Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hiki Ndicho Alichokisema Meninah Kuhusu Wema na Kajala

Mrembo na Staa wa Bongo Fleva, ambae nyota na jina lake lilianza kusikika Kupitia shindano la Bongo Star Search (BSS), Meninah La Diva amesema angekuwa na uwezo angewapatanisha mastaa wawili wa Bongo Movies , Wema Sepetu na Kajala Masanja ambao alisema kuwa anawependa sana.

Meninah aliyasema hayo leo alipokuwa akifanya mahojiano na mtangazaji Millard Ayo kwenye c kipindi cha Amplifaya, alipoulizwa kuwa angekuwa na uwezo angewapatanisha mastaa gani ambao wamegombana au hawaelewani kwa namna...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Diamond afunguka na kuhusu ishu ya kumtema Wema na kuhamia kwa Menina, hiki ndo alichokisema...


Diamond afunguka na kuhusu ishu ya kumtema Wema na kuhamia kwa Menina, hiki ndo alichokisema...
Hatimaye Diamond Platnumz amefunguka kuhusutetesi zinazoendelea kuwa ameachana na WemaSepetu na kwamba ana mpango wa kufunga ndoana Meninah Diamond alisema kuwa tetesi hizo zimekuwa zikimhuzunisha kwa kiasi kikubwa. “Unajua hizi habari kiukweli zimekuwazikinihuzunisha sana,” amesema msanii huyo.“Unajua mie ni mtu mmoja ambaye sipendikuzunguzia mambo ya rumors, siju magazeti huwasipendi kuzungumzia...

 

9 years ago

Bongo5

Hiki ndicho alichokisema Kingwendu baada ya kukosa ubunge

Aliyekuwa mgombea wa ubunge wa jimbo la Kisarawe, Rashid Mwinshehe maarufu kama Kingwendu, amesema baada ya kushindwa, anajipanga upya kwa mwaka 2020. Kingwendu aliyekuwa akigombea kupitia CUF, amesema licha ya kushindwa katika chaguzi huo, ameweza kujitangaza Afrika Mashariki na kuonesha uwezo wake. “Nimejaribu na nimeweza lakini bahati haikuwa yangu,” amesema. “Katika ushindani kuna mawili, kushinda […]

 

10 years ago

Vijimambo

MBIO ZA URAIS HIKI NDICHO ALICHOKISEMA MAKONGORO JUU YA WAGOMBEA WENZIE.



Mbio za kusaka urais kwa makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) zimezidi kushika kasi baada ya mtoto wa tano wa Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, Charles Makongoro Nyerere kujitosa kwenye kinyang’anyiro hicho.Wakati Makongoro akichukua uamuzi huo kwa mara ya kwanza katika historia ya familia ya Mwalimu Nyerere, mkoani Mbeya Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais Kazi Maalumu, Profesa Mark Mwandosya naye ameingia kwenye mbio hizo.
Akitangaza nia yake katika eneo la Mwitongo kijijini Butiama jana,...

 

10 years ago

Vijimambo

BAADA YA KUSAMBAA KWA PICHA ZA MWANASHERIA AKIFANANISHWA NA JAMBAZI HIKI NDICHO ALICHOKISEMA

Mwanasheria wa serikali mara baada ya kumvisha pete mchumba wake(hii ndio moja ya picha inayo sambazwa katika mitandao ya kijamii)
Kutokana na kusambaa kwa picha katika mitandao ya kijamii zinazoonyesha vijana wanaosadikika kuwa ni majambazi waliokamatwa na jeshi la polisi siku ya jana, kijana aliyezungushiwa duara ambaye anaonekana katika picha akiwa na wenzake, anafananishwa na kijana anayeonekana  akiwa na mwenziwake katika shughuli ya kumvalisha pete ya uchumba mwenzi huyo, ambapo watu...

 

10 years ago

Bongo Movies

Hichi ndicho alichokisema Irene Uwoya kuhusu yeye kuvaa nguo ya ndani ama kufuli.

Mrembo na staa wa filamu nchini Irene Uwoya amesema kuwa hakuna vazi asilolipenda kulivaa kama chupi a.k.a kufuli. Irene amesema hayo alipokuwa akizungumza na magazine maarufu ya burudani ya VIBE.

Alipoulizwa na mwandishi wa jarida hilo kuwa ni nguo gani ni vigumu kuikuta kwenye kabati lake,  “Chupi – sipendi kabisa hilo vazi” Alisema Irene uwoya. Hatari sana hii.

 

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani