Jela kwa kumkata mkewe kiganja
>Mahakama ya Wilaya ya Geita jana ilimtia hatiani na kumhukumu kifungo cha miaka mitano jela Musa Lutobeka (30) baada ya kupatikana na hatia ya kumkata mkewe kiganja cha mkono wa kushoto na kumsababishia ulemavu wa kudumu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili17 Apr
Jela kwa kumkata kichwa mpenzi wake
11 years ago
Habarileo06 Apr
Jela kwa kumchanja mkewe
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi wa Wilaya ya Nkasi imemtia hatiani mkazi wa kijiji cha Kabwe Camp mwambao mwa Ziwa Tanganyika, Halid Mussa (38) kwa kosa la kumjeruhi mkewe, Mwajuma Idd(23) kwa kumchanja viganja vyake na kifuani kwa kisu kwa kile kilichodaiwa wivu wa kimapenzi.
10 years ago
Mtanzania04 Jun
Kizimbani kwa kumkata mkono albino
NA WALTER MGULUCHUMA, KATAVI
WATU wanane wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Mpanda Mkoa wa Katavi kujibu shitaka la kumjeruhi kwa mapanga na kisha kumkata mkono Lemi Luchumi (30) ambaye ni mlemavu wa ngozi (albino), mkazi wa Mwamachoma, Tarafa ya Mamba, Wilaya ya Mlele na kisha kutokomea nao.
Watuhumiwa hao waliopandishwa kizimbani jana mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Mpanda, Odira Amworo ni Alex Manyanza (24), Nogele Maliganya, Galula Nkuba (45), Shile...
10 years ago
Habarileo05 Jun
Wanane kortini kwa kumkata albino mkono
WATU wanane wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Mpanda mkoani Katavi kwa kumkata mkono wa kulia, Remi Luchoma (30) mwenye ulemavu wa ngozi, kisha kutokomea na mkono huo kusikojulikana.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dzJVcnA3Xm19NNJpbti4JTbV*UwKNIN8TQUyRsTNK7iBs4hgT4Iqah16aWzYDkT22qtxB8szLBw71RgYCzTCDadcKA5Aus0q/dudu.jpg?width=600)
ALICHOKISEMA DUDUBAYA BAADA YA KUSAMBAA KWA TAARIFA ZA KUMKATA SIKIO MAMA YAKE MKUBWA
10 years ago
Vijimambo16 Mar
FAHAMU: Namna ya kujibashiria rizki yako kwa kutumia kiganja cha mkono wako
![](http://www.jukwaahuru.com/wp-content/uploads/2013/04/life_line-1200x545_c.png)
10 years ago
Bongo509 Dec
Rapper amuua mkewe na kujiua, mkewe alimsaliti na Trey Songz, Mayweather ashuhudia tukio zima la mauaji!
10 years ago
Habarileo11 Feb
Ajinyonga hadi kufa kwa gauni la mkewe kwa wivu
MKAZI wa kijiji cha Nyakabanga kata ya Butelankuzi, Bukoba vijijini, Eliud Charles (30) anadaiwa kujinyonga hadi kufa kwa kutumia gauni la mkewe, Velidiana Eliud kutokana na wivu wa mapenzi.
10 years ago
BBCSwahili22 Dec
Kwa wivu,Mume amjeruhi mkewe kwa shoka