Wanane kortini kwa kumkata albino mkono
WATU wanane wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Mpanda mkoani Katavi kwa kumkata mkono wa kulia, Remi Luchoma (30) mwenye ulemavu wa ngozi, kisha kutokomea na mkono huo kusikojulikana.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania04 Jun
Kizimbani kwa kumkata mkono albino
NA WALTER MGULUCHUMA, KATAVI
WATU wanane wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Mpanda Mkoa wa Katavi kujibu shitaka la kumjeruhi kwa mapanga na kisha kumkata mkono Lemi Luchumi (30) ambaye ni mlemavu wa ngozi (albino), mkazi wa Mwamachoma, Tarafa ya Mamba, Wilaya ya Mlele na kisha kutokomea nao.
Watuhumiwa hao waliopandishwa kizimbani jana mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Mpanda, Odira Amworo ni Alex Manyanza (24), Nogele Maliganya, Galula Nkuba (45), Shile...
10 years ago
Habarileo03 Sep
Kortini kwa kukata mkono wa albino, kuua mume
WATU watatu wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Igunga na kusomewa mashitaka ya kukata mkono wa mlemavu wa ngozi na kisha kumuua mumewe.
11 years ago
Habarileo14 Jun
Askari TPA wadaiwa kumkata mtu mkono
ASKARI wawili wa Mamlaka ya Bandari Tanzania(TPA), Jonas Bakari (25) na Hashim Salum (43) wamefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kumkata mtu mkono.
11 years ago
Mwananchi27 Feb
Madiwani wanane Bukoba wagonga mwamba kortini
10 years ago
Mwananchi14 Mar
NYANZA: Walimu kortini kwa kuuza mafuta ya albino
11 years ago
Mwananchi21 Mar
Jela kwa kumkata mkewe kiganja
11 years ago
BBCSwahili17 Apr
Jela kwa kumkata kichwa mpenzi wake
10 years ago
Habarileo15 May
Albino mwingine akatwa mkono
MWANAMKE mwenye ulemavu wa ngozi (albino), Remi Luchoma (30), mkazi wa kijiji cha Mwamachoma kata ya Mamba wilaya ya Mlele mkoa wa Katavi, amekatwa mkono wake wa kulia na watu wasiojulikana, kisha wakatokomea na kiganja cha mkono huo kusikojulikana.
10 years ago
BBCSwahili09 Mar
Mtoto mwingine Albino akatwa mkono