Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ALICHOKISEMA DUDUBAYA BAADA YA KUSAMBAA KWA TAARIFA ZA KUMKATA SIKIO MAMA YAKE MKUBWA

Godfrey Tumaini 'Dudubaya'. Jana April 08 kupitia You heard Soud Brown ali-amplify taarifa za Dudubaya kumkata sikio mama yake mkubwa huku sababu ikielezwa kuwa anamhisi mama yake huyo anamroga kimuziki,leo Dudubaya kapatikana na ameongelea juu ya jambo hili lilivyotokea. 104.4 Clouds Fm inasikika ukiwa Dodoma. Bonyeza play kusikiliza.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

BAADA YA KUSAMBAA KWA PICHA ZA MWANASHERIA AKIFANANISHWA NA JAMBAZI HIKI NDICHO ALICHOKISEMA

Mwanasheria wa serikali mara baada ya kumvisha pete mchumba wake(hii ndio moja ya picha inayo sambazwa katika mitandao ya kijamii)
Kutokana na kusambaa kwa picha katika mitandao ya kijamii zinazoonyesha vijana wanaosadikika kuwa ni majambazi waliokamatwa na jeshi la polisi siku ya jana, kijana aliyezungushiwa duara ambaye anaonekana katika picha akiwa na wenzake, anafananishwa na kijana anayeonekana  akiwa na mwenziwake katika shughuli ya kumvalisha pete ya uchumba mwenzi huyo, ambapo watu...

 

10 years ago

Michuzi

Mama wa Mitindo Asia Idarous Khamisin afiwa na Mama yake mkubwa Zanzibar


IMG_3895
MBUNIFU mkongwe wa mavazi, Mama wa mitindo nchini, Asia Idarous Khamsin amepata pigo kufuatia kufiwa na Mama yake mkubwa, Aliyefahamika kwa jina la Fatma Juma, Msiba uliotokea Kisiwa Ndui, Unguja.
Kwa mujibu wa taarifa za msiba huo ambao hata hivyo tayari mazishi yake yamefanyika siku ya Jumatatu ya Mei 25, Kisiwa Ndui, na leo Jumatano ya Mei 27 wanatarajia kufanya kisomo maalum.
Ratiba ya Kisomo:Leo Jumatano ya Mei 27, saa 10, Alasiri wanatarajia kufanya kisomo maalum kwa wanawake wote...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mama wa Mitindo Asia Idarous Khamsin afiwa na Mama yake mkubwa Zanzibar

IMG_3895

Na Mwandishi Wetu

MBUNIFU mkongwe wa mavazi, Mama wa mitindo nchini, Asia Idarous Khamsin amepata pigo kufuatia kufiwa na Mama yake mkubwa, Aliyefahamika kwa jina la Fatma Juma, Msiba uliotokea Kisiwa Ndui, Unguja.

Kwa mujibu wa taarifa za msiba huo  ambao  hata hivyo tayari mazishi yake yamefanyika siku ya Jumatatu ya Mei 25, Kisiwa Ndui,  na leo Jumatano ya  Mei 27 wanatarajia kufanya kisomo maalum.

Ratiba ya Kisomo:

Leo  Jumatano ya Mei 27, saa 10, Alasiri wanatarajia kufanya kisomo...

 

10 years ago

CloudsFM

Baada ya kuugua kwa miezi kadhaa,mama yake Diamond aendelea vizuri

Mama mzazi wa Supastaa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz', Sanura Kassim 'Sandra', amerejeshwa Bongo kutoka India ambapo afya yake imetengemaa. Habari kutoka chanzo cha kuaminika ndani ya familia ya jamaa huyo, kililieleza gazeti hili kwamba, tayari Sandra amesharejea katika hali yake ya kawaida na ndiyo maana akarudi Bongo baada ya kulazwa hospitalini nchini India kwa kusumbuliwa na ugonjwa wa kupooza.
Mwanafamilia huyo alisema kwamba, Diamond na mama yake walirejea nchini...

 

10 years ago

Bongo Movies

Baada ya Kusambaa kwa Stori ya Kutoka na Aliekuwa Bwana wa Wolper , Wastara Amesema Haya

Kupitia ukurasa wake wa ‘fesibuku’ Wastara amendika;

“Kalamu ya muandishi imegeuka kuwa fimbo ya wanyonge tofauti na miaka ya nyuma,wanaandishi wanakula mishahara mara mbili wa kituoa anachofanyia kazi na wamtu anaempa habari,hivyo kuandika anachoambiwa sio anachokiona

Pesa inatumika kupotosha ukweli na ukweli ndio uongo waleo,nimeamini maneno yangekuwa sumu ningeshakufa zamani sana lakini kwakua mdomo nyumba ya maneno bado niko hai

Tupendane tushikamane na tuishi kwa usawa usipende kuonea...

 

10 years ago

Vijimambo

UMATI MKUBWA WAMZIKA MAMA YAKE MZAZI KHAMIS MGEJA


 baadhi ya umati wa kinamama waliofika nyumba kwa kwa mwenyekiti wa ccm mkoa wa shinyanga baada ya kupata msiba wa kufiwa na mama yake mzazi  marehemu  bibi Halima Nchimika.

 Mwenye shati la kijani ni  mh mbunge wa kishapu serelemani nchambi  akiwa mchanga katika kaburi la mama yake mzazi marehemu bibi halima nchamika katika makabuli ya uwindini mjini kahama . Waziri mkuu mstafu Edward lowasa  akisalimiana na mama yake mzazi bibi halima nchimika wakati wa uhai wake mjini kahama wakati waziri...

 

10 years ago

Michuzi

TANZIA: MAMA BISHANGA AFIWA NA KAKA YAKE MKUBWA CASIMU JAFFER MANJI "JALEJALE"

Tarehe 23/05/2015 asubuhi ya Tanzania nimefiwa na kaka yangu mkubwa Bw Casim Jaffer Manji (Jalejale) Kongowe kwa binti yetu Anna Kepha mtoto wa marehemu dada Mwl Cecilia Hatia, Napenda kutumia nafasi hii kumjulisha Abasi Manji na akina Manji wa DSM. Familia ya Jaffer Manji wa Bombey, wadogo zangu Dr Geofrey Hatia Nambira wa Namibia, Isaya Hatia wa Finland, na aunt Eva Mack Hatia wa Finland. Familia ya marehemu mzee Abdruhaman Bellim, familia ya mzee Abdala, mzee Jalabi, na shangazi Anna...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani