Askari TPA wadaiwa kumkata mtu mkono
ASKARI wawili wa Mamlaka ya Bandari Tanzania(TPA), Jonas Bakari (25) na Hashim Salum (43) wamefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kumkata mtu mkono.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania04 Jun
Kizimbani kwa kumkata mkono albino
NA WALTER MGULUCHUMA, KATAVI
WATU wanane wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Mpanda Mkoa wa Katavi kujibu shitaka la kumjeruhi kwa mapanga na kisha kumkata mkono Lemi Luchumi (30) ambaye ni mlemavu wa ngozi (albino), mkazi wa Mwamachoma, Tarafa ya Mamba, Wilaya ya Mlele na kisha kutokomea nao.
Watuhumiwa hao waliopandishwa kizimbani jana mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Mpanda, Odira Amworo ni Alex Manyanza (24), Nogele Maliganya, Galula Nkuba (45), Shile...
10 years ago
Habarileo05 Jun
Wanane kortini kwa kumkata albino mkono
WATU wanane wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Mpanda mkoani Katavi kwa kumkata mkono wa kulia, Remi Luchoma (30) mwenye ulemavu wa ngozi, kisha kutokomea na mkono huo kusikojulikana.
11 years ago
Mwananchi26 Jan
Askari Magereza wadaiwa kuua mfungwa
9 years ago
BBCSwahili10 Sep
Askari Sudan wadaiwa kuua na kubaka raia
11 years ago
GPLDEREVA ADAI KUVUNJWA MKONO NA ASKARI POLISI
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Qvxzmt4uuyXzn05zBcUy6awpB88*Uy3BA5UOdREAJ29hz5cO7vu-zAjlEeS7QCpTt9ta-g3GWxnLEYlD85bXocUlGUSZMdvN/familia.jpg?width=650)
FAMILIA KUFA AJALINI ‘KUNA MKONO WA MTU!'
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-ZtmxWKXGxK8/VWV44xrGEqI/AAAAAAAHaDk/2WOKLo1tXeY/s72-c/index.jpg)
MAKALA YA SHERIA; NI KOSA ASKARI KUONDOKA NA MTU MWINGINE BAADA YA KUMKOSA MTUHUMIWA NYUMBANI.
![](http://3.bp.blogspot.com/-ZtmxWKXGxK8/VWV44xrGEqI/AAAAAAAHaDk/2WOKLo1tXeY/s320/index.jpg)
Malalamiko ya raia dhidi ya jeshi la polisi hayataishi kama polisi wenyewe hawatajirekebisha. Na ieleweke kuwa si kweli kwamba wanaolalamika ni wajinga au hawana sababu za msingi. Mara zote ukiangalia malalamiko ya raia huwa ni ya msingi na mzizi wake ni mmoja tu. Ni utamaduni wa askari wetu kutopenda kutenda hatua kwa hatua kama sheria inavyoagiza. Sheria imetoa maelezo mazuri tu ya namna ya kuyaendea mambo....
10 years ago
Dewji Blog09 Mar
Breaking News…#Ukatili tena: Mtoto mwingine mwenye Albinism akatwa mkono, mama mtu ajeruhiwa vibaya
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Rukwa, Jacob Mwaruanda (katikati) akizungumza na waandishi wa habari. (Picha na maktaba).
Na modewji blog
Mtoto Baraka Cosmas Rusambo mwenye umri wa miaka sita mwenye ulemavu wa ngozi (Albinism), amekatwa mkono wa kulia katika tukio lilitokea Jumamosi usiku tarehe7 Machi kwenye kijiji cha Kiseta, Kata ya Kiseta, Tarafa ya Kiseta wilayani Sumbawanga vijijini, mkoani Rukwa.
Picha ya mtoto Baraka Cosmas Rusambo, akiwa wodini akipatiwa matibabu ya jeraha la...
11 years ago
Mwananchi21 Mar
Jela kwa kumkata mkewe kiganja