Diamond afunguka na kuhusu ishu ya kumtema Wema na kuhamia kwa Menina, hiki ndo alichokisema...
![](https://lh6.googleusercontent.com/-fB20VU6QCi8/VCZww_scN1I/AAAAAAAAHRg/FHEgLePizg4/s72-c/8.jpeg%20cursor:%20pointer;)
Diamond afunguka na kuhusu ishu ya kumtema Wema na kuhamia kwa Menina, hiki ndo alichokisema...Hatimaye Diamond Platnumz amefunguka kuhusutetesi zinazoendelea kuwa ameachana na WemaSepetu na kwamba ana mpango wa kufunga ndoana Meninah Diamond alisema kuwa tetesi hizo zimekuwa zikimhuzunisha kwa kiasi kikubwa. “Unajua hizi habari kiukweli zimekuwazikinihuzunisha sana,” amesema msanii huyo.“Unajua mie ni mtu mmoja ambaye sipendikuzunguzia mambo ya rumors, siju magazeti huwasipendi kuzungumzia...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi22 Dec
10 years ago
Dewji Blog22 Dec
10 years ago
Bongo Movies17 Mar
Hiki Ndicho Alichokisema Meninah Kuhusu Wema na Kajala
Mrembo na Staa wa Bongo Fleva, ambae nyota na jina lake lilianza kusikika Kupitia shindano la Bongo Star Search (BSS), Meninah La Diva amesema angekuwa na uwezo angewapatanisha mastaa wawili wa Bongo Movies , Wema Sepetu na Kajala Masanja ambao alisema kuwa anawependa sana.
Meninah aliyasema hayo leo alipokuwa akifanya mahojiano na mtangazaji Millard Ayo kwenye c kipindi cha Amplifaya, alipoulizwa kuwa angekuwa na uwezo angewapatanisha mastaa gani ambao wamegombana au hawaelewani kwa namna...
10 years ago
Bongo Movies23 Jan
Baada ya wake kukanusha, Wema Sepetu mwenyewe kaongea kuhusu ishu ya kumpeleka Diamond Polisi.
Baada ya hapo jana meneja wa mwigizaji Wema Sepetu, Martin Kadinda kukanusha habari za Wema kumpeleka polisi Diamond Platnumz ambae alikuwa mpezi wake. Kwa kutoweza kulipa kwa wakati deni la shilingi million 10. Leo Wema Sepetu amefunguka kuhusu swala hili katika mahojiano na Millard Ayo.
Wema ameyasema haya “Hii taarifa imenishtua sana maana asubuhi ya jana nimekuta kwenye gazeti wameandika nikashangaa yaani hapa nimekaa kwa sababu muda mwingi siendeshi mimi akaunti yangu ya twitter,...
10 years ago
Bongo Movies30 Dec
Hatimaye!! Wema afunguka kuhusu Diamond na Zari. "Adai anawapenda sanaaa"
Hatimaye Kwa mara ya kwanza Wema Sepetu amezungumza kuhusu uhusiano wa aliyekuwa mpenzi wake Diamond Platnumz na mrembo wa Uganda, Zari The Boss Lady ambao sasa ni ‘talk of East Africa’.
Wema alianza kwa kuwasifia na kusema anaipenda couple yao,
“Aisee nawapenda they make such a good couple, yeah”alipoulizwa na Soudy Brown wa U Heard ya XXL kama haoni wivu alijibu, “Wivu wa nini mimi and Diamond we were not meant to be it didn’t work basi, so I wish him all the best and I wish him...
10 years ago
Vijimambo28 Nov
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/057dS8YV7Hw/default.jpg)
10 years ago
Bongo527 Nov
Exclusive: Diamond afunguka kuhusu Wema, Zari, Penny, Chameleone, Yemi Alade, Waje na mengine (Video)