MDAHALO WAGOMBEA URAIS ZANZIBAR 20/09/2015 appeared first on Mzalendo.net.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani