Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BAADA YA KUSAMBAA KWA PICHA ZA MWANASHERIA AKIFANANISHWA NA JAMBAZI HIKI NDICHO ALICHOKISEMA

Mwanasheria wa serikali mara baada ya kumvisha pete mchumba wake(hii ndio moja ya picha inayo sambazwa katika mitandao ya kijamii)
Kutokana na kusambaa kwa picha katika mitandao ya kijamii zinazoonyesha vijana wanaosadikika kuwa ni majambazi waliokamatwa na jeshi la polisi siku ya jana, kijana aliyezungushiwa duara ambaye anaonekana katika picha akiwa na wenzake, anafananishwa na kijana anayeonekana  akiwa na mwenziwake katika shughuli ya kumvalisha pete ya uchumba mwenzi huyo, ambapo watu...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Hiki ndicho alichokisema Kingwendu baada ya kukosa ubunge

Aliyekuwa mgombea wa ubunge wa jimbo la Kisarawe, Rashid Mwinshehe maarufu kama Kingwendu, amesema baada ya kushindwa, anajipanga upya kwa mwaka 2020. Kingwendu aliyekuwa akigombea kupitia CUF, amesema licha ya kushindwa katika chaguzi huo, ameweza kujitangaza Afrika Mashariki na kuonesha uwezo wake. “Nimejaribu na nimeweza lakini bahati haikuwa yangu,” amesema. “Katika ushindani kuna mawili, kushinda […]

 

11 years ago

GPL

ALICHOKISEMA DUDUBAYA BAADA YA KUSAMBAA KWA TAARIFA ZA KUMKATA SIKIO MAMA YAKE MKUBWA

Godfrey Tumaini 'Dudubaya'. Jana April 08 kupitia You heard Soud Brown ali-amplify taarifa za Dudubaya kumkata sikio mama yake mkubwa huku sababu ikielezwa kuwa anamhisi mama yake huyo anamroga kimuziki,leo Dudubaya kapatikana na ameongelea juu ya jambo hili lilivyotokea. 104.4 Clouds Fm inasikika ukiwa Dodoma. Bonyeza play kusikiliza.…

 

10 years ago

Bongo Movies

Hiki Ndicho Alichokisema Meninah Kuhusu Wema na Kajala

Mrembo na Staa wa Bongo Fleva, ambae nyota na jina lake lilianza kusikika Kupitia shindano la Bongo Star Search (BSS), Meninah La Diva amesema angekuwa na uwezo angewapatanisha mastaa wawili wa Bongo Movies , Wema Sepetu na Kajala Masanja ambao alisema kuwa anawependa sana.

Meninah aliyasema hayo leo alipokuwa akifanya mahojiano na mtangazaji Millard Ayo kwenye c kipindi cha Amplifaya, alipoulizwa kuwa angekuwa na uwezo angewapatanisha mastaa gani ambao wamegombana au hawaelewani kwa namna...

 

10 years ago

Vijimambo

MBIO ZA URAIS HIKI NDICHO ALICHOKISEMA MAKONGORO JUU YA WAGOMBEA WENZIE.



Mbio za kusaka urais kwa makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) zimezidi kushika kasi baada ya mtoto wa tano wa Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, Charles Makongoro Nyerere kujitosa kwenye kinyang’anyiro hicho.Wakati Makongoro akichukua uamuzi huo kwa mara ya kwanza katika historia ya familia ya Mwalimu Nyerere, mkoani Mbeya Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais Kazi Maalumu, Profesa Mark Mwandosya naye ameingia kwenye mbio hizo.
Akitangaza nia yake katika eneo la Mwitongo kijijini Butiama jana,...

 

9 years ago

Bongo Movies

Picha:Hiki Ndicho Alichokifanya Diamond Ndani ya Dar Live

Mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ alifanya  shoo baab’kubwa usiku wa kuamkia jana kwenye Ukumbi wa Dar Live, Mbagala Zakhem jijini Dar es Salaam.

Na hizi ni baadahi ya picha za shoo hiyo.

DIAMOND881 DIAMOND123 DIAMOND6231 DIAMOND24512 DIAMOND11 DIAMOND8721 DIAMOND89913

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani